hiphop

Hiphop Tamizha (Tamil pronunciation: [hiphaːp t̪amiɻaː]) is an Indian musical duo based in Chennai, Tamil Nadu. The duo consists of Adhithya "Adhi" Venkatapathy and R. Jeeva. Hiphop Tamizha are credited with being the pioneers of Tamil hip hop in India.The group remained underground until the commercial success of their track, "Club le Mabbu le" in 2011. The international brand Remy Martin launched Hiphop Tamizha as an official brand after hearing the song. In 2012, Hiphop Tamizha released their debut album Hip Hop Tamizhan, which is India's first Tamil hip hop album. It was a major success with both the general public and critics. While the duo were originally independent musicians, since 2013 they have contributed primarily to composing for films.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini Foxy Brown yupo underrated kwenye game la HipHop hapewi heshima kubwa anayo stahili

    Kwa nini game ya HipHop upande wa kina dada haimpi heshima kubwa sana Foxy Brown ?
  2. Chief Godlove katoa track yenye featuring ya wasanii wakali wa Hiphop Tanzania

    Chief Godlove katoa track yenye featuring ya wasanii wakali wa Hiphop Tanzania. Wimbo unaitwa "GOD HAS SEEN ME" ni moja Kati ya mkwakuju mkali kwa mwaka huu, kafanya featuring na LORD eyez, unju bin unuk, one six, mawenge na stamina. Humo ndani wasanii wote wamekanyagia ngoma kubwa kilicho...
  3. Biti bora ya HipHop enzi hizo

    Wakuu kati ya ngoma nazopenda kusikiliza sana mojawapo ni ya Rado kiraka-Usiulize, producer alifanya kitu roho inapenda sana. Nick Dizzle apewe maua yake Wallah, 2008 hiyo. Zipo nyingi ila hii inanikosha vibaya
  4. Okoa taifa hiphop movement

    Amani iwe kwenu, Nitakuwa na upload free style na Cyphers zote humu ambazo zitakuwa zinatetea maslahi ya nchi (Taifa) ....na kama una free style ama Cyphers ambayo inaweza kuendana na hali ya sasa ya nchi tafadhali I upload humu zote zitasikilizwa kwa ajaili ya matumizi ambayo yatakuwa na...
  5. R

    Nahitaji mwanangu aende kuitikisa Talent Show tutayohudhuria wazazi, Aimbe wimbo gani wa kiingereza Hiphop usio na matusi tuanze mazoezi ?

    Nina mtoto wa kiume yupo darasa la 6, Nimepewa barua kuna Talent show itafanyika shule zitapofungwa mwezi wa sita, Shule imetuasa wazazi tuwasaidie watoto kushiriki. Kitu anachokiweza zaidi ni kuimba Nimejaribu kumpa mkwaju wa kihenga kama I know i can - Nas, kabaki kunishangaa na akaniuliza...
  6. Legend wa hiphop Jos Mtambo wa tongwe record rafiki wa Roma aomba msaada hali yake inasikitisha

    Nayajua Maisha yangu mpaka TONGWE kama muvii..oooh kaa tayar...oooh... action...oohh.... Naanza mwisho kwenda mwanzo.... NGOMA Ina goooo...goooo.. nayajua Maisha yangu mpaka tongwe Kama muviiii oooh..kaa tayarii...NGOMA Ina goooo... Hiki ni moja ya kionjo kwenye wimbo wa Roma akishirikiana na...
  7. Hiphop punch line

    "Unamuona mlupo kisa ulimgonga kwa mshiko, Anakuomba madusko anahonga batonga anagonga vitu, Unamuita darling au wife mama mamito, Unapata habari za wanafiki kuna walafi wanamla hadi jicho Unaemtaka haumpati utampata wapi,Anaekutaka hautaki haumpi nafasi....” #fidQ #ulimimbili shuka na yako...
  8. Toxic Fuvu ni moja kati ya vijana hatari kwenye soko la bongo HipHop Music

