hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania NDOA (Kwa Sasa yani generation hii believe me bikra sio ndoa na ndoa sio bikra)

    Habari wana JF. Nilipata mwanamke Bikra na nipo nae mpaka Sasa lakini nimeshapata red flag kutoka kwake so nimeona nilete thread hapa "Ndoa sio Bikra na Bikra sio ndoa", Kwa lifestyle la sasa au generation hii wakuu hata mwanamke bikra ni mjanja mjanja vilevile, ingawa yeye nyeti zake zinakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania [b]beginer traders join hii community discord server.

    Fx
  3. JamiiForums Tanzania Kama unaogopa kulala nyumba zenye uchawi au ushirikina, dawa hii hapa

    Shetani na mapepo ni viumbe wasioonekana kwa macho. Hao ndio wanaosababisha vitisho, hofu, nywele kusisimka, unasikia maneno au sauti bila kuona mtu anayeongea, kukandamizwa kifua, kunyolewa nywele, kujikuta umelala nje ya nyumba na kitanda chako nk nk. Ukilala katika nyumba zenye uchawi au...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kubadilisha hati ya nyumba ikasomeka majina manne yaani ya watoto na mama?

    Naomba kujua haswa kisheria zaidi Hipo hivi.. sisi tumezaliwa wa 5 kiujumla watatu wa baba na mama mmoja wawili tumeshare mama.. ambao ni wakubwa kwetu.. yaani mama aliolewa na mzee akiwa tayari na watoto wawili Mzee wangu alikuwa na wake wa 3 mama yangu ndio alikuwa bi mkubwa.. kuna ndugu...
  5. JamiiForums Tanzania Sijawahi kushuhudia Tanzania ya aina hii

    Naomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuitwa kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania. Kwa miaka mingi Watanzania walikuwa ni watu ambao ndani kama zilivyo nchi nyingine waligawanyika na kutofautiana sana, kimitazamo, kimaslahi ...
  6. JamiiForums Tanzania Mmekutana na hii Changamoto? Kuna watu huwezi wasogelea kabisa

    Kile kitu kama cha njano kinachotoka kwenye koo chenye harufu mbaya kinajulikana kama tonsil stones au tonsilloliths kwa Kiingereza, kwa Kiswahili huitwa mawe ya tonsils au uchafu kwenye tonsils. Maelezo ya Tonsil Stones: Huchipuka kwenye nyufa ndogo (crypts) za tonsils. Huundwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Binafsi hadi hii leo sijaona kinachonivutia katika umbile la mwanamke zaidi ya sura ilio nzuri. Zingatia neno "binafsi"

    Najua mtaanza na maneno ya sura hata punda anayo🤣
  8. JamiiForums Tanzania Inawezekana hii habari ilimkasirisha sana Rais Samia!

    Hata ungekuwa wewe!
  9. JamiiForums Tanzania Kuna ndenge ambayo private jate hipo kwa mtu fulani 2025 naona hii ndege sio makusudi kutumia pesa zetu

    Kuna ndege kama inatumiwa na watu wengine kwa kusingizia kuwa wanaotoa pesa ni watu furani. Ila hii ndege ni kama hipo kusikilizia 2025 someni code
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna nyakati ambayo mwanamke alishindwa kuzishinda limitation za mwanaume. Kwa wakati huu hii ndio silaha yao na hakuna vita itakayowashinda.

    Kila enzi mwanamke aligundua namna ya kuushinda ungangari wa mwanaume Yule Jamaa wa "Ooooh kabla sijajenga nyumba yangu nataka nikarabati ya wazazi" sasa hivi anatuma kodi ya miezi mitatu ya huyu tipwa tipwa 🤣 Najua Poor Brain anaelewa nachokimaanisha🤣
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Ushauri wa Bure kwa Rais Samia, achana na hii kesi Haina maslahi yoyote kwako, CCM, wala nchi!

