hisia

Ghizela (Hungarian: Gizellafalva) is a commune in Timiș County, Romania. It is composed of four villages: Ghizela, Hisiaș (Hosszúág), Paniova (Panyó) and Șanovița (Sziklás).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Hamis Tabasamu, Mbunge wa Sengerema usichokoze hisia za watu

    Leo wakati Rais wa Tanzania akihitimisha ziara yake mkoani Mwanza, aliongea na kundi muhimu sana katika jamii yoyote ile (vijana) Mh Rais aliwataka wabunge waliokuepo eneo hilo anhalau watoe salam. Mbunge wa Sengerema ndugu Tabasamu amewaambia vijana eti wasome waelewe ila serikalini hakuna...
  2. Dunia iko kasi, zamani mnachati kwa meseji na mpenzi wako usiku kucha unasikia hisia mpaka rohoni

    Daaaahhh kuna vitu ukivikumbuka unaweza kulia. Dunia iko kasi sana. Enzi zetu mnachati na mpenzi wako kwa sms mpaka unahisi Mungu dunia aliiumba kwaajili yenu tu. Sasa hivi mkichati kidogo tu mnaombana vikojoleo, mkitumiana chatting inakata kwa siku hiyo mnasubiri siku nyingine. Mkichati siku...
  3. Baada ya hisia kuwa kali juu yake nimeamua kumrudia

    Ndio mimi nilieleta uzi humu ya kuwa nilimuacha lkn hisia juu yake zikiwa bado ni kali sana Nilijutia kumuacha na nikaona ya nini niumie angali badonampenda!, nimemrudia na mapenzi hivi Sasa ni motomoto. Nimeamua nimkubali hivyo alivyo hisia za kumpenda huyu manzi ni kali sana kumuacha ni sawa...
  4. Mwanamke humpenda mwanaume mwenye pesa ili maisha yake yaende, wengi hawana hisia za kimapenzi na wanaume hao

    Unavyodhani ndivyo, sivyo na huenda ukashangaa sana nikikuambia huu ukweli kuhusu wanawake. Huenda ukafikiria wanawake wengi hupenda wanaume wenye pesa na magari lakini sivyo hata kidogo. Kuna tofauti ya kuwa na hisia za mapenzi na kumpenda mtu ili aweze kuyasukuma maisha yako. Asilimia kubwa ya...
  5. Jamani wengine tuna hisia kali

    Kuna tukio leo limenitokea. ngoja nisimulie hapa nipate kujua kiundani, nimefanyiwa makusudi au bila kujua. Leo mida ya jioni nilikua maeneo fulani kitaa nipo na washikaji zangu tunapiga story, ilikua nje ya ukumbi wa Games (PlayStation) tulikua watatu tunapiga story tumekaa kwenye bench na...
  6. Kibonzo cha Kipanya; hekima ni kuwaacha wote watoe hisia zao

  7. Hisia za mapenzi hamna siku hizi kwa sababu ya hizi smartphone

    Sasa hivi watu wako busy kuperuzi mitandaoni kwani dunia ni kama Kijiji mtu unapata vyote ambavyo unavihitaji.. Ukitaka kufurahi na kuvunja mbavu huitaji mpenzi akuchekeshe unaingia katika page za vituko unakutana na comedy. Ukitaka mtu wa kufanya naye sex unaingia tu katika site za X...
  8. Ukaribu unaua hisia (Mapenzi ya mbali yananoga)

    Ukaribu unaua hisia kweli kabisa. Nadhani imewahi kukutokea hali unampenda mkaka/mdada licha ya kuwa hamfahamiani. Unajikuta unatamani kumwambia ni jinsi gani unavyompenda. Ila baada ya wewe kuonana naye. Hisia zako kwake zinaanza kupungua kabisa na unajikuta unampotezea au mnabaki kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…