haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa/olewa tafakari haya pamoja na mchumba wako

    ..
  2. JamiiForums Tanzania Miaka ya zamani niliambiwa haya maneno kuntu kuhusu kuishi na mwanamke

    "Hakuna kitu wewe kama mwanaume unachoweza fanya ili kumfanya mwanamke aishi na wewe kwa uaminifu, sio pesa, sio mwonekano, sio power, sio chochote kile. Bali mwanamke mwenyewe tu akiamua kuishi na wewe kiuaminifu ataishi na ww hivo, lkn asipotaka hata uwe na pesa kiasi gani, handsome kiasi gani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA fanyeni haya kumng'oa huyu mkoloni mweusi

    Nikiwa kama mpenda demokrasia ya kweli na mtu niliyefadhaishwa na namna chaguzi zetu zinavyoendeshwa. Ningependa kuchangia yafuatayo kwa chama cha CHADEMA, chama hiki angalau kinabeba matumaini kwa wapenda demokrasia ya kweli 1. Chama kianzishe RUNINGA na RADIO yake, ndani or hata nje ya...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Haya Matokeo ya Uchaguzi Mnayaelewa?

    Habari wakuu. Katika kupitapita mtandaoni nikakutana na haya matokeo ya uchaguzi kwenye moja ya mitaa l, Wilaya ya Ubungo. Nimeangalia naona kama namba sizielewi. Labda nyie mnisaidie Hiyo
  5. JamiiForums Tanzania RC Mtanda kwa haya Jitafakari

    Wana jamvi, kuna Mkuu wa mkoa mmoja Anaitwa Saidi Mohamed Mtanda ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza aliyepokea Kijiti kutoka Kwa Amos Makala akitokea Mkoa wa Mara baada ya kuwa Mkuu wa wilaya kwenye wilaya kadhaa hapa nchini. Mwanza ndiyo Mkoa wake wa Kwanza kuongoza tangu ateuliwe kukaa kwenye kiti...
  6. JamiiForums Tanzania Uhusiano unapovunjika inauma lakini kuna haya yafuatayo

    Ni sawa kuumia kwasababu mnakumbukumbu pamoja na mwenza wako ambazo huwezi kuzifuta mara moja na kuzisahau ghafla Ila tambua kwamba mlipitia machungu pamoja wakati wa maisha yenu ya kimapenzi,hivyo hiyo iwe ni sababu ya kuku kumbusha kwamba,kuna wakati ambao mlishea maumivu pamoja,hivyo ni...
  7. JamiiForums Tanzania Yapi Katika Haya si Kweli? Mhadhiri Kijana Anamuuliza Mkuu wa Idara ya Historia

    Kijana mhadhiri wa historia katika moja ya vyuo vikuu kanifahamisha upinzani dhidi yake jinsi anavyosomesha historia. Nimemwandikia hayo hapo chini: WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 NA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1933 African Association imeanzishwa na Cecil Matola (President)...
  8. JamiiForums Tanzania CCM wangejua ya kwamba kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA na kuwatendea vibaya CHADEMA wasingethubutu kufanya haya

    Hivi sijui kukosa ushauri au nini yaani CCM wanavyowafanyia hivi CHADEMA ndiyo mnavyozidi kuipa nguvu Chadema na kuipa promo kuuzika kwa wananchi nyie CCM mnaona mnaikomoa lakini kiuhalisia ndivyo mnavyozidi CCM kujichimbia kaburi lenu hivi mnavyoitesa na kuwatesa wapinzani ndivyo wapinzani...
  9. JamiiForums Tanzania Haya maisha mazuri sana

    Wale wakiofika pale page Znz beach Kuna hotels kadhaa Kuna moja tulienda tulipofika nkajilinda kwanza bia sh ngapi akasema 8000 mnakaa kwenye kagorofa flan Na chini pia kuna sehemu ya kukaa ukiangakia dinian na uumbaji wa Mungu kwa kila dunia waarabu waafrika kwa wazungu Wakati naingia...
  10. JamiiForums Tanzania SERIKALI Ifanye msako wa kukagua haya magorofa kuna gorofa zinapicha ya ghorofa 3 gafla unaona 4 hii sijui inakaaje

