hisa

  1. D

    je wanachama wa simba tunaluhusiwa kuuza hisa zetu?? kuna kama 800k kila kadi kwa dp world na bakhresa

    I will be short kuna card za chana 50 k na kuna 40 billion on the table for simba sc shares. hapo kila mtu ana 800k kila card. Kama vipi simba tuuze tu, naona dp world na bakhresa wanavizia hisa za mo wakati wanachama tupo na kadi hazina hata faida. anyway ngivuu mmmoyaaa πŸ˜‚
  2. Bei ya bitcoin ama hisa za CRDB pamoja na FOREX znapatikana vp? Twende pamoja

    Kwa wale ndugu zetu wa trading, hasa wa DSE na MT4/5, ulishawahi kujiuliza bei ya hizo securities zinapatikana vipi? >Bitcoin ni nini? Kuna majibu 2 Bitcoin ni aina mpya ya pesa inayotumia cryptography kama njia ya usalama wakati wa kuthibitisha miamala. Pia, wengine wanaweza kusema ni asset...
  3. Vigezo vinne vya kuanza uwekezaji wa Hisa, Bonds & Hatifungani

    Kila mtu anatamani kuanza kuwekeza ili pesa yake izalishe, lakini si kila fursa ni nzuri kwa kila mtu. Huo ni ukweli naomba uwekwe wazi. Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza kwenye hisa, bonds au vipande ni lazima ujipime kwanza. Je, uko tayari kiakili, kifedha, na kimtazamo? Makala hii...
  4. DR. Kigwangalla: Mimi ni Bilionea, Namiliki hisa kwenye makampuni

    "Mali ninazomiliki sio zangu binafsi. Namiliki hisa kwenye makampuni. Ila sikumbuki kama ni ngapi. Mimi ni Bilionea, Nina utajiri zaidi ya Bilioni" Dr. Hamisi Kigwangalla Mbunge Nzega Vijijini.
  5. Somo la 5: Faida ya pili ya uwekezaji kwenye soko la hisa β€” gawio (dividends)

    πŸ” Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) β€” faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda. πŸ“ Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio. 1️⃣ Gawio ni nini? Gawio ni sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa wake, kawaida mara moja au mbili...
  6. Somo la 4: Faida ya kwanza ya uwekezaji kwenye soko la hisa β€” ongezeko la mtaji (capital gain)

    πŸ”„ Kama utakumbuka, katika somo lililopita tulizungumzia maana ya soko la hisa, faida zake mbalimbali, changamoto na jinsi ya kuanza. πŸ“ Leo, tunachambua kwa undani moja ya faida kubwa ya uwekezaji huu β€” Ongezeko la Mtaji (Capital Gain). 1️⃣ Ongezeko la Mtaji ni Nini? Hii ni faida unayopata pale...
  7. Somo la 3: uwekezaji kwenye soko la hisa (DSE)

    πŸŒ€ Kumbuka: Katika somo letu lililopita, tulijifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza β€” kama kuwa na mfuko wa dharura, kulipa madeni ya riba kubwa, kuwa na malengo, na kujua uwezo wako wako wa kuhimili hatari za uwekezaji. πŸ“ Leo, tunazungumzia moja ya maeneo maarufu na rasmi ya...
  8. N

    MIXX BY YAS, DSE waja na mini app ya hisa kiganjani

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx by Yas Bi. Angelica Pesha akizungumza wakati wa hafla ya ushirikiano wa kimkakati kati ya Mixx by Yas na DSE ambapo pia walizindua mini App ya DSE 'Hisa Kiganjani' inayopatikana kwenye super App ya Mixx by Yas. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa DSE Bw. Peter...
  9. Hizi Ndizo Faida Tano Za Kuwekeza Kwenye Mifuko Ya Pamoja....

    Mfuko wa uwekezaji wa pamoja ni aina ya kampuni ambayo inajishughulisha na uwekezaji ambapo kampuni inakusanya pesa kutoka kwa wawekezaji wakubwa na wadogo na kuwekezwa kitaalamu chini ya uangalizi wa meneja wa kampuni hiyo, Hizo fedha zinawekezwa maeneo ambayo yataleta faida, Wanaweza...
  10. Jifunze uwekezaji kwenye Group hili la HISA bure kabisa

    https://chat.whatsapp.com/EESLRXNogcqAmV06QeCNBE Humu utajifunza Namna ya kuifanya pesa ikuletee pesa zaidi Kwenye HISA, UTTAMIS, HATIFUNGANI, Real estate nk Bonyeza link uje whatsap Au nidm Kwa 255744980339 Mwakawasila Financial consultant
  11. Kununua Hisa benki

