hersi

Hersi may refer to:

Youssouf Hersi, Dutch footballer
Mohamud Muse Hersi, Somali politician
Amina Moghe Hersi, Somali entrepreneur
Hersi Aman legendary 3rd Sultan of the Habr Yunis
Khalil Abdulkadir Farah Hersi (1946-2005), Somali poet
Hersi Matmuja, Albanian singer

View More On Wikipedia.org
  1. stakehigh

    Eng Hersi sjui ulimtoa wap Djigui Diarra, Huyu ni kipa wa makipa

  2. Chibike

    Viongozi na uongozi wa Simba kubalini tu kua Injinia Hersi kawazidi sana pakubwa kiakili na uwezo wa uongozi, na nyie mmekalia migogoro na uswahili

    Na leo naona mna press conference mchana wa leo najua tu mnataka kumjibu Injinia mwenye akili nyingi sana Hersi Na hamuoni hata wanasimba wenyewe wamefurahi sana kwa Injinia kutoa mfano kwa Simba kwamba Ina migogoro mikubwa upande wa uongozi...yan wako pale kula na kugombania pesa ya Mo Dewji...
  3. Waufukweni

    Eng. Hersi ateuliwa na FIFA kufundisha mfumo wa mabadiliko ya klabu Doha, Qatar

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani [FIFA], Limemchagua Rais wa Klabu ya Yanga SC na Mwenyekiti wa Umoja wa vilabu Afrika [ACA], Eng. Hersi Said kuwa miongoni mwa Wataalam watakaofundisha kwenye Kongamano kubwa la Mpira litakalofanyika Doha, Qatar, siku ya kesho, Desemba 14,2025. Eng. Hersi...
  4. Its Pancho

    Eng Hersi usimfukuze Folz wala kumleta Nabi wala hamdi ila fanya yafuatayo

    I salute you kinsmen Nimeona kelele nyingi sana zikitaka Romain Folz afukuzwe Well kila mtu ana lake ila kwa mtazamo mkali kabisa nimeona tatizo kubwa lilikuwa hapa.. Kilichomsaidia Miloud Hamdi ni kitu kimoja tu Yule jamaa aliyekuwa mkurugenzi wa ufundi msomali bwana Moalim. Katika yanga...
  5. ngara23

    Eng Hersi Said, kufumba na kufumbua, nahitaji huyo coach tapeli Roman Folz aondoke

    Yanga sio sehemu ya wanafunzi kufanya field Folz sio coach Bali ni tapeli tu Binafsi simhukumu Kwa matokeo ya Leo huko Mbeya, Mimi kama mwanamichezo naelewa hayo ni matokeo ya kawaida katika ligi Huyu coach ni tapeli ana bahatisha Kwa foundation course yangu ya coaching hizi ndo mbinu...
  6. DELETED ACCOUNT

    Hersi Said amepotosha kuhusu mkataba wa Yanga na kampuni ya BlackBird AI

    Nimetoka kuangalia clip ya Rais wa Yanga Hersi Said akisema wameingia mkataba na kampuni ya Artificial Intelligence inayoitwa Blackbird AI. Kwa maelezo yake anasema mkataba huu ni kwa ajili ya kuiwezesha Yanga kupata analysis za wachezaji wakiwa mazoezini na katika mechi. Huu ni upotoshaji...
  7. Bila bila

    Hersi usilazimishe Mambo, Muda ukifika utapata.

    Umegombea ubunge Kigamboni Chama kikakupiga chini, ukachangia mil.100 Kwa jina la Yanga kelele zikatoka Kila mahali kukshambulia. Katikati ya kelele hizo bila kupima madhara yake ghafla unajikeza kuchukua fomu upigiwe Kura na bado wamefyeka jina. Hii siyo speed ya kawaida brother. Binadamu ana...
  8. R

    GE2025 CHADEMA yatoa tamko kuhusu sakata la Timu ya Yanga kuchangia Harambee ya CCM

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitaka Klabu ya Yanga kujiepusha na Siasa na kurejesha Shilingi milioni 100 zinazodaiwa kuchangia kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia GSM Foundation. Kupitia taarifa iliyotolewa Agosti 15, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi...
  9. tonicimmobility

    GE2025 Hersi atemwa tena ubunge Kongwa, 13 wapita

    Rais wa Klabu ya Yanga, Hersi Said ameshindwa kupenya katika mchujo wa majina 13 ya wagombea ubunge Jimbo la Kongwa. Hersi ameungana na wagombea wengine 11 ambao majina yao yameshindwa kupenya katika mchakato huo, huku aliyeshika nafasi ya pili kwenye kura za maoni Agosti 4, 2025, Isaya...
  10. Knock life

    GE2025 Kama Eng Hersi Said ameenda kugombea Kongwa naanza kuona harufu fulani puani kwangu

