Kama ilivyokuwa kwa Burkinafaso Blaise Compaore alidhania kumuua Thomas Sankara itaKuwa neema kwake kuwa atatawala kwa kujiachia na kula mali za umma anavyotaka.
Naona hapa Tanzania hali ni mbaya sana kwa wanaCCM mtandao ambao wanahusishwa kumuondoa hayati JPM ambae alionekana kuwazibia mianya...
Hayati Magufuli alikuwa smart hasa kwa kusimamia pesa za umma tangu akiwa Waziri mpaka anakuwa rais.
Taifa lenye utajiri na rasilimali nyingi kama Tanzania sio la kukosa pesa za kujenga viwanja vya mpira likae vikao na na nchi kama Kenya ambayo haina uwezo hata wa kudhalisha mahindi ya ugali...
Msiwawafanye watanzania ni wajinga na wapuuzi. Kwa nini Dp World ambao ni waarabu wapewe kandarasi ya kuendesha bandari wakati uwezo tunao.
Kama ni kupanua na kujenga angepewa mkandasi akajenga na kuweka miundombinu ya kisasa. Watanzania wakapewa utaalamu na kuendesha bandari yao.
Kuhusu...
Kupitia mradi wa Mahindra Tec na ununuzi wa genereta kutoka Usa Januari Makamba alipiga bil 85 jumla.
Huyu Angela Kiziga ndio alijichotea kabisa pesa za Watanganyika bil 60 bila hata kutoa jasho. Huku maafande wakivaa Khaki zilizopauka.
Ufisadi kama huu hayati JPM asingeuvumilia.
Utakumbukwa...
Alipingana na ufisadi. Upendeleo wa kifamilia na kisiasa.
Hakuna aliyejua juu ya habari ya watoto wake na familia yake.
Alipenda kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma.
Wananchi walimpenda maana alikuwa upande wao. Alikuwa pamoja na wananchi wanyonge.
Hakuna raia wa kawaida angethubutu...
Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru.
Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya
1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani.
2. Kumbukizi ya...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuujulisha umma kuwa kimepokea kwa mshtuko mkubwa taarifa zinazodai kuwa Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuna mipango ya kuwekewa sumu akiwa kizuizini.
Taarifa hizi zimetolewa usiku huu wa leo, tarehe 02...
Nimesikia kwa umakini ukieleza namna hayati alivyokuwa akikueleza juu ya hujuma alizokuwa anafanyiwa.
Ikiwemo ile ya watu kutaka kumchafua kuwa anataka kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Kwa mantiki hii ni wazi kuwa kuna hujuma nzito alifanyiwa na wewe unazijua. Tuweke wazi...
Dah .... Nilimpenda sana sana Magufuli... Huyu kanisababishia niwe mfuatiliaji wa Habari sana hapa Tanzania...
Kila siku nilikuwa natamani kusikia kitu kipya...
Siku Giza lililopomkuta... Nakumbuka ... Nilikuwa nje kikazi...
Mhhhh ... Ile nafika nyumbani saa sita usiku, kwa vile nilikula huko...
Ukabira wa JPM yani leo ukiwa usukumani huwezi kuwaeleza kitu kuhusu huyu mtu.
Ili sasa naliona muhusika mwenzake kuona hana hapa lake tanganyika katumia udini wake.
Naeleza ili kila watu 10 wa imani yake no wawili tu unaoweza kusikia wakisema ila nao wawili ni kama wanaogopa imani zao kuhusu...
Japo alikuwa CCM wenye idadi kubwa ya chawa kupitia mapambio na kwaya Zabron singers ila kuna sehemu alikuwa na yake ambayo naona wanamsifu mtu mwengine kuwa ni yake.
Kitendo cha kuivunja Dar es Salaam ilisaidia sana amasa za watu kuona umuhimu wa mikoa mingi na vijiji hususan suala la umeme...
CHANYA
Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu.
COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake uliungana na wangu iliniondolea usumbufu mkubwa hasa kwa wale wanaopenda magonjwa na habari za kufakufa...
Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka.
Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na...
Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli
Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya ukiachana na matamshi ya TL kulingana na kuwa nje box .
Vivyo hivyo hakuna baya ambalo JPM alifanya...
Doto James, Ngusa Samike, Medard Kalemani wamebakia watiifu kwa hayati JPM hata baada ya kifo chake. Wengineo ni mamluki tu, hata yule wa Dodoma mzee wa “atake asitake tutamuongezea” sijamuona kwenye ibada ya swahiba wake!
Wakuu kwema?
Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania.
Nilivyofika pale mto Wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais wetu kipenzi aliyeitwa mbinguni kwa Mungu Baba mheshimiwa John Magufuli.
Pamoja na kwamba watu wa...
Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata?
Kuingilia msafara wa Biteko?
Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.
Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya...
Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko.
Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20.
Mahindra tech?
Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme.
Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.