heshima

Heshima Salim Thompson ( EESH-mə; born 23 October 1986) is a British actor and singer.
Born in the London Borough of Brent, son of Jamaican Reggae singer Dr Alimantado and brother of soul singer Zalon.In 2001 Heshima began his career singing on BBC Documentary Heart of Harlesden, he was scouted from the documentary to play a lead role in BBC’s Babyfather. He has appeared on television in Spooks, Spooks: Code 9 as Jez, Prime Suspect, Casualty, City Lights and Judge John Deed. In theatre he has appeared at The Young Vic in Generations and at The Royal Court in Incomplete and Random Acts of Violence. In 2009 he was nominated for a Screen Nation Award in the Young Shooting Star category. Heshima toured with Amy Winehouse along with brother Zalon on her Back to Black album which was only scheduled to last for 3 months, but the tour was so successful they ended up touring for six years and collected five Grammy Awards.In 2009 he auditioned for the sixth series of The X Factor and in 2011 he auditioned for the eighth series. In 2010 he was cast as Asher Levi in series 2 of EastEnders: E20.In March 2012 Thompson auditioned for the first series of The Voice UK After four chair turns, Heshima chose will.i.am as his coach and made it to the battle rounds of the competition. Heshima worked with Zalon, Salaam Remi and Mark Ronson singing and vocal producing on Amy Winehouse's Album Lioness: Hidden Treasures including singles "Our Day Will Come" and "Like Smoke", which features Nas. Lioness: Hidden Treasures debuted at number one on the UK Albums Chart.In 2014 Heshima founded HTG Entertainment a British entertainment agency.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Heshima, Thamani na namna unavyojiweka katika jamii

    Habari JamiiForum. Hope mko poa ladiz (ladies) & Gentlemen. Waungwana , Kila mmoja wetu anahitaji kuheshimiwa na kuthaminiwa,iwe Kwa namna yeyote ile tajiri au masikini,mfupi Kwa mrefu,mweusi na mweupe n.k. Kila mtu hujiona anapaswa kuheshimiwa,lakini je heshima na Thamani inakujaje? Ni...
  2. JamiiForums Tanzania Watu wawili wenye heshima mbele ya Trump

    Hawa watu wawili pichani, uhai wao ulihifadhiwa na Trump kwa ajili ya mazungumzo. Hawa ndio future ya Iran mpya. Trump alimkataza Netanyahu asiwaue. Kulikuwa na mmoja aliyekuja kuuawa — mtu ambaye Trump hakutaka auawe. Tukio hilo lilimkasirisha sana Trump, ndipo akatoa onyo kali kuhusu watu...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Tuzo ya Heshima Nigeria kwa mchango wake kwa Jamii na Ubinadamu

    Uongozi wa Chuo Kikuu cha Jimbo la Nasarawa, Keffi (NSUK), umemtunuku shahada ya heshima ya udaktari Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, kwa mchango wao mkubwa kwa ubinadamu na jamii kwa ujumla. Akipokea Tuzo hiyo, Samia amesema "Napokea utambuzi huu kwa unyenyekevu mkubwa na shukrani...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu cha NASARAWA cha Nigeria, leo Aprili 11, 2026

  5. R

    JamiiForums Tanzania Heshima uliyojijengea kwa miaka zaidi ya 50, usiiharibu kwa vipande 30 vya fedha

    Una heshima kubwa as one of the respected Chief Justice. Sasa kwa nini unataka kuharibu CV yako kwa upuuzi wa mtu mwenye uchu wa madaraka.. Jiangalie umebakiza miaka mingapi duniani? Achana na upuuzi huo , mtafute MUNGU sasa na si kuwafurahisha wenye uchu wa kuinyakua Tanganyika!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju usikubali ushetani, maliza kesi ya Lisu kwa haki. Heshima yako itasimama milele kwa jinsi ulivyo handle kesi ya Lisu

    Itende HAKI na HAKI itakutenda Milele. Ikatae pressure ya Executive, tenda Haki na nenda zako, usisubiri shukrani au cheo toka Executive. Mtendee Lisu HAKI NA WALA SI UPENDELEO Siku 40 or so kweli CoA haiwezi kukaa na kutolea maamuzi pingamizi la serikali? Muhukumuni kwa haki hata kama...
  7. JamiiForums Tanzania Mambo matatu yanayoweza aidha kukupa heshima au kukushushia hadhi

    Naam, matatu. Mawili ya hadharani na moja la faraghani. Nitayataja tu na sitayafafanua, maana yanajulikana. Kadhalika kila mmoja anajua ni kwa namna gani na aidha ni kwa wakati gani alishushiwa/jishushia heshima au alipewa heshima. Mambo hayo ni haya; 1. Chakula 2. Maongezi 3. Ngono Jiweka...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya kupewa heshima ya umakamo mwenyekiti. Nitakua mchoyo wa fadhira nisipotia neno kuhusu KATAA NDOA

    Katika kizazi tulichopo ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Kwanza original deal of marriage ilikua ni mwanamke bikira na mtiifu kwa mabadilishano ya lifetime protection na provision kutoka kwa mwanaume. Wanawake wa leo sio bikira, sio watiifu. Kwahiyo tuelewane hapa wanawake ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Wakristo muwe na heshima aisee

    Habari za asubuhi Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha. Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka...
  10. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni ng'ombe wa maziwa wa mpira wa Tanzania, wapewe heshima yao.

