Jaale Mohammed Said Hersi Morgan, better known as General Morgan (Somali: Maxamed Siciid Xirsi Moorgan; Arabic: محمد سعيد حيرسي مورغان; 1 January 1949 – 28 May 2025), was a Somali politician and senior military official. He served as Minister of Public Works and Housing from 1989 to 1990 and was the last Minister of Defence under Siad Barre's regime. Additionally, he held various position including Chief Commander of the Somali Armed Forces. The general had a distinguished career with the Somali National Army. Most recently, he served as a security advisor for President of Puntland Said Abdullahi Deni, playing a significant role in the anti-ISIS campaign in Puntland. He was the son-in-law of Siad Barre and belonged to the Harti sub-clan of the Majeerteen, part of the larger Darod tribe. In his final years, General Morgan resided in Garoowe, serving as a security advisor to the Puntland administration.
Moja ya jambo lililozua gumzo katika fainali za AFCON 2027 huko Morocco, ni pamoja na ziara za Streamer maarufu duniani anayeitwa IShowSpeed kuingia katika fainali hiyo na kukutana na mashabiki na viongozi mbalimbali.
Mmoja ya watu waliokutana na IShowSpeed ni Rais wa Yanga Engineer Hersi Said...
MAKALA KAMILI: HERSI SAID NA MWISHO WA ENZI YA UONGOZI WA KUJIPAMBA — YANGA SC KATIKA NJIA PANDA
Utangulizi
Kwa miaka michache, Yanga SC imekuwa mfano wa klabu yenye mabadiliko makubwa ya ndani na mafanikio ya kiuchumi.
Rais wake, Hersi Ally Said, amekuwa amekuwa chachu ya kuibadilisha Yanga...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia na Rais wa Yanga, Hersi Said wameteuliwa katika kamati tofauti za Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA).
Karia ambaye pia ni mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), ameteuliwa kuwa...
Yanga sio sehemu ya wanafunzi kufanya field
Folz sio coach Bali ni tapeli tu
Binafsi simhukumu Kwa matokeo ya Leo huko Mbeya, Mimi kama mwanamichezo naelewa hayo ni matokeo ya kawaida katika ligi
Huyu coach ni tapeli ana bahatisha
Kwa foundation course yangu ya coaching hizi ndo mbinu...
Nimetoka kuangalia clip ya Rais wa Yanga Hersi Said akisema wameingia mkataba na kampuni ya Artificial Intelligence inayoitwa Blackbird AI.
Kwa maelezo yake anasema mkataba huu ni kwa ajili ya kuiwezesha Yanga kupata analysis za wachezaji wakiwa mazoezini na katika mechi. Huu ni upotoshaji...
Yaani wewe Eng Hersi Said . boss wako atoe billion 10 kwa Ccm then wewe wakunyime ubunge ?
Aliyepo nyuma ya maanguko yako ni huyo Boss wako Gharib anataka uendelee kukaa hapo unamtimizia malengo yake hagupo tayari kukuona unakuwa na empire yako
Sahau kabisa kuwa Mbunge
Kama huyu jamaa kaamua kwenda Kongwa basi naamini kuwa we are done .
==
Mwananchi wameeleza kuwa baadhi ya majina ya wanachama 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa kufuatia kifo cha aliyekuwa hayati Job Ndugai yameanza...
1. Huna baya kwa kuichangia CCM kWa sababu hakuna anayejua wapi unapata mahela ya kuwapa furaha wanayanga
2. Zingatia sana maneno ya Manara kuwa Yanga ambayo wewe ni Rais wake wenye akili ni wawili tu
3. Tenda wema uende zako , wasiokuwa na akili hawana wema hata kidogo kama alivyosema Manara...
Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama
Yanga ni timu ya Wanachama
Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM
Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM,
Au unataka...
Kamati kuu umegoma kulipitisha jina la Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa Eng Hersi Said kugombea kupitia CCM Jimbo la Kigamboni,
Shafii Dauda akipita huko Jimbo la Temeke
Sasa rasmi Rais wa Yanga Eng Hersi Said atajikita zaidi kwenye football
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said, amesema "Kama kuna jambo silipendi, ni kutoa furaha za watu. Najua kuna ndugu zangu ambao ni Simba na mimi ni Yanga. Bahati mbaya taasisi ambayo naishughulikia ni taasisi inayotaka matokeo, na kwa sababu ya ‘nature’ ya taasisi unalazimika kutafuta matokeo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.