hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Video hii ni fake. AI imefika pabaya sana.

    https://youtube.com/shorts/MSt3ulTfcb4?si=UI9WsdIJxfArjaif
  2. JamiiForums Tanzania Hii video haina Maadili, Huwezi kupiga picha na Rais ili umringishie ex wako

    Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
  3. JamiiForums Tanzania "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu" Ina maana gani kwenye hii barua ya TEC?

    Kuna hii barua ya TEC kuwataka wakatoliki kumuombea kiongozi wao mkuu Papa Francis... Wamenichanganya na maandishi yanayosema "Maria mkingiwa dhambi ya asili msimamizi wa nchi yetu". Kwa kuwa imetajwa nchi yetu ndo nimetaka kujua zaidi Maria ahusike kuilinda.
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya kubebwa Ligi kuu si bure miaka yote timu inaishia robo fainali haijawahi kuvuka wala kupata hata medali CAF

    Hii ni aibu kwa Ligi yetu, si bure baadhi ya vilabu vinabebwa Ligi kuu ila kule CAF miaka nenda rudi timu inaishia Robo fainali haijawahi kuvuka hatua hiyo, Ni kama laana, Timu inakosa hata medali moja ya CAF ila ukija katika ngazi ya Ligi inaonekana timu bora kumbe kuna bahasha na makosa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake Pitieni hapa Naomba Maelezo yenu hii imekaaje?

    Sitaki kuongea sana soma hapo kisha toa maelezo mwenyewe.
  6. JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili Tanzania Aviation Authority

    Hamjambo humu? Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali. Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected. Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
  7. JamiiForums Tanzania Poleni sana Wakazi wa hii Mikoa tajwa Tanzania kwa Joto Kali mnalolipitia sasa

    Nimetoka kutizama Taarifa ya Habari muda si mrefu na kuona Watanzania wenzangu huko mliko mnavyotaabika sasa kwa Joto Kali ambalo huenda likawa limevunja Rekodi Polemi sana Wakati wa Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Tanga, Lindi, Mtwara na Zanzibar (Unguja na Pemba) Nilipo Mimi Kampala, Mubende...
  8. JamiiForums Tanzania Sio JF pekee itakuunganisha na mwanamke jaribu na nja hii..

    Una kila sababu na kupata umpendao... Pata wanawake wa mataifa mbalimbali na ongeza furaha hapa...
  9. JamiiForums Tanzania Mafundi Seremala,kabati kama hii inagharimu kiasi Gani?

    Gharama yake ni shilingi ngapi wakuu?
  10. JamiiForums Tanzania Hotuba hii ya Wamarekani itafsiriwe katika lugha zote, inatuhusu wote,

    Hotuba hii JD Vance, Makamu wa Rais wa Marekani alikuwa anawaambia watu wa Ulaya lakini ukweli ni nchi zote za dunia hii na Tanzania ikiwemo, kifupi JD anawaambia viongozi wa Ulaya waache tabia ya kuwatenga, kuwaadhibu, kuwateka na kuwabambikia kesi raia wao wenye mawazo tofauti na yao, badala...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi juu ya uteuzi wa namna hii unaoleta mijadala: Aliyestaafu ameteuliwa kumrithi aliyestaafu kuwa mstaafu

    Rais AMEMTEUA Jaji mstaafu Awadh Mohammed bawazir kuwa mwenyekiti wa mamlaka ya rufani ya zabuni za umma (PPAA) AKICHUKUA nafasi ya Jaji MSTAAFU SAUDA MJASIRI Ambaye AMESTAAFU
  12. JamiiForums Tanzania Nchi inapigwa sana hii, maghorofa ya Jeshi Mwenge, yanapangishwa kwa raia

    Haya magholofa ya jeshi yaliyoko Mwenge Kijijini, Dar es Salaam, yamekuwa yakipangishwa kwa raia. Wajanja wachache wamekuwa wakijinufaisha na majengo hayo ambayo yamefanyiwa ukarabati mkubwa na jeshi. Gharama ya kupanga nyumba hizo ni kuanzia laki tano na kuendelea, namna utakavyojiingiza...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje?

