hayati magufuli

John Pombe Magufuli
John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.

First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020.

He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.

Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease.

His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwashinga nguvu CHADEMA kwa wanancho sababu alidhibiti ufisadi na kusimamia rasilimali za umma

    Ikumbukwe kuwa CHADEMA walishawahi kuwabana CCM juu ya kashifa nyingi za ufisadi kiasi kwamba watu wakaichukia CCM. CCM iliyokuwa chini ya Kikwete ilichukiwa kama mavi. Magufuli alipoingia madarakani akapambana na ufisadi. Akasimamia vyema rasilimali za umma wananchi wakampenda. Akaleta...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tukishachukua Nchi, Kifo Cha Hayati Magufuli kitachunguzwa, Wahusika wa Mauaji hayo Kuchukuliwa Hatua Kali za Kisheria !!Hakuna Cha Msamaha hapa !!

    Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!. Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Hayati Magufuli akiwatahadharisha wananchi juu ya kusombwa kwenye malori na kuhongwa pesa kipindi cha Uchaguzi

    GT By the way Magufuli was a true man ndo maana yalitokea yaliyomtokea.
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Proffesa Kabudi na siasa za maji ya kihaya, unamfananisha Samia na Nyerere, Hayati Magufuli na Mungu aise

    Ukinzisha biashara ya kuuza maji na kuyaita uhayani water utauza sana Najiuliza Proffesa Kabudi alirogwa na nani? Yaani anamfananisha Samia na Nyerere kama ulivyomfananisha Magu na Mungu na baadae Mungu kukuonesha hafananishwi akamtwaa.
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Audio: Magufuli akiviagiza Vyombo vya ulinzi kumchukulia hatua aliyelipwa mabilion ya pesa kuhusu sare za polisi

    GT Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa. Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Polepole aache kutumia jina la Hayati Magufuli kuhalalisha vioja vyake.

    Baada ya kutazama video nzima ya Polepole ya dakika 59 nimeona niandike huu uzi ili kuweka mambo sawa kwa facts tupu. Huu uzi ndo utakuwa msimamo wa JF nzima dhidi ya vioja vya Polepole. Nimejitahidi kumpuuza ila naona anakoelekea sio pazuri kwa afya yake ya akili ndo maana nimeona nimsaidie...
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mlimpenda sana Hayati Magufuli, basi David mwaijojele wa CCK, Ndiye!

    High quality copy ya hayati Magufuli pekee ni bw. David Mwaijojele, trust me or not, kwa wale watu wa msimamo mkali mmepata mtu mwenye wajihi sahihi, mfuatilieni nyendo zake na sera zake pamoja na msimamo yake!, kwa wale ambao bado mnamisimamo mikali pitieni njia hiyo jiungeni kwa wingi...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia aliposhika madaraka marafiki zake Hayati Magufuli walikuwa na hofu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Masato Wasira ameeleza kuwa hofu kubwa iliyokuwepo miaka minne iliyopita wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ilitokana na mfumo dume uliokuwepo nchini pamoja na hofu waliyokuwa nayo waliokuwa marafiki wa Hayati Dkt...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampiku Hayati Magufuli kwenye kila sekta

    Dar es salaam, Agosti 2025 – Akihutubia Taifa kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oct 29. 2025, Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imefanikisha mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Rais Samia alisema kuwa Bajeti ya Serikali...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli "ignorance of the law is no defense"

    Muwe na siku njema
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga mpina aungwe mkono ili wahuni wa CCM wadhibitiwe kama hayati Magufuli alivyokuwa amewadhibiti

    Mpina apewe urais. Hii ndio kauli ya kila mtanzania mpinga dhuluma. Mpina ni kama hayati Magufuli. Anapigania haki za wanyonge. Akipewa nchi wahuni wa CCM watadhibitiwa na kunyooshwa. Angalia anavyopinga uhuni. Mfano serikali ya CCM kuingia mikataba 47 inayohusu rasilimali za umma bila...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Samia , Ilizuia mara Moja Ujenzi wa Barabara ya Lami kutoka Makao Makuu Wilaya Ngorongoro-Arusha ,iloanzwa kujengwa na Hayati Magufuli

