Heri ya siku kuu ya krisimasi ndugu zangu. Hope nyote mko salama
Life ni gumu kuzidi kupambana kila siku ila tusisahau kuhusu maua mazuri ambayo mwenyezi Mungu katubariki Tanzania na duniani kote.
Hatua zote za kumpata binti kwangu kuna hili moja huwa inanisumbua sana, huwa inanitokeaa hasa...