haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Pamoja na katiba kutoa kinga, kama haya yalitokea kwa National Audit Office, si kuwa yanatokea kwenye NEC pia?

    Kikatiba the National Audit Office imelindwa sana ili isiingiliwe kabisa na mamlaka ya juu ya nchi. Lakini kwa mujibu wa Prof. Assad, ofisi hiyo iliingiliwa. Sasa mwaka huu na mwaka kesho tuna uchaguzi, je, NEC, yaani Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo kikatiba ni huru na haiingiliwi na mamlaka...
  2. JamiiForums Tanzania Kuelekea Maandamano ya Maombolezo Septemba 23: Je, Mamlaka Zimejiandaa?

    Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda. Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na...
  3. JamiiForums Tanzania nachukizwa na maswali haya

    mtu kaja pm ana anza unaitwa nani? umri wako? unajishughulisha na nini? elimu yako? makazi yako? nakereka
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA haya maandamano kafanyieni Moshi.

    Hakika maandamano haya yakifanyika Moshi . Mtakua mmeonesha nia na dhamira ya kweli ya kuikomboa nchi. Kinyume na hapo ni Usxnge tu.
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna tetesi kuwa kuna mambo yatafanyika ili kuzima yanayojiri Sasa

    Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu Mmoja anayemheshimu sana kamwambia Ukweli kuwa jana ameharibu hata Yeye kamshangaa. Hivyo basi ili...
  6. JamiiForums Tanzania Joyce Kiria: Mwanamke kumhudumia mwanaume ni ujinga

    Anafunguka mwanaharakati..... "Ni mjinga mwanamke ambaye anampikia mume wake, anamfulia nguo🤮 achia mumeo hizo kazi kwani yeye hana mikono? mbona wanawake tunakuwa wajinga hivyo, tutaelimika lini? zama za kumpikia na kumfulia mwanaume zimepitwa na wakati"- Mwanaharakati, Joyce Kiria Natoa...
  7. JamiiForums Tanzania Haya Kampuni ya Mafuta ya STABEX ni ya Rais Ruto na ya Rubis ya Rais Mstaafu Uhuru je, ile ya Lake Oil mahala fulani ni ya nani?

    Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
  8. JamiiForums Tanzania Haya sasa Wakulima wa Mchele Tanzania Kazi Kwenu kwani Wanyarwanda wanavutiwa na Mchele wenu kuliko wa Kwao kutoka Bugarama

    Na hawajaishia tu Kuupenda bali wameenda mbali zaidi na kusema kuwa pia unapatikana kwa Gharama nafuu mno. Chanzo Taarifa: BBC Dira ya Dunia hivi punde tu. Ngoja nami sasa nipate Elimu ya Kilimo kidogo ili nijaribu hili Zao kwani nasikia Mchele wa Tanzania unapendwa EAC.
  9. JamiiForums Tanzania Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

    Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu? Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
  10. JamiiForums Tanzania Mataifa yenye Watu wenye Akili ndiyo huja na Mawazo yenye Akili kama haya

    MEXICO CITY - Mexico imetangaza rasmi mabadiliko makubwa katika Mahakama ambapo pamoja na mambo mengine Majaji sasa watapatikana kwa kupigiwa kura tofauti na utaratibu wa awali wa kuteuliwa. Chanzo: habarileo_tz Ngoja sasa nifanye tu Mpango niende Kuishi nchini Mexico na nihame Taifa ambalo...
  11. JamiiForums Tanzania Je, wajua haya kuhusu Nyuki na asali?

    Je, unajua kwamba: - Kijiko kimoja cha asali kinatosha kuweka mtu hai kwa masaa 24 - Moja ya sarafu za kwanza ulimwenguni zilikuwa na ishara ya nyuki - Asali ina enzymes hai. Kijiko cha chuma huua enzymes hizi. Njia bora ya kutumia asali ni kijiko cha mbao, ikiwa sio, unaweza kutumia...
  12. JamiiForums Tanzania Angalia reaction ya serikali kwenye matukio haya kisha za kuambiwa ongeza na za kwako

    1. Kushambuliwa kwa Lissu: Kimya mpaka sasa mwanzo Lissu akiwa Ubelgiji walisema hatoi ushirikiano. Sasa Lissu yupo na amewataja kwa majina wabaya wake lakini serikali kimya hakuna hata panya aliyekamatwa. 2. Kutekwa na jaribio la kumuua Sativa: Waziri mwenye mashavu makubwa kasema eti Sativa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Haya matamasha na marathons kwanini yanafanyika nyumbani kwa viongozi wakubwa tu?