    Haya mambooo yanachangiwa na ma eng wa manispaaa na wanaotoa vibali halmashauri Wamechangia vifooo vngi sana kwa ndugu zetu hawa Unajiuliza leo hii zinasambwaza taarifa fb wamiliki wamesafiri nje ya nchi tena wiki hiii Badooo nawaza wale ma engn waliohusika kusimamia kukagua lile gorofa...
  11. JamiiForums Tanzania Wamama wa kichaga na hongereeni kwa kunipa huyu binti daah! Wakuu nafwaa kwa mapenzi haya ya kichaga

    Wa mama wa kichaga ahsanteni sana kwa kuniletea huyu binti binti mushi daa wazee sikuwahi kujua kwamba wanawake wa kichaga Wanajali na kuwathamini waume zao hivi aisee wakuu nafwa kwa mapenzi ooh yeah binti ananipa kila kitu pesa,nguo na mapenzi wakuu mimi mtoto wa kimakonde nitake nini? Sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Watu Wenye Uzoefu Pekee Watakwambia Haya

    Kuepuka kuumia wakubali watu kama walivyo na sio kwa vile unavyotaka wao wawe. Kwasababu hawawezi kuwa kama unavyotaka Tafuta amani kwa kufanya mambo yako na sio kufuatilia maisha au mambo ya watu wengine Jiangalie na kujithamini wewe mwenyewe kwasababu lolote likikupata watu wanaendelea na...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Naandika haya kwa uchungu sana

    Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada. Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanaoitwa Wanawake. Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai...
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Fikira fikirishi: Maneno haya ya Tundu Lissu yana maana gani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema mji wa Tarime una nafasi ya kipekee ya kudai haki kupitia chama hicho cha upinzani hasa kikipewa uongozi na wananchi. Lissu ameyasema hayo leo Novemba 21, 2024, wakati akiongea na wananchi wa Tarime akiwa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Una Mpango wa kwenda Dubai hivi karibuni? Haya ndo masharti unatakiwa kufahamu ili uweze kufurahia safari iliyo salama

    Fahamu mambo ambayo huruhusiwi kuyafanya unapotembelea Dubai 1. Ingawa Dubai ni kitovu cha mitindo, hauruhusiwi kuvaa Nguo fupi, zinazobana sana, au zenye kufichua Mwili kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya Umma. Hakikisha unavaa Mavazi yanayofunika Mabega na Magoti unapokuwa hadharani 2. Pia...
  16. JamiiForums Tanzania Mabaki haya ya kiutamduni yapaswa kurejeshwa kwa China

    Vyombo vya habari vya Uingereza hivi karibuni vimeripoti kwamba Mfuko wa David ambao ni jumba binafsi la makumbusho la nchini Uingereza, utatoa takriban kauri 1,700 za kale za Kichina kwa Jumba la Makumbusho la Uingereza. Kauri hizo zenye thamani ya paundi bilioni moja za Kiingereza zina...
  17. JamiiForums Tanzania Ukifumaniwa unategua (sex) mtoto wa mtu haya ndo malipo yako, unafungishwa ndoa ya mkeka, faini kubwa au wakura

    Wanajamvi Kila jamii Ina utaratibu wake wa ku deal ama ku-solve maswala yake. Katika pitapita zangu za hapa na pale nikafika Kijiji kimoja Kipo mkoa wa Tanga mpakani na Gairo morogoro. Wenyeji wa hapo waliniambia sisi binti akimaliza darasa la Saba nakuchezwa (yaani anafundishwa mapenzi)kama...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA yaomba michango kuzindua kampeni Nyamagana

    Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu amewaomba wananchi kuchangia fedha kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni Jimbo la Nyamagana Mwanza. Chadema wazee wa michango halafu haijulikani inakwenda wapi msimu wa mavuno umeanza chama kinapenda sana michango.
  19. JamiiForums Tanzania Hawa wanajifunzia wapi haya mambo?

    https://www.facebook.com/reel/901390448542878
  20. JamiiForums Tanzania Kukosa haya vs kuwa na confidence

    Hii kitu inanisumbua sana na kuona kama sijiamini patelea pote. Haiwezekeani unajenga kujiamini na kuacha kuwa mstaarabu. Kjna mtu nakutanaga nae kufanya kazi moja mbili tatu...huyu bwana najikuta napata maswali, je sijiamini au ? Au sija job mastering, naona uwezo ni mkubwa tu. Huyu mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…