hayati magufuli

John Pombe Magufuli
John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.

First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020.

He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.

Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease.

His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Kama Tulivyosema Hayati Magufuli kabaki kutumika tu kisiasa ni wachache ndani ya CCM walikuwa wanampenda kweli!

    Ukiacha wachache sana ndani ya CCM ambao kweli walikuwa wanampenda Magufuli kama mtu wengi ni wanafiki. Waliokuwa wanampenda kweli ni wakina Majaliwa, Ummy Mwalimu na Hata Raisi Mwinyi wengine wengine ni wanafiki na wanufaika wakubwa wa kuondoka kwake. Kuna ambao wapewa PHD na kujifanya...
  2. M

    Jesca Magufuli: Hayati Magufuli hakuwahi kuhudhuria harusi za watoto wake, aliacha harusi ya kaka akaenda kuangalia mechi ya Simba Vs Yanga

    Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca amesema kuwa Mzee wake alikuwa si mtu wa kupenda sherehe kabisa jambo lililopelekea asihudhurie harusi hata ya mwanaye mmoja. Anasema hawakumshangaa kwani hata harusi yangu haikuwa na sherehe kabisa, walitoka kanisani wakaenda kunywa soda, wakarudi nyumbani Mama...
  3. Waufukweni

    Aliyekuwa mlinzi wa hayati Magufuli yupo Chato kwenye kumbukizi

    Miongoni mwa waliohudhuria Misa Takatifu ya kumbukizi ya miaka mitano ya kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, John Pombe Magufuli, ni Wilfred Mwango, aliyewahi kuwa mlinzi wake binafsi. KUMBUKIZI | Magufuli: Siku moja mtanikumbuka, na mimi najua mtanikumbuka kwa MAZURI si kwa MABAYA Picha hii...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Picha ya mwisho ya uhai wake Hayati Magufuli, ilibeba ujumbe mzito kinachoenda kutokea kwake!

    Moja ya picha ya Magufuli katika kipindi cha uhai wake ambayo ilipigwa wakati akiwa Ikulu akimuapisha Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kua Balozi na Katibu mkuu kiongozi Februali 27, 2021 Picha hii ilibeba hisia nzito na kumuonyesha JPM hayupo sawa maana hata siku hiyo baada ya uapisho Magufuli...
  5. ChoiceVariable

    Video: Je, Hayati Magufuli Alistukia Mchezo na Uchochoro wa Kusajili Meli Tanzania Ambazo Zinakamatwa na Matukio Tata?

    My Take Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni. Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia...
  6. Sifi Leo

    Pascally Mayalla wa jf, na ccm mtaka teuzi alifilisiwa na Hayati Magufuli kisa kumuuliza swali chokonozi, je Samia atamfanyaje baada kumwambia Lisu...

    Pascally Mayalla ALIPEWA free pas ya IKULU siku Magufuli anaongea na vyombo vya habari kutoka Kwa rafiki yake Gereshoni enzi hizo, kilichojili baada kuingia IKULU hakikuwa TU balaa kwake Bali ndo ulikuwa mwisho wake wa KUPIGA fedha za serikali kupitia vyombo vyake na kile kipindi chake cha...
  7. R

    Ikiwa October 29 ilikuwa birthday ya hayati Magufuli, vipi kuhusu March 17?

    Salaam! Yaliyotokea October 29,ujasiri ule wa wananchi kutoka kudai haki siku ya uchaguzi,inasemekana ilichangiwa na roho ya uzalendo aliyoipanda hayati Magufuli. Sasa tunaelekea March 17 siku tuliyotangaziwa kifo Cha Magu, na ukizingatia akiba ya dhahabu mzalendo Magu aliyoitunza benki kuu...
  8. Nyankurungu2020

    Shujaa hayati Magufuli alikataa siasa za Kitapeli. Wanasiasa wote matapeli hakuwa karibu nao ndio maana akina Mbowe na Zitto walimchukia

    Unakuwa na mtu kama Mbowe na Zitto alafu kwa akili zako timamu unasema ni wa wapinzani wanaotaka kuig'oa CCM. Watu ambao wanafanya siasa za biashara. Magufuli shujaa wa Africa alipinga siasa za biashara na kuwahadaa watanzania wanaolipa kodi. Shujaa atakumbukwa sana?
  9. Damaso

    MV Mwanza ni wazo la Hayati Magufuli sio Samia

    Hivi karibuni, tumeshuhudia video mitandaoni kutoka kwa kina Photogenic Mtoto na kikosi chake. Wametupitisha kwenye madaraja ya kifahari ya meli mpya ya MV Mwanza "Hapa Kazi Tu", kuanzia VIP hadi daraja la kawaida. Kusema kweli, meli ni nzuri sana! Ina mvuto wa aina yake, na kwa mbali unaweza...
  10. M

    Mwigulu: Mirija ya wanaharakati ilipokatwa na Hayati Magufuli wakaanza kumtukana, alipoingia Samia wakadhani ni mteremko

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 23, 2026 akiweka jiwe la msingi mradi wa Ujenzi Vituo vya Kusukuma Maji, Mabomba Makuu ya Usafirishaji Maji na Matanki ya Kuhifadhia Maji jijini Mwanza amesema wanaharakati wanapinga sana sababu mirija yao imekatwa na Serikali ya Mapinduzi
  11. Nyankurungu2020