    NEW KING https://youtu.be/w1hgqFRsoZ8
  9. Hali ya Chid Benz Inasikitisha sana

    Hali ya Msanii wa Hiphop Rashidi Makwilo (Chidibenz) inasikitisha sana sana, Siku za hivi karibuni amekua akiishi Msasani (Maandazi road) maskani moja na mateja, Kinachonisikitisha zaidi jamaa anaonekana hayuko sawa kiafya miguu imevimba, anaonekana aliumia na hajapona vizuri,miguu ameifunga...
  10. Wadogo zangu ngoja niwape stori fulani hivi kwenye muziki wa HipHop nchini Marekani

    Miaka ya 2000 kulikuwa na wanamuziki wanne wenye majina makubwa ambao hao waliamua kuwaita kwa jina la Big Four yani Jay Z, Nelly, DMX na Eminem. Huyu jamaa unayemuona kwenye picha aliibuka tu na kuanza kupiga kelele mitaani na Mixtape yake fulani hivi. Hakuna yeyote kwenye hii Big Four...
  11. Wasanii wa HipHop Tanzania wana kitu Cha kujifunza kwa Roma Mkatoliki

    Mashairi ya nyimbo za Roma mkatoliki yanafikilisha Sanaa 😊 Ukipata muda zisikilize
  12. Je ni albam gani ya wasanii wa hiphop Tanzania uliisikiliza na kuiona ni albam bora na siyo bora albam??

    hizi ndiyo albam zangu bora kabisa za hiphop zilizofanywa na wasanii wa Tanzania (1) PROF JAY, albam yake inayoitwa MACHOZI, DAMU NA JASHO hii albamu huwa siichoki kuisikiliza ina kila kitu elimu,kufurahisha na kusisimua jamii mwamba ukimsikiliza katika hii albamu unajua kabisa he is a geneus...
  13. G

    Muziki wa Warekani Weusi hasa hiphop ni sumu, Wazazi na walezi tujitahidi kuwaepusha watoto na huu ujinga

    Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana. 1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za kutoboa kwa shortcuts) ina thamani kuzidi elimu ya shuleni, Wengi wameon shule ni upuuzi na kujikita...
  14. G

    Orodha ya wasanii ambao bongo fleva / hiphop imewapa mafanikio makubwa

    1. DIAMOND PLATNUMZ - CEO wa wasafi fm na tv + label, msanii pekee mwenye msururu wa ndinga za kwenda mbele 2. MR NICE - Ni Diamond pekee ndie alieweza kumfikia ukwasi akiwa peak, miaka hio ya 2003 inasemekana alikuwa anamiliki ukwasi wa bilioni 1 ya enzi hizo 3. AY - Mzee wa commercial...
  15. C

    Naombeni ratiba ya clubs zipi zinapiga 80's, 90' and maybe 20's Hiphop

    Naombeni ratiba ya clubs zipi zinapiga 80's, 90' and maybe 20's Hiphop --- Just OldSchool. J3 wapi? J4? J5? Alh? ... JPili? Hizi Amapiano siyo type zangu, zinaniboa sana.
  16. Utamaduni wa wamarekani weusi huchangia kuwa nyuma zaidi kimaendeleo, Vitu kama muziki wao wa hiphop sio wa kuendelea kuusikiliza unasambaza sumu

    Ni kweli kabisa wamarekani weusi walipitia utumwa lakini sio sababu ya wao kuendelea kuwa nyuma, Walichobaki kukipigia kelele ni kulipwa fidia za utumwa wa mababu zao ila ni kusubiri maembe chini ya mpera, hata waafrika wenzao weusi wanaohamia Marekani wanazidi kuwachapa gepu. Shule zipo...
  17. Hawa hapa 30 bora,(Top Bongo Music Beast) watoto wa mjini, bila hawa Bongoflava isingekuwepo

    Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava. Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes *EATV Credits to MJRecords, Bongo Records.... Mambo yalikuwa sawa sana mpaka pale muovu alipoingia...
  18. Young lunya ni mkali wa flow za hiphop

    Sikiliza freestyle season 3 utakuja kusalute mwenyewe.
  19. Tazama hapa Hiphop freestyle ya wanamuziki wa Congo. This is a pure talent.

    Muziki unawatii hawa viumbe. Wameshindikana.
  20. Fid Q Vs Ngwair

    Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa ni zaidi ya Fid Q kitu ambacho kwangu sijawahi kukubaliana nacho. Maana kwa mtazamo wangu sidhani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…