hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ipoje kuhusu Samsung wajuzi?

    Juzi nilienda Town kutafuta simu ya samsung A15,Katika pita pita kuna wanaiuza 380,000.Maduka mengine hapa Moshi mjini wengine 480,000. Mpaka Leo najiuliza kwanini yule auze 380,000 na specification ni zile zile?.Nilienda duka moja anauza mzee akaniuzia kwa 470,000 akaniambia tunaiscan uone ni...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali kuzungumza na Waandishi wa Habari jioni hii.

    Ndugu zangu Watanzania, Msemaji mkuu wa serikali atazungumza na waandishi wa habari jioni hii,ambapo atakuwa live au mbashara kupitia vyombo vyote vya habari hapa Nchini yaani vile vya serikali na vile vya binafsi vitarushaa matangazo hayo na mkutano huo na waandishi wa habari muda wa saa kumi...
  3. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni komenti yako ipi au uzi wako upi uliouanzisha ambao unatamani uufute? Ya kwangu mimi ni hii

    Eeh bhana Kunabaadhi ya komenti tunaandika au nyuzi. ila baada ya muda mtu unakuja kuufahamu ukweli ambao unakuwa ni tofauti na komenti yako au uzi wako ulioanzisha. Binafsi nimegundua kunasehemu nikiandika tango poli bila kujua na nitashea nanyi leo. Komenti yangu niliandika kwenye uzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri yanakuja muda wowote baada ya mkutano huu wa 12 wa Bunge hili kutamatika wiki hii

    MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI YATAJWA MABADILIKO makubwa ya Baraza la Mawaziri yanatabiriwa kufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wowote baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 12 wa Bunge unaofikia ukingoni mwishoni mwa wiki hii. Mabadiliko hayo yanatabiriwa kuwagusa mawaziri ambao kasi ya...
  6. JamiiForums Tanzania Yanayotokea Kenya sasa hata Tanzania yalishawahi kutokea, VIJANA 2000 SOMENI HII

    Kinachotokea Kenya sasa baadhi wa Watanzania wanawasifu raia wa Kenya Kuwa wameelimika zaidi kudai haki zao kuliko wa Tanzania. Wanaosema hivyo labda wamezaliwa miaka ya 1999 kuja 2000. Tanzania 🇹🇿 walifanya haya wanayofanya Kenya 🇰🇪 miaka 23 iliyopita . Yaani Mwaka 2001 Chama Cha Wananchi...
  7. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kero za nchi yetu (Tanzania) tuziondoe namna hii

    UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi kubwa(kwa eneo na idadi ya watu) barani Afrika.Ni nchi iliyojaliwa rasilimali nyingi na za kutosha,imejaliwa kuwa na watu wenye akili na vipaji.Aidha Tanzania ni kisiwa cha amani.Pamoja na utajiri huo ,bado nchi yetu inachangamoto lukuki.Umasikini,ukosefu...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Prof.Kitila Mkumbo atabadilisha sana mipango ya nchi hii, msikilizeni TBC akieleza mipango ya nchi

    Nasikia burudani sana jinsi msomi huyu anavyowasilisha hoja mbalimbali za mipango ya wizara yake. Nna uhakika mkubwa sana nchi inakwenda kubadilika kutokana na mipango mizuri iliyowekwa na serikali ikitokana na ubunifu wake mkubwa. Amejikita sana kwenye kuinua uchumi hasa maeneo ya kilimo...
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gen Z hii Finance bill mmechelewa, subirini mwakani

    Hii Finance bill inaenda kuwekwa saini mapema asubuhi. Wakati KDF wakiimarisha ulinzi. Jaribuni mwakani. Asanteni kwa kushiriki
  10. JamiiForums Tanzania Nukuu za afya wiki hii

    Nukuu za Afya wiki hii.
  11. JamiiForums Tanzania Kariako igawanywe ili hii migomo isije kutokea tena

    Vifaa vya ujenzi vikauzwe bunju Vifaa vya umeme kibamba Vifaa vya ndani mbagala simu ndio zibaki kariakoo Nguo gongolamboto Iwekwe order baada ya miez 3
  12. 1

    JamiiForums Tanzania Clip hii inaukweli mwingi na mchungu kwetu, njooni tuusikilize

    Siongezi neno wala mimi si mkalimani === Alichozungumza kwenye video hiyo, ni kuhusu Africa kutoza kodi kubwa ambazo zinaua uwezekano wa maendeleo kwa kuwa zinaua hata uwekezaji. Suala hilo linaongeza umasikini na kufanya nchi kuwa tegemezi wa mikopo na misaada. Mzungumzaji huyo amesema hiyo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania kwa mabechela wanaojitafuta tumia mbinu hii kupunguza gharama za mahari

    linapokuja swala la mahari jamii nyingi Tanzania hazina mchezo kabsa. kutoa 4m na kuendelea kama mahari ni kawaida mno .kama binti yao yupo kweny prime age ya ndoa. utalia upunguziwe watokomea 3m hii pesa ni nyingi kwa wapambanaji ambao ndo kwanza wanajijenga kiuchumi. sasa we fanya ivi uyo...
  14. JamiiForums Tanzania Wale jamaa wa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kasi

    wale matapeli wanaotuma sms kuwa “ile pesa tuma kwenye namba hii” wamerudi kwa kishindo. Kwasasa kwa wiki naweza kupokea sms za namna hiyo zaidi hata ya kumi. Mamlaka zimelala? Hii ni kero kubwa kwetu sisi wananchi, ina maana wameshindwa kabisa kuwashughulikia?
  15. JamiiForums Tanzania Ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha?

    Inapotokea snario za kutoelewana ndani ya nyumba nani anapaswa kujishusha? Hapo awali nilikua hivyo lakini nikaona napelekeshwa kama gari bovu. Karibuni.
  16. JamiiForums Tanzania Vyeti vya Elimu ngazi ya chuo Vitofautishwe Sababu za Kurudia Mwaka na Kuahirisha Masomo, Itasaidia kujua yupi ni kilaza au alipitia ugumu wa kimaisha

    Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu Watanzania hatuandamani kama Wakenya- tunashirikishwa

  18. JamiiForums Tanzania msaada wa tafsiri ya ndoto hii.

    nimeota kuwa nipo class na wenzangu mwalimu/msimamizi akatuambia who want do survey?and if there's no any body please join to examination room. mimi binafsi sikuwa na chaguo nikabakia baadae nikaona ndoto imenipeleka sehemu n6je ya chumba tunapanga madawati kwa ajili ya mtihai ila sharti la...
  19. JamiiForums Tanzania Sababu ya kutopenda wanaume wa aina hii

    Wanawake wengi hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume weupe. Sababu zangu mimi binafsi naona mwanaume mweupe ananifunika. Yeye anaonekana zaidi kuliko mimi. Mimi maji ya kunde. Nataka mwanaume awe mweusi tunapokuwa pamoja nionekane mimi kwanza. Ila kwenye kuzaa nataka nizae na mwanaume mweupe...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini kabla ya kufanya maamuzi ya jambo fulani?

    Kwanini kabla ya kufanya maamuzi ya jambo fulani najikuta tu nakosa amani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…