    Naomba elimu wakuu katika hili.Naumiza kichwa jinsi kunasua maisha yangu na ya wazazi wangu jamani πŸ™πŸ™πŸ™
  12. Top 4 za hisa Zilizopata Hasara zaidi - 2024

    Swissport Tanzania (SWISS) πŸ“š Ilishuka kutoka: TZS 1,320 Mpaka: TZS 1,100 Hasara:- 16.67% Tanzania Portland Cement Company (TPCC) πŸ“š Ilishuka kutoka: TZS 4,690 Mpaka: TZS 4,130 Hasara:- 11.93% DCB Commercial Bank (DCB) πŸ“š Ilishuka kutoka: TZS 165 Mpaka: TZS 155 Hasara:- 6.06% Maendeleo Bank Plc...
  13. Hisa Zilizofanya Vizuri Zaidi - 2024

    βœ… Tanga Cement (TCCL) – Faida ya 93% Hisa ya Tanga Cement iliongoza kwa ongezeko kubwa la thamani, ikipanda kwa asilimia 93 mwaka 2024. βœ… KCB Bank (KCB) – Faida ya 108.57% Hisa ya KCB Bank, ambayo ni kampuni iliyoorodheshwa pia katika masoko mengine, iliongezeka kutoka TZS 350 hadi TZS 730...
  14. Natafuta mwekezaji atakaenunua hisa kwenye kampuni yangu kwa makubaliano kwamba nitazinunua tena kutoka kwake baada ya miaka miwili

    Hello bosses and roses... Nina kampuni ambayo inajihusisha na Teknolojia ina mwaka wa pili sasa. Kuna project tunataka kuifanya lakini inahitaji kiwago kikubwa cha uwekezaji ambao unaweza disrupt cashflow ya kampuni endapo revenue ya sasa ikitumika kufanikisha hio project. Hivo natafuta...
  15. HISA NI FURSA

    Naitwa Mwakawasila Ni mtaalamu na mkufunzi mbobevu kwenye masuala ya Fedha Hadi saizi ni zaidi ya watu 50 tiyari wanawekeza kwenye HISA, HATIFUNGANI na UTTAMIS, Lakini wengi zaidi kwenye HISA sababu Kuna faida kubwa kubwa kuliko UTTAMIS na Bond Muhimu upate Elimu ya kutosha Tengeneza...
  16. Masoko ya hisa nchini Marekani yameporomoka na kupata hasira ya $6 trion ndani ya siku mbili tu.

    Masoko ya hisa nchini Marekani yaneporomoka vibaya na kupata hasara kubwa ya $6trion ndani ya siku mbili tu hivyo kufikisha hasara ya $11 trion kwa masoko ya hisa na kifedha tangu Trump aingie madarakani, hali ilikuwa mbaya zaidi baada ya china kulipiza kisasi kwa kutoza ushuru...
  17. Umegundua Jinsi Ya Kupata Kipato Zaidi Kupitia Uwekezaji Katika Hisa?

    Ndugu Mwekezaji Mtarajiwa... Baada ya kusoma ujumbe huu mpaka mwisho, utakuwa na SIRI MUHIMU za kuwekeza kwenye hisa kwa faida kubwa, huku ukiepuka makosa yanayowaangusha wawekezaji wengi. LAKINI… Kabla sijakufundisha mbinu hizi, hebu nikupe STORY FUPI inayoonyesha kwa nini Watanzania wengi...
  18. TRUMP: Sitizami soko la hisa

    Trump yeye hajali hata kuhusu soko la hisa https://x.com/spectatorindex/status/1897740651107864732?t=LM3GG61kwI11WIYkLzbAhw&s=19 Je, ni kweli au siasa siasa tu za kujaribu kuongea uongo ili kuficha performance ya sera zake ? Huyu ni Rais Trump 2020...
  19. Serikali Yatoa Maagizo kwa Soko la Hisa na TCB Kuwezesha Uwekezaji kwa Wananchi

    Serikali imeagiza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na Benki ya TCB kuhakikisha kwamba Watanzania wanapata elimu ya kutosha kuhusu umuhimu wa kuwekeza katika soko la mitaji kwani ni muhimu kuongeza ushiriki wa wananchi katika uwekezaji wa hisa, ili kuchochea ukuaji wa uchumi na kusaidia...
  20. Waziri Silaa akiri kasoro usajii wa Vodacom katika Soko la Hisa Dar

    Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la Hisa Dar es Salaam DSE imekuwa na matokeo mabaya. Slaa ambaye alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…