heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu

    Sababu za kijana HECHE amekuwa mfano wa kiongozi bora vijana kumpita Mwigulu. Kwasababu haonekani fake kama jamaa yetu Mwigulu ambaye ameweka dharau kwa watanzania wa kawaida, fake uzalendo kwa kuvaa bendera na kuwa kati ya mafisadi papa kwa kupata 10% ya miradi hasa ya treni kutoka kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Heche: Gari la Lissu Lilishanunuliwa, lipo na ni Jipya!! Tunasubiri atoke tumkabidhi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kwamba gari ambalo wananchi walikuwa wakimchangia Lissu ili anunue tayari Lilishanunuliwa ni Jipya na akitoka tu gerezani anakabidhiwa. Akizungumza na kituo cha East Afrika katika kipindi cha "The Interview". Heche ametoa taarifa hio baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania SI KWELI Heche amesema wapo kwenye hatua nzuri ya mazungumzo na serikali

  4. R

    JamiiForums Tanzania Let it be on record, Chadema fungua mashitaka mahakamani kwanini magereza wanakataa watu wasimuone Lisu. Heche leo kafukuzwa kama mbwa!

    Najua hakuna mahakama. But let it be on record! Hakuna Jaji atakataa kupokea maagizo. Na hili naweza kusema with brevity kuwa hawana jinsi, nao wanatetea uhai wao! Ni vyema mkaenda mahakamani , iwekwe record kuwa mahakama ilikataa kutoa haki! Let it be documented rather than leaving the...
  5. JamiiForums Tanzania Heche: Nimezuiwa kuonana na Mwenyekiti Tundu Lissu Gereza kuu Ukonga kinyume cha sheria

    Kupitia ukurasa wa Instagram na (X) zamani Twitter anaandika John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti CHADEMA "Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti… Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona nimezuiliwa kinyume cha sheria na utaratibu uliopo. Mfungwa au mahabusu anaweza kutembelewa na...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Hoja za Heche zimejaa harufu ya usaliti. Haya yafanyike kabla ya kufanyika maridhiano yoyote yale

    Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote. Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mnyika: Ni kweli Heche ananufaika na hii kesi ya Lissu

    Wakuu, Je, ni kweli John Mnyika amezungumza maneno haya?
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia

    "Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia itakayowekwa chini ya uangalizi wa taasisi huru za kimataifa kwa kuwa serikali haina uhalali wowote CHADEMA inataka kuanzishwa kwa serikali ya mpito " Mh. John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 11,2025...
  9. JamiiForums Tanzania John Heche: Kesi ya Lissu ni ya uongo aachiwe bila masharti yoyote

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara, John Heche, ametoa wito wa kumuachia huru bila masharti Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Tundu Lissu, ambaye yupo mahabusu akikabiliwa na kesi ya uhaini.
  10. JamiiForums Tanzania Namlisha mawazo Mwigulu; "Huyu John Heche anajiamini nini huyu"

    https://www.youtube.com/shorts/6aDJnh2uHPo Sauti ya Mamlaka John Heche ikipasuka
  11. K

    JamiiForums Tanzania Heche ana kipaji kikubwa cha kuwasiliana “short and clear”

    Kwa wanasiasa wa Tanzania wa vyama vyote, hakuna mtu ambaye anaweza kutoa ujumbe mfupi unaoeleweka kama Heche. Vijana jifunzeni kutoka kwake jinsi ya kuwasiliana
  12. JamiiForums Tanzania Hongera sana Heche umejua kumchezesha bolingo Chawa Mbowe na CCM

    Asee Heche ni mwamba . Baada ya msiba huu mzito ni wazi Ccm wakishirikiana na watu wao Hususan Mbowe na zitto kuwatumia kuhakikisha msiba hauwapi Milage Chadema kwa mbinu mbali mbali .naomba mtililiko ya yaliyojiri - Kipenga kilipigwa kwa mbowe kutumia umkwe kuwa msemaji wa familia ,sisi...
  13. JamiiForums Tanzania Heche mbele ya waziri mkuu 'watu wanapotea hatuacha kupigania haki'

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema chama hicho kimepoteza kiongozi muhimu kufuatia kifo cha muasisi wake, Mzee Edwin Mtei. Akizungumza wakati wa salamu za chama katika ibada ya mazishi iliyofanyika nyumbani kwa marehemu. Heche amesema CHADEMA kinatoa salamu za pole kutoka kwa...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA aliyoianzisha mzee Mtei ilikuwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya CCM sio kama hii ya sasa chini ya Lissu na Heche.

    Mpaka anaondoka Mbowe ilikuwa ni sehemu ya CCM kudanganya jumuia ya kimataif kuwa kuna upinzani nchini. Ilikuwa ipo kibiashara zaidi ili kunufaisha matumbo ya mabwanyeye waliojipachika jina kuwa wapinzani wakati sio wapinzani. Sasa hovi chini ya Lissu na Heche ndio kimekuwa chama cha upinzani...
  15. JamiiForums Tanzania Imedhihilika wazi CHADEMA baada kuwa chini ya Lissu na Heche imejijenga mioyoni mwa Watanzania

    Ni kuwa Watanzania wana imani na CHADEMA ya sasa hivi kuliko kipindi Cha Mbowe. Fikikiria huu uonevu unaofanyika kwa kufungwa jela mwenyekiti wao. Kufungiwa ofisi. Na kukamatwa na polisi kama wana kamata kuku wakati wafuasi wa Chadema sio waharifu. Leo Tanzania nzima watu wanasheherekea miaka...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Heche aendelee kuwa Makamu Mwenyekiti, Kuwe na mwenyekiti wa muda kuokoa jahazi, Chama kinazidi kuoteza ushawishi wake

    Simaanishi kusema waliowahi kuwepo nafasi za juu hapo awali warudi, Hawastahili kurudi kwasababu walikigeuza chama kwajili ya maslahi yao. Bila nia ya kubeza wala kupunguza mchango wa yeyote, ni muhimu kutazama hali halisi ya chama kwa jicho la kimkakati. John Heche ni kiongozi mwaminifu...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi nikweli CHADEMA itakufa sababu ya misimano thabiti ya Lissu na Heche?

    Kuna minog'ono inatolewa na WanaCCM wanaoionea wizvu CHADEMA ya Lissu na Heche kuwa inakwenda kufa kisa tu wana misimamo thabiti. Kwa sababu hawataki kuwa kama Mbowe na kuwa wananunulika na CCM kuwasaliti Watanganyika.
  18. JamiiForums Tanzania Heche: UDSM wamezuia kongamano la DUPSA mjadala

    Anandika John Heche kuwa; "Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi. Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano. Ajabu ni kwamba sehemu ambayo Inatakiwa kuwa chimbuko la fikra na mawazo wamezuia kongamano hili dakika za mwisho kabisa".
  19. JamiiForums Tanzania Sheikh mwaipopo adai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia

    Sheikh mwaipopo anaonekana misikitini akidai kitima alikutana na heche na kumpa milioni mia moja Ni matumaini yangu, kanisa langu makini moja takatifu la mitume litakanusha,na siyo kukanusha tu bali kumchukulia hatua za kisheria sheikh mwaipopo,maana kazidi sana! NB: Modes acheni kufuta nyuzi...
  20. JamiiForums Tanzania POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

    Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli? i
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…