    Kama huyu jamaa kaamua kwenda Kongwa basi naamini kuwa we are done . == Mwananchi wameeleza kuwa baadhi ya majina ya wanachama 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) waliochukua fomu kuwania uteuzi wa kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa kufuatia kifo cha aliyekuwa hayati Job Ndugai yameanza...
  11. Zanzibar-ASP

    Wanayanga haraka anzeni mchakato wa kumfukuza Engineer Hersi, anahisiwa kuitumia klabu ya Yanga kisiasa na kutakatishia pesa za GSM

    Dalili zote zilianza mapema sana kufanywa na GSM kupitia Engineer Hersi kuitumia klabu ya Yanga kama kichaka cha kufanikiwa kisiasa na kutakatishia pesa. Hitimisho likawa juzi kwenye harambee ya CCM pale ambapo rais wa klabu ya Yanga kutangaza kuwa Yanga itatoa milioni 100 ili kuchangia kampeni...
  12. ngara23

    GE2025 Eng Hersi Said kuchangia CCM milion 100 ada zetu za uanachama ni kutudharau sisi wanayanga

    Nimechukizwa na Kitendo cha Eng Hersi Said kutangaza kuchangia milion 100 CCM bila rushwa yetu Wanachama Yanga ni timu ya Wanachama Hiyo milion 100 ilipitishwa na mkutano Gani ikachangie kampeni za CCM Eng Hersi Said umetugawa sisi Wanachama wa Yanga ambao sio Wanachama wa CCM, Au unataka...
  13. S

    Murtaza Mangungu na Engineer Hersi OUT

    Habari ndio hiyo, Mangungu na Hersi wamepigwa chini Simba oyeee
  14. ngara23

    GE2025 Eng Hersi Said aachwa ubunge Kigamboni Shafii Dauda apeta Temeke

    Kamati kuu umegoma kulipitisha jina la Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa vilabu vyote Africa Eng Hersi Said kugombea kupitia CCM Jimbo la Kigamboni, Shafii Dauda akipita huko Jimbo la Temeke Sasa rasmi Rais wa Yanga Eng Hersi Said atajikita zaidi kwenye football
  15. NALIA NGWENA

    Eng. Hersi Said ni Tumaini Jipya la Kuinua Mpira Wetu Kitaifa

    Katika tasnia ya michezo nchini Tanzania, jina la Eng. Hersi Said limeendelea kung’ara kama mfano wa uongozi bora, ubunifu, na maendeleo ya kweli. Kupitia nafasi yake kama Rais wa Klabu ya Yanga SC na Mwenyekiti wa African Club Association (ACA), Eng. Hersi ameonesha dira ya kisasa ya kusimamia...
  16. Bramo

    Baada ya Eng. Hersi Kuchukua Form ya Ubunge - Wito kwa wana Yanga : NRNE

    Wakuu JF wana Yanga na wa Tanzania wote kwa Ujumla wenye Mapenzi mema na nchi yetu Amani ya Mungu wetu ikae nanyi Daima. Niweke wazi in advance kuwa mimi ni Mtanzania, shabiki wa Yanga na ni mwana CHADEMA, pia ni mmoja ya wa Tanzania tunao wish CCM ife hata hii leo Nimewiwa kuja na uzi huu...
  17. OMOYOGWANE

    Utabiri wangu umetimia Hersi kugombea ubunge mwana FA ajipange hapo kwenye uwaziri

    Wakuu mpo! Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025 https://www.jamiiforums.com/threads/anguko-la-yanga-limechangiwa-na-eng-hersi-mwenyewe-na-gsm-kuwa-na-tamaa-ya-madaraka-ya-kisiasa-mwaka-2025.2286008/ Leo nmeona taarifa kachukua fomu. Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo...
  18. Waufukweni

    GE2025 Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi achukua fomu ya kuomba kuwania ubunge Kigamboni

    Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said leo Jumamosi, Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hersi amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Kigamboni na amekabidhiwa na Katibu wa CCM wa Kigamboni...
  19. GENTAMYCINE

    Niliposema hapa hapa JamiiForums kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anajipendekeza Serikalini na CCM kwa Ajili ya Ubunge Kigamboni mkanibeza

    Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo Juni 28, 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwani Ubunge katika Jimbo la Kigamboni lilipo Jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Hersi amekua miongoni mwa watu mashuhuri wanaokubalika katika jamii kutokana na uongozi wake...
  20. Frank Wanjiru

    Ujumbe wa Hersi kwa Wanayanga wote

    Rais wa Yanga SC Engineer Hersi Said kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe wa kuwashukuru Mashabiki na Wanachama wa Klabu hiyo baada ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu ya NBC Msimu huu Injinia Hersi ameandika ✍🏿 "ALHAMDULILLAH!!! YANGA BINGWA WA NBC 2024/25 Shukran za dhati kwa...
Back
Top Bottom