John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.
First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020.
He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.
Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease.
His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.
Flavian Methew Nyandikuu
Mzee Flavian Methew Nyandikuu (85) Mkazi wa Mwenge Mlalakuwa, Mtaa wa Nyendikuu Jijini Dar es Salaam amelia na Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar kwa kushindwa kumilikisha ardhi yake kwa zaidi ya Miaka 40 sasa ambapo kila akienda katika ofisi hizo kudai haki yake...
Rais Samia amemcha Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akihutubia Mkutano wa Hadhara Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 17 Juni, 2025 akisema kuwa;
"Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, amenishangaza kwa kusema Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka Nywele"
Salaam,
Ndugu huyu ni mkweli sana, amenyooka, penye mapungufu ya Magu a asema wazi, na penye mazuri ya Magu pia anaeleza kwa haki.
Anamsema wazi kuwa Magu alikuwa mzalendo wa nchi yake.
Naanza kujua sababu hasa ya kukubalika na kuvuta umati mkubwa wa Wananchi kummsikiza kwa muda mfupi sana...
Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii.
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, yani ni bora uteke uuwe utalindwa na dola kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!!
Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi...
Hivi ni kiburi, dharau au upumbavu?
Kwanini Magufuli hatoi somo?
Hivi dunia hii ya 5G unaweza kweli kuitawala kwa mkono wa chuma ukafanikiwa?
Hivi kwanini Samia apitii notes za Magufuli?
Hivi hii nchi kuliwai kutokea mwamba na mtu mwenye ushawishi kwa umma Kama Magufuli? What next?
Ila...
Habari wanaJF , Ni siku nyingine tena Mwenyenzi Mungu anatupa nafasi ya kuendelea kupambana na katafuta Maisha .
Binafsi namuona Askofu Gwajima ni yule yule alichoamini jana ndicho anachoamini leo .
https://youtu.be/8meTag4tsR4?si=_cIUS_w1pGQCI6Z9...
Tofauti na waislam ambao wanaruhusiwa kujenga misikiti yao binafsi na kuikabidhi kwenye uongozi,hali iko tofauti kwa kanisa katoliki
Huwezi kujijengea kanisa na kulikabidhi kwa jimbo bila kufuata taratibu rasmi walizojiwekea kama kanisa
Ukifika Chato pembeni ya nyumba ya Hayati Magufuli...
Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli
Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu...
Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli.
Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli.
Kesi za jinai kwa wapinzania...
Kiongozi wa Chadema wa Wilaya ya Mwanga ameeleza waandishi wa habari kwamba Lissu ni dikteta sawa na JPM.
Mchome ameeleza hayo wakati akiongea na waandishi wa habari. Mchome amelalamika chama chake kushindwa kuifanyia kazi barua yake ambayo inaonyesha Mnyika, Golugwa na wengine kwamba...
Umuofia kwenu, ndugu, jamaa na mtanzania mwenzangu.
Hakuna kitu kigumu kukubalika duniani kama Mabadiliko na mazoea.
Hili mara nyingi linasababishwa na Woga wa kisichijulikana (fear of unknown and uncertainty). Kwasababu mwanadamu kaumbwa kuijua jana ambayo ni historia, leo ambayo ndio...
Kiuhalisia tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Tundu lissu ni majina na vyama lakini wote wawili ni wazalendo wa kweli .
Hayati JPM aliumia sana masilimali za nchi zilipochezewa na alitamani sana kuona Tanzania ikisonga mbele , kwa sasa tuna Tundu lissu kimtazamo hana tofauti na JPM ...
Hayati Magufuli amenifundisha usipokuwa na msimamo hutafanikisha jambo la maana hapa duniani kwa sababu ukianzisha jambo watakaokupinga ni watu wako wa karibu na huenda ni wasomi sana kuliko wewe na huenda wana pesa nyingi kuliko wewe.
Ukitaka kujenga nyumba utapingwa kwa kuambiwa unazika...
Na Askofu Benson Kalikawe Bagonza
KWA WEMA au KWA UBAYA, TUSIMSAHAU MAGUFULI
Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili cha umri wa mwanadamu unaanza kuhesabiwa lini (anapoingia tumboni au anapotoka), ndivyo kilivyo...
Nianze kupongeza Kanisa katoliki kwa utaratibu wake wa kuwaombea na kuwakumbuka marehemu wote walio tangulia mbele ya haki kwa kanisa langu Takatifu Katoliki La Mitume Ili jambo ufanyika kila jumapili kwenye Nia za misa.
Sijui kwa dini nyingine mathalani uisilamu na kadhalika na Sina hakika na...
Mwamba amekwenda lakini maono yake yatabaki vizazi kwa vizazi... vitahadithiana aliwahi pita mwamba katika nchi hii aliyeweza kufanya mambo makubwa kwa muda mchache aliyokalia kiti cha ikulu...wazalendo wa kweli,wanaCCM..machozi yawawabubujika kuondokewa na mwana maono alikuwa gumzo ulimwengu...
Mwaka wa nne leo tunapo kumbuka siku ile tunaarifiwa kufariki kwake.
Tunashukuru tupo salama kama taifa japo mambo madogo madogo yasio sawa yanatupa usumbufu lakini hatuna budi kushukuri kwani ilikua ni kipindi kigumu sana ambacho kwa wengine wahawakuvuka salama.
Miaka hii minne yaliibuka...
Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya tano.
Leo naomba nifahamishwe kuhusu huyu mlinzi wake, nilikuwa namkubali sana, yuko makini na hana papara kama yule bonge. Jamaa alikuwa mrefu na anaonekana ni mtu wa mazoezi, mtulivu sana, yuko wapi siku hizi?
Familia ya Hayati Rais John Pombe Magufuli ikiongozwa na Mtoto wa Dr. Magufuli aitwaye Jesca Magufuli, imeongoza maandamano ya amani leo March 16 2025 Chato, Geita kumuenzi Hayati Magufuli na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza na kukamilisha miradi iliyoanzishwa na Hayati...
Wakuu salama…
Enzi za uhai wake, Rais wa awamu ya tano, hayati John Pombe Magufuli alikuwa ni mpenda drama sana.
Angeweza kusafiri kwa gari kutoka Dodoma pengine kuelekea Chato.
Angeweza kufika Singida na kusimama barabarani bila kujali anasababisha foleni kwa walipa kodi wanaotumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.