    Kumbe Hayati Magufuli, Kwa kuhakikisha Anaunganisha Nchi Kwa Barabara zenye kiwango cha Lami Tanzia nzima. Alianzisha Ujenzi Wa Barabara Kwa Kiwango Cha Lami uliokua unaunganisha Makao Makuu ya Wilaya ya Ngorongoro Hadi Arusha . Aliyenipa Taarifa hiii, ambaye pia ni Kiongozi Mkubwa wa CCM na...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe jinsi Hayati Magufuli alivyokataa pesa za Matajiri akiwemo Mzee Mengi katika kampeni zake

    Wazungu wanamsemo wao unasema " Scratch my back I Scratch yours " hii kwa kiswahili inaitwa nipe nikupe. Hicho ndo maCCM wanafanya dhidi ya matajiri. Je watakuja kulipa nini. Wakikwepa kodi or whatever watawafanyaje? Wafanyabiashara wa kiafrika wanamakandokando mengi sana ukiwachekea...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tumwamini Nani? Hayati Magufuli au Polepole?

    Tumwamini Nani? Hayati Magufuli au Polepole?
  15. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020: Hayati Magufuli alichukua fomu ya kuwania Urais ya CCM; kusaka wadhamini na kuidhinishwa

    Iko kwenye kumbukumbu, Hayati Magufuli alichukua fomu ya ndani ya CCM na kusaka wadhamini kabla ya kuidhinishwa na chama chake. Alipata wadhamini 1,023,911 katika mikoa aliyotafuta na kupata wadhamini hao. Kwakuwa alikuwa mwanachama pekee aliyechukua fomu ndani ya CCM kwa nafasi ya Urais...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

    Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa? Huyu hapa.
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Nilitarajia Polepole aweke hadharani ukweli juu ya kifo cha hayati Magufuli

    Aliposema kuwa kesho tusilaumiane juu ya nitakachoongea mimi binafsi nilitalijia ataweka wazi juu ya hili suala. Je ni kweli aliugua? Na kama aliugua mbona watanzania walifichwa kwa zaidi ya wiki tatu bila kumuona hayati hadharani? Je kulikuwa na uzembe? Polepole hajagusia kabisa!
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni ukweli ulio wazi kuwa Rais Samia alikuwa anamalizia ngwe ya mwisho ya hayati Magufuli. Mchakato mwingine ulipaswa kuanza upya

    Kwa mujibu wa katiba yetu ya mwaka 1977 kuwa Rais aliyepo madarakani akifa basi makamu wake moja kwa moja anakuwa Rais kumalizia ngwe yake. Kwa bahati nzuri hayati Magufuli alikuwa mwanzoni kabisa mwa ngwe yake ya mwisho. Rais Samia alipaswa kumalizia ngwe hiyo na baada ya hapo kiti kilitakiwa...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Mazuri yake Hayati Magufuli ndiye aliyepanda Mbegu Mbaya sana ya kuua Demokrasia Nchini

    GT. Haya tunayoyana sasa ni mwendelezo wa ukandmaizaji uliopitiliza kuanzia awamu ya tano iliyoamini katika chama kimoja. Kwenye demokrasia Kikwete hatuwezi kumlaumu sana japo ufisadi ulimshinda. Uhuni unaotendeka sasa hivi ni matokeo ya 2020 aliyopanda Hayati Magufuli.. No reforms no election.
  20. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alifanyaje kumaliza ajali?

    Wasalaam Hayati Magufuli alifanya nini kumaliza ajali za barabarani?Hii sio kitu kwa watawala na wanaowajibika kwa usalama barabarani? Au tutolee mfano familia za watawala kama swala la utekaji? Pole wote wanaojeruhiwq lakini wapumzike kwa amani wote waliotangulia kwa ajali hizi
Back
Top Bottom