    Kwako rais Samia: Aibu hii ya nini? Lissu ni kama Yesu mbele za Pilato. Hana hatia. Wanaopaswa kukushauri kuachana na kesi hii wanasubiri uangukiwe na jumba bovu. Utakuwa mgeni wa nani kwa mwendo huu? Achana na kesi hili la kubumba. Wawajibishe wote wasiokutakia mema. Acha haki...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mbaya sana awamu hii ya Sita

    Ni yule aliye karibu na Rais wetu mpendwa na anasikilizwa na Rais na kumshauri kutochukua hatua au kuacha kutoa mwongozo wa kiutawala kwa haya yanaendelea. Ni kweli ushindi ni tayari kwa CCM mpaka sasa. Lakini majuto yake ni Mjukuu. Nina uhakika Mwenyezi Mungu atamlinda na kumweka sana Rais...
  13. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Ajax Amsterdam kukosa ubingwa, hii ingetokea bongo je?

    Wakuu ukisikia maajabu ya soka ndio haya Ajax Amsterdam ya nchini uholanzi imekosa ubingwa kimaajabu. Mpaka mechi ya 29 huku zikiwa zimesalia mechi tano pekee, Ajax alikuwa amemuacha mpinzani wake, Psv kwa jumla ya alama tisa. Mambo yalienda kombo kwani Ajax alipoteza mechi mbili mfululizo na...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenye kuelewa ina maana hii kesi ya lissu na polisi wamepata vifaa vyipya.

    Hapa kisutu mpaka askari magereza wamependeza kwa nguo mpya utazani sikukuu ya idd na xmass ilivyo.
  15. JamiiForums Tanzania Hii nyumba hadi saizi hapo imejengwa imekula mil 17

    Ni nyumba yenye vyumba 3 vya kulala Hapo ni material na ufundi Kama unataka tukujengee Utuchek 0743 257 669 Raman Mahesabu Ujenzi Tuchek Ofisi zetu zipo banana ukonga wa.me//255743257669
  16. JamiiForums Tanzania UMECHOKA KUKAA NYUMBA ZA KUPANGA NA UNA PLOT NDOGO ANZA NA HII NYUMBA UTANISHUKURU 3BEDROOMS NDOGO SEBULE JIKO 2BATHROON HAINA DINING 0624004650

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTIONS SERVICES KAZI YETU NI MOJA TU KILA MTANZANIA ANAANZA KUISHI KWAKE CALL US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
  17. JamiiForums Tanzania Maisha yanakwenda kasi sana, tazama hii...

  18. JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM wanaushawishi kuliko G55. Hii ni kusema G55 ni Liability na sio tishio kwa chama chochote Kikubwa hapa nchini.

    Wanakwenda Kuumia! Hiya ndio salamu inayoendana na Uzi huu. Kwenye hii nchi hasa ukiwa mpinzani hakikisha chama tawala kitamani kuwa na mtu dizaini yako ndani ya CCM. Lakini kama wewe ni Mburuja, ambaye uwezo wako mdogo, elimu duni ta kuungaunga, huna kipaji wala karama yoyote. Vijana wengi...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye akili muwafundishe wanawake wenzenu wenye tabia hii.

    tabia ya wanawake kumtegemea mwanaume Kwa 100% imekuwa ni tabia ambaya wameifanya Kama sehemu ya maisha Yao. Unakuta mwanamke anamtegemea mwanaume, boyfriend/mumewe Kwa kila kitu. Mwanamke wa Aina hii, anajiweka kwenye situation tofauti, either apate kila anachohitaji Kwa mumewe, apate...
  20. JamiiForums Tanzania Fuatilia ibada ya uzinduzi wa Pope Leo XIV kutoka Vatican kwa link hii hapa

    https://www.youtube.com/live/jE6G8dBC6Hc?si=9somVYCO5gxYAzyS Waliopo:- Viongozi wa ngazi za juu wa Kanisa Katoliki: Makardinali, Maaskofu, na viongozi wengine wa kidini kutoka sehemu mbalimbali duniani. * Wawakilishi wa serikali mbalimbali: Marais kama VP JD Vance (USA), Zelenskyy (Ukraine)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…