    Habari wanaJF Hapa ni Sehemu ya kupata maarifa na Elimu mbalimbali!Utakuta mtu kaja nyumbani kwako au Sehemu umekata umejipumzisha na unaongea na simu. Mara ghafla na yeye anapokea simu na kuweka sauti(Loud speaker)anaanza kuongea hapo hapo! Unakuwa vulugu kama vile mko vilabu vya pombe za...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka 64 ya uhuru: Watu wanakwama kwa siku 18 kisiwani bila usafiri, Hii ndiyo CCM

    Serikali inayojinasibu kukusanya matrilioni ya mapato ya kodi, Mwaka hadi mwaka inavunja rekodi! Achilia mbali vyanzo vingine vikuu vya mapato ambavyo nchi yetu imebarikiwa, kama madini, vivutio vya utalii, ardhi safi na amani inayohubiriwa kila siku! Lakini kwa miaka zaidi ya 60, Mkulima...
  15. JamiiForums Tanzania Kuuliza Sio Ujinga; Nimepokea Sms hii Je kuna anaye fahamu kuhusu Hili?

    Nimepokea sms ambayo Imenichanganya sana Sio nimechanganywa labda na tamaa Au Kishawishi kilichopo hapo kwenye Sms hapana Kilicho Nichanganya ni Mtumaji . Huyu mtumaji Nimejaribu Kwenda Hata Google Sioni Majibu Yanayo Eleweka kabisa Mimi muoga sana Kufunga Kitu kinaitwa Link Kutoka Sehemu...
  16. JamiiForums Tanzania Ipi ni namna sahihi ya kusema kwa kingereza hii kauli "NINAUMWA MALARIA"

    1: I am sick of malaria 2: I am suffering from malaria 3: I have malaria 4: I am sick malaria 5: I am sick with malaria 6: none of the above (iandike)
  17. A

    JamiiForums Tanzania Hii Ni Kwa Watu Wanaotaka Kumiliki Kampuni Zao 2025 Lakini Hawajaanza Bado…

    Umekuwa ukijiuliza maswali mengi sana juu ya kumiliki kampuni yako bila majibu!! Umekuwa ukijiuliza maswali kama; Ni mtaji kiasi gani natakiwa kuwa nao ili nimiliki kampuni yangu? Ni elimu ya kiwango gani niwe nayo ili niwe na kampuni yangu? Taasisi gani natakiwa kwenda ili kukamirisha usajiri...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi mnaona hii movement ya NON EMPLOYED TEACHER ORGNIZATION (NETO) msifumbe macho

    Vijana wasomi wenye taluuma ya uwalimu wasio na ajira wameanua kuanzisha movement jiulizeni je wakiungwa mkono na taaluma nyingine hali itakuwaje, kumbukeni wazazi waliowasomesha nao wanasononeka kwaiyo hata wazazi nao watawaunga mkono, wanafunzi vyuoni watwaunga mkono Tunajua mna mabomu mna...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mbinu bora ya kuuza bidhaa zenye bei kubwa.

    Moja ya kazi ngumu kwa mfanyabiashara/mtu wa mauzo. Ni kuuza bidhaa/huduma za bei kubwa kubwa. …..Kuna sababu nyingi tu ambazo huchagiza hali hiyo Ikiwemo kupoteza pesa nyingi kwa wakati mmoja (financial risk) Au hicho kitafanya kazi iliyokusudiwa ? (functional risk) Au watu watanicheka...
  20. JamiiForums Tanzania Makala mengi kuhusu Freemason yanatofautiana sana. Naamini hakuna mwenye concrete info juu yao. Hii ni ishara jinsi gani FM walivyo na weledi mkubwa.

    Tena unaweza kuta hata hawajiiti Freemason 😂 Yani sisi tuendelee na wale freemason wetu wa "kujiunga freemason 5000" 😂 Anyway, Kujua info ya mtu ni kummudu, namaanisha kama hawa jamaa wangejulikana kwa kina kuhusu utendaji wao basi ingekuwa rahisi wao kuwa infiltrated na kuwa dis-organized...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…