    Hakuna timu ambayo inataka mechi yake ya nyumbani ya Simba na Yanga ichezwe saa 8 mchana. Hakuna mdhamini wa timu ambae anapenda mechi ya timu inayoidhamini icheze mechi zake na simba na yanga saa 8 mchana. Mwenye haki ya matangazo asilani hawezi kukubali mechi za simba na yanga zichezwe mchana...
  11. JamiiForums Tanzania Hii Kauli Ni Sahihi Kutolewa Na Inspekta Wa Polisi: " Tusiruhusu Watu Kula Mchana MwezinWa Ramadhani Ni Mwezi Wa Heshima" !?

    Wakuu Hii Video Sijui Ya Lini Nimekutana Nayo Mtandaoni.. https://www.instagram.com/reel/DVmBxopCM-5/?igsh=Nnp2amUycTVub3Ax
  12. JamiiForums Tanzania Namshauri Mangungu wa Simba astaafu kwasababu anaweza kuendelea kuvunjiwa heshima

    Yanayoendelea kuhusiana na Mangungu ni kuvunjiwa heshima yake Kawaida hali kama hii ikishatokea basi njia sahihi ni kujiuzulu kwasababu kuendelea kuongoza matokeo yake ni kuzidi kuvunjiwa heshima Heshima ni jambo la msingi sana pasipo heshima hakuna uwezekano wa kuongoza watu Wanaomvunjia...
  13. JamiiForums Tanzania Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana?

    Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana !
  14. JamiiForums Tanzania Msiba wa mzee Mtei na heshima kubwa ya CHADEMA Tanganyika

    MAMBO 7 YALIYOTAWALA HOTUBA ZA MSIBA WA MZEE MTEI NA DIVERSION STRATEGY YA MWIGULU NCHEMBA Mwl. John Pambalu Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la majonzi, bali pia jukwaa la hotuba nzito zilizobeba tafakuri ya kina juu ya historia ya taifa, hali ya siasa za sasa, na mwelekeo wa...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu atuma ujumbe maalum kwa heshima ya mwasisi wa CHADEMA Edwin Mtei

    Ujumbe huo unatarajiwa kusomwa wakati wa ibada ya kumbukumbu ya Mtei tarehe 23 Januari 2026, kabla ya mazishi yake tarehe 24 Januari nyumbani kwake Tengeru, Arusha. ==== UJUMBE WA RAMBIRAMBI WA TUNDU LISSU KUFUATIA KIFO CHA MZEE EDWIN ISAAC MBILIEWI MTEI. EDWIN MTEI: MJENZI WA NCHI, KIONGOZI...
  16. JamiiForums Tanzania Kupenda kuomba au kuhitaji msaada Kwa marafiki au washikaji kunashusha hadhi na heshima yako, mwanaume jikaze

    Naongea na wanaume tu Leo Tabia ya kuomba ovyo haifai Unajishushia brand Hakuna mtu anahitaji kuombwa hata kama Leo umpigie simu Bakhresa umwombe elfu 2 atakuona wewe ni msumbufu lakini sio kwamba uweZo wa kukupa anao Mwanaume onesha kujiamini na kujitegemea hata kama unapitia hali ngumu...
  17. JamiiForums Tanzania Mpaka Rais anatengenezewa AI video zisizo na heshima hivi na watu wengi wanazifurahia inaonesha kabisa watu hawamuheshimu

    Sasahivi mitandaoni kumejaa video za AI zilizotengenezwa kwa lengo la kumkashifu na kumkejeli Rais Samia. Cha ajabu video hizi zinapata views wengi na watu wengi wanaonekana kuzifurahia Kuanzia mwezi May hadi September hivi, video za namna hii zilikuwa zinaandaliwa na Wakenya ila sikuhizi ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Uwalaza unaharibiwa heshima yake, mtu anakuja kunyoa na jero (500) anakwambia yeye nywele zake zipo nusu

  19. JamiiForums Tanzania Neno guys, si heshima kutumiwa na kiongozi mkubwa anayejiheshimu

    Guys ni kingereza fasaha lakini matumizi yake, na anavo tumia Fulani sio sahihi, guys tumia kwa vijana na lika la kawaida, wazee wetu kuwaita guyz ni kipimo Cha dharau na kuto jitambua, naomba ashauriwe, sio VIZURI, tumevumilia Sasa basi.
  20. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Mungu mnaoendekeza siasa madhabahuni mnajishushia heshima mnapuuzwa

    Zamani mtumishi wa Mungu akiongea unaona kabisa Mungu ameongea🤣 Ila sahz mtumishi wa Mungu anaongea unaona kabisa ni uongo na anapingwa kwa hoja na unaona kabisa hoja zinazompinga mtumishi wa Mungu zinamashiko hii ni aibu nikushusha chini utume wa Mungu, lakini yote hayo ni kwasababu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…