heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    JamiiForums PreGE2025 Heche: Msimamo wetu wa kulinda rasilimali mpaka mwisho uko pale pale, wakimfunga Lissu wengine tutasonga mbele

    Makamu Mwenyekitu CHDAEMA, John Heche akiwa anaongea na waandishi wa habari April 12, 2025 ikiwa ni baada ya kutangazwa rasmi kuwa CHADEMA kwa kutofika kusaidi kanuni za maadili ya uchaguzi wamejiondoa rasmi katika kushiriki uchaguzi mkuu 2025 ametoa msimao wa chama, ambapo amesema...
  2. and 998 others

    JamiiForums Heche ndo Kaimu Mwenyekiti CHADEMA kwa SASA! Ndo hatari zaidi

    1. Huyu Mkurya ndo Moto pengine kuliko Bryson! 2. Aisee kwann hawa watu hafanyi risk assessment? Heche ni Moto na haogopi pia Hatumii mihemko kama Bry!
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Nimefarijika kwamba Polisi Ruvuma haikuwapeleka mahabusu Heche na Lema

    Kwa mwendo huu inaelekea kwamba hatutapata matatizo yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu . Halafu Polisi Ruvuma imewaambia Chadema kwamba haipingi mikutano yao ila Chadema hawana ruhusa kusema katika majukwaa,"No reform,no election."
  4. BOB LUSE

    JamiiForums WANAUME WAKO VITANI LISSU NA HECHE, G55 Wanawaza kugawana Nyara!

    Ukipenda kula vitu mlivyoteka Nyara vitani,Nenda vitani,sio ukae nyumbani na familia yako, walioenda kupambana wakirudi nawewe unufaike na mgao! G55 nguvu zao zielekezwe kupinga uchaguzi usio wa haki uliosababisha watu kadhaa kupoteza Maisha na wengine Mali zao na kupata ulemavu. Watu...
  5. Mpepetaji

    JamiiForums PreGE2025 Wananchi wafunga barabara usiku wakimsubiri Heche

    Usiku wa Aprili 07,2025, Wananchi wa kijiji cha Msanga kata ya Mitesa, Jimbo la Lulindi Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, wameuzuia nsafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara John Heche, ambao ulikuwa unatoka kwenye mkutano Newala mjini kuelekea Masasi wakimataka azungumze neno
  6. Ileje

    JamiiForums John Heche amkosha Farhia Middle!

    Katika siku ambazo Farhia Middle wa ITV hatazisahau ni leo wakati akifanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Chadema katika kipindi cha dakika 45! Farhia ameshiba majibu ya maswali yote aliyouliza hadi akashindwa kuuliza maswali ya nyongeza! Hakika kwa viongozi hawa wa Chadema wakiongozwa na...
  7. M

    JamiiForums Heche ajiuzulu mapema, ameshindwa kazi

    Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55. Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema. Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
  8. chiembe

    JamiiForums John Mrema ni gwiji la siasa, John Mrema mmoja ni sawa na kujumlisha Lissu na Heche kwa pamoja, halafu hawafiki hata nusu

    Nimemsikiliza John Mrema, hii kichwa ni mali sana, ana uwezo mkubwa. One vs one Lissu na Mrema, Lissu anapigwa knock out dakika ya pili. Na atakimbilia kwenye kashfa na matusi Mrema ni genius political mind
  9. chiembe

    JamiiForums Heche anapolinganisha Israel na mikoa ya Tanzania ni uchovu wa kufikiri, Israel inalelewa na Marekani kama last born,wachumi wamjibu!

    Kama kuna mahali mabilioni kama sio matrilioni ya dola yanamwagwa, ni Israel. Kila wanachokifanya asilimia 95 ni mmarekani ndiye anafanya. Nashangaa kiongozi wa kitaifa wa chama anashindwa kujua hilo. Hata risasi zinazoua Gaza ni za Marekani. Wachumi wamsaidie. Mmarekani anacholeta Tanzania...
  10. K

    JamiiForums Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!

    Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!. Lissu na Heche pamoja na kuwa watata wameonyesha utulivu wa hali ya juu na wame focus kwenye hoja ambazo sasa zimeanza kueleweka vizuri. Kwa muda mfupi sasa tayari agenda imenyooka kama panga. Hawa papara, hawatoi maneno mabaya na ya...
  11. sonofobia

    JamiiForums PreGE2025 John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche

    Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo; 1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
  12. R

    JamiiForums PreGE2025 Mfupa uliomshinda Magu, Heche na CHADEMA wanauweza.

    Hello! Magu na uzalendo na upendo wake kwa wananchi maskini alishindwa kupiga marufuku kamari ambayo kwa jicho la haraka ni Kodi kidogo inaingia serikalini, lakini inaleta hasara kubwa kwa kuwafanya vijana wengi kutofanya kazi wakiamini betting ni mojawapo ya kazi. Pesa nyingi inaenda nje...
  13. C

    JamiiForums Heche Vijana wanahitaji ajaira si kubeti

    Hivi Heche anajua Katiba ya Tanzania na Uhuru wa Kufanya Kazi yoyote ili mradi hauvunji Katiba ya nchi? Au ndio wanataka kuleta Udikteta
  14. Bramo

    JamiiForums John Heche ni zaidi ya Ibrahim Traoré

    Nimekuwa nikimfuatilia sana John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni wazi uzalendo wa John Heche kwa hii nchi ni zaidi ya Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traoré. Kwa Maoni yangu John Heche ndio anafaa kuwa Raisi wa hii nchi. Namtabiria Makubwa sana John Heche
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Jeshi la Polisi lasema linamsaka "anayedaiwa kuwa Mlinzi wa CHADEMA" kwa kumshambulia Mwenezi wa BAWACHA Taifa

    Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA...
  16. The Watchman

    JamiiForums PreGE2025 Polisi wamzuia Heche Kuzungumza na wananchi Mbarali

    Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya Jumanne tarehe 25 Machi 2025, siku ambaye alikuwa na ratiba katika jimbo hilo kuendelea na Operesheni No Reforms No Election.
  17. S

    JamiiForums PreGE2025 Heche: Wanaiba pesa kisha wanawapa wananchi vitenge na mitungi ya gesi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya ameeleza kuwa mali mbalimbali za Taifa zinataifishwa kwa watu wa mataifa ya nje mfano waarabu wamepewa baadhi ya viwanja vya ndege na Wachina wamekabidhiwa...
  18. S

    JamiiForums PreGE2025 Heche ashangazwa na wananchi kuwa na shida ya maji kwenye nchi yenye rasilimali nyingi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya. "Mbunge wako akiugua Mungu ametuweka Tanzania nchi yenye neema kuliko nchi nyingi, mimi nimezunguka duniani unakwenda nchi unakuta ina rasimali moja tu...
  19. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Hii CHADEMA ya Dkt Slaa pale, huku Tundu Lissu kule Freeman Mbowe pale John Heche na John Mnyika katikati Godbless Lemma CCM kwisha kabisa

    Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
  20. S

    JamiiForums PreGE2025 Heche asema hakuna hata senti moja ya wanachama itakayopotea

    John Heche amesema hakuna hata senti moja ya mchango itakayopotea kwani fedha hizo huwa zinakaguliwa hadi na CAG. Amesisitiza pia kuwa CHADEMA kuna uwazi hivyo watu waendelee kuchangia. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
Back
Top Bottom