    Nicolus Maduro amesalitiwa kama shujaa wetu hayati Magufuli alivosalitiwa

    Duru za kisiasa zimeweka wazi kuwa Maduro amesalitiwa na watu wake wa karibu. Maduro amefuatiliwa na mashushu wa Marekani kwa muda mrefu kiasi kwamba wakajua hadi siri zake za ndani . Inasemekana alisalitiwa na watu wake wa karibu kiasi cha kuvujisha hadi siri zake za ndani kabisa. Matokeo yake...
  12. Nyankurungu2020

    Kama ilivyo kwa Patrice Lumumba na Thomas Sankara, kifo cha hayati Magufuli kitalighalimu hili taifa zaidi ya karne moja

    Hii ipo wazi shujaa yoyote yule ambae anajitoa kupambania taifa lake ili kulinda taifa lake alafu inatokea anafariki kwa utata kiasi cha kila mtu kutoamini kama alifariki kwa natural death damu yake haiwezi kwenda bure. Angalia Drc na Burkinafaso damu za mashujaa Patrice Lumumba na Thomas...
  13. Nyankurungu2020

    Walimuita hayati Magufuli kuwa dikteta Uchwara. Sasa wanamkumbuka. CHADEMA wana wakati mgumu sana

    Alikuwa busy kuhakikisha rasilimali za umma zinawaletea maendeleo wananchi. Akawaambia tuwe tunajikita kwenye ujenzi wa taifa baada ya uchaguzi. Then baada ya miaka mitano tunafanya siasa.Wakamuita dikteta uchwara Leo hii wanaishi kwa uoga, hata kuweka comment Facebook na Watsap wanaogopa...
  14. Sifi Leo

    Uwezi amini kale kagest ka Hayati Magufuli hapa chato kama mpaka kunguni, kamebakia na wateja wa shoo time, familia kabomoeni kana mtia dhambi.

    Nimefika hapa chato nikaona kagest chakavu kameandikwa Magufuli lodge, yaani nmeingia ndani naambiwa ni kakwake, ka enzi akiwa mwalimu. Nikauliza huduma ya kulala naambiwa Kako kwa Ajili ya shoo time ila kana kunguni wa kutosha Nashauri familia kaboeni jaman kanachafua Jina lake na kwa huduma...
  15. Area 56

    CGI Anna Makakala ndio Mkuu pekee wa Chombo cha Ulinzi na Usalama aliyebaki mwenye uteuzi wa hayati Magufuli

    Rais Samia alipoingia tu madarakani 19 March 2021 alianza taratibu kuwaondoa Wakuu waVyombo vya Ulinzi na Usalama na kuweka wakwake. Ndio, wengine walikuwa washakaribia kustaafu kama Jenerali Mabeyo, ila wengine waliondolewa kabla ya kustaafu kwao kama vile DGIS Diwani Athumani pamoja na IGP...
  16. Nyankurungu2020

    Hayati Magufuli aliwashinga nguvu CHADEMA kwa wanancho sababu alidhibiti ufisadi na kusimamia rasilimali za umma

    Ikumbukwe kuwa CHADEMA walishawahi kuwabana CCM juu ya kashifa nyingi za ufisadi kiasi kwamba watu wakaichukia CCM. CCM iliyokuwa chini ya Kikwete ilichukiwa kama mavi. Magufuli alipoingia madarakani akapambana na ufisadi. Akasimamia vyema rasilimali za umma wananchi wakampenda. Akaleta...
  17. Carlos The Jackal

    Tukishachukua Nchi, Kifo Cha Hayati Magufuli kitachunguzwa, Wahusika wa Mauaji hayo Kuchukuliwa Hatua Kali za Kisheria !!Hakuna Cha Msamaha hapa !!

    Yaan nyinyi kama mlimteka Polepole mkadhani ndio mmezima Jinsi zenu, kimewalamba !!!!. Jiandaeni !! Sisi tumeamua kuisafisha Nchi hii kuanzia Mizizi yake !!.
  18. The Burning Spear

    Kumbukizi: Hayati Magufuli akiwatahadharisha wananchi juu ya kusombwa kwenye malori na kuhongwa pesa kipindi cha Uchaguzi

    GT By the way Magufuli was a true man ndo maana yalitokea yaliyomtokea.
  19. Sifi Leo

    Proffesa Kabudi na siasa za maji ya kihaya, unamfananisha Samia na Nyerere, Hayati Magufuli na Mungu aise

    Ukinzisha biashara ya kuuza maji na kuyaita uhayani water utauza sana Najiuliza Proffesa Kabudi alirogwa na nani? Yaani anamfananisha Samia na Nyerere kama ulivyomfananisha Magu na Mungu na baadae Mungu kukuonesha hafananishwi akamtwaa.
  20. The Burning Spear

    Audio: Magufuli akiviagiza Vyombo vya ulinzi kumchukulia hatua aliyelipwa mabilion ya pesa kuhusu sare za polisi

    GT Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa. Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..
Back
Top Bottom