    Nimeona matamasha na marathons nyingi zikifanyika kwenye majimbo na mikoa walipotokea viongozi wakubwa wa nchi hii. Mfano ni Tamasha la Kizimkazi lililomalizika hivi majuzi na lilifanyika kijijini alipotokea Rais Samia. Pia hivi majuzi tulishuhudia Tulia Marathon huko Mbeya alipotokea Spika...
  14. JamiiForums Tanzania Mwanaume pendezesha nywele yako kwa mafuta haya

    Ndugu zangu natumai mko salama kabisa. Matumizi a. Baada ya kuoga/kuosha nywele paka mafuta yako kwa kutumia mkono. b. Pia unaweza kupaka mafuta haya hata kama hujaosha nywele/kwa nywele kavu. c. Paka Mara moja tu kwa siku. Na tumia kiasi kidogo sana kwani mafuta haya yanakolea sana na kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi haya mabango "jiunge freemason na mganga wa jadi kutoka mkoq wa "yanabandikwa saa ngapi.

    Habari za siku nyingi wadau..na poleni kwa yanayoendelea hapa nchini. Nilikuwa nauliza haya mabango ya "jiunge fremason au mganga wa jadi kutoka labda tanga tunayokutana nanyo kwenye baadhibya nguzo za umeme au kuta za nyumba pembezoni mwa badabara hivi ni watu wa kawaida wanabandika au ni...
  16. JamiiForums Tanzania Martin Masese: Tumezungumza na dereva, ni kweli hilo gari halina kamera!

    Kada na mwanachama wa CHADEMA, Martin Marnja Masese ametumia ukurasa wake wa Twitter kudokeza kuwa wakati wanaelekea kwenye mazishi ya mzee Ali Mohamed Kibao walikutana na dereva wa basi la Tashriff. Kwenye tweet hiyo, MMM alisema kuwa walikutana na Tashriff express eneo la Mbwewe mkoani Tanga...
  17. JamiiForums Tanzania Tatizo na sababu ya yote haya ni uchaguzi na nafasi za uongozi wa kisiasa tu hakuna kingine

    nawaombea kila la kheri wahusika na washiriki wa uchaguzi muhimu sana uliosalia kwa maendeleo ya ushindani wa ndani ya vyama vya siasa, na ustawi wa demokrasia nchini. Mwenyezi Mungu awaepushe na kila hila na shari ilopangwa dhidi ya maisha ya mshiriki au muhusika yeyote kwenye masuala haya ya...
  18. JamiiForums Tanzania Maswali kwa CHADEMA kuhusu tukio la kutekwa na kuuawa Mzee Ali Mohammed Kibao

    1. Nani aliyeshuhudia ndugu yenu kuwa alipanda gari la kwenda Tanga? 2. Nani alishuhudia alishushwa ndani ya basi hilo Kibo complex? 3. Nani alishuhudia bus lenye namba za usajili zilizotajwa kuwa ndilo bus alilopanda? 4. Nani aliyegundua waliokuja kumteka ni Usalama wa Taifa au Polisi? 5...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Leo hii nakimbia wanawake! Haya ni maajabu, sikuwahi kuwaza

    kweli muda unazungumza aisee kila kitu kipe mda Yaani kipindi nakua nilkua nahangaika na wanawake yaani ndugu yangu mmoja akaniambia utakuja kuwakimbia mweyewe wewe tulia tuu nikawa naona ni ndoto bada ya miaka kupita Leo hii mimi nawakimbia wanawake kweli yaani wapo wengi wanakupa bure...
  20. JamiiForums Tanzania Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa, umewapa 'Kinga ya Jinai' Maafisa Usalama

    Serikali ya Rais Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa - TISS ambao kwa ujumla wake una mapungufu mengi ikiwemo kuwapa kinga ya makosa ya jinai kwa maafisa wa idara hiyo. Jambo hili limezua mijadala maeneo tofauti watu wakiuliza Rais Samia anataka kuwatumia maafisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…