haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Mbunge wa Covid 19 Salome Makamba aibukia mkutano wa CCM

    Mbunge wa Viti Maalum, Salome Makamba ameonekana leo katika Mkutano Mkuu wa CCM jijini Dodoma akiwa amevalia sare za chama hicho. Makamba ni miongoni mwa wabunge 19 waliofungua kesi mahakamani kupinga kuvuliwa uanachama wa CHADEMA.
  2. Jamani haya ndio maswali kutoka mtaala mpya?.

    Kwa elimu yetu ya kibongo na shule zetu za st kayumba ambazo mara nyingi ukute shule Haina mabechi ya kutosha,mara madarasa hayatoshi,mara wazazi wachangie Hera za mitihani na kuanda report sijui km mtoto wa darasa la kwanza anaweza kujibu swali Hilo hapo.
  3. R

    Watawala wetu liokoe taifa na maangamizi, watu wanachuki na haya yanayoendelea, wanaogopa kusema

    Ukweli ni huu: 1. Watu vifua vimejaa chuki. Mnadanganywa na wanaotafuta matumbo yao kushiba, lakini wananchi walio wengi by over 99% hawako/hawalidhishwi na yanayoendelea! mnayoyafanya nyinyi watawala. 2. Na Machawa wanajua fika kuwa huku mitaani kumejaa chuki dhidi yenu. Bado mnaweza kufanya...
  4. U

    Mwigulu , Yanga tutakupa Urais 2030, tafadhali Tufungie haya Makolo Leo, Piga Hao watoto wa TFF/TPBL

    Kwakuwa Yanga tunaipenda Tanzania, NA tunaipenda Timu yetu Singida Black stars, basi kwakuwa sisi yanga population yetu ni kubwa kufikia asilimia 75 ya population ya nchi, na ukizingatia Sisi yanga ndo Wananchi wenyewe, basi sisi tuna ushawishi mkubwa, japo tunaonewa na TFF na Bodi ya Ligi ambao...
  5. Tunawazidi KQ kwa haya

    Msaada: NI KIPI HASWA AMBACHO TANZANIA IMEIZIDI KENYA?🤔 1. Kwenye taarifa ya innovation duniani (WIPO) Tanzania ipo nafasi ya 120, wakati Kenya ipo nafasi ya 96. 2. Kwenye Human Development Index, Tanzania ipo nafasi ya 165, Kenya wapo nafasi ya 143. 3. Kwenye taarifa ya Maendeleo ya Vijana...
  6. Uchaguzi ujao hauna maana kwa haya ninayoyaona mitaani

    Huku mitaani kuna viongozi wa CCM wanatembea na mafungu ya vitambulisho vipya vya wapiga kura, vitambulisho hivi ni vinavyotengenezwa kinyume na utaratibu na siyo kutengenezewa, hapa mamlaka husika na vitambulisho zinahusika.
  7. Yote haya aliyaleta Bashiru Ally Kakurwa

    Mambo ya kupita bila kupingwa . Kununua wapinzani . Kuvuruga uchaguzi . Ni Kazi kubwa ya Bashiru Ally Kakurwa.
  8. W

    Wanaharakati wa Kenya wanaishambulia Serikali yetu, Nasikitika kuona watanzania wengi wapo kimya, huu sio uzalendo, tuipende nchi yetu.

    Kwa jinsi wakenya wanavyoicharua Serikai yetu huko kwao ni sawa na mteja alieenda Kariakoo kafika Dukani, mwenye duka anamuangalia tu winga anavyomcharua bei mteja bila huruma, watanzania walio kimya hawana tofauti na mwenye duka. Sana sana unaowaona wanajibu mashambulizi ni wenye vyeo...
  9. Makombe yote yanaenda kwa waarabu kama maombi yetu sifa apewe Mungu

    Mungu fundi Mungu fundi Mungu hajawahi shindwa Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu Nakama...
  10. Haya pesa ya bure hiyo

    Huko kwenye betting napata odds ngapi? Nimeona kwa jicho la tatu matokeo ya kesho
  11. R

    Nyerere angelirekebisha Katiba hii, mateso yote haya yasingelikuwepo

    Alisema kabisa kwa kinywa chake kuwa katiba hii akitokea dictator ataumiza sana watu. Ndicho kinachotokea leo! https://youtu.be/br-LSD8AjSw
  12. Natabiri hili kutokea kwenye mikutano ya CHAUMMA

    Nisipoteze muda niende kwenye mada moja kwa moja. Kwa wale ambao hawana taarifa ni kwamba CHAUMMA wametangaza kuanza mikutano yao karibuni kwa siku 16 na wamesema watarusha chopa. Kwanza ieleweke wazi kwamba hili swala lipo kimkakati kati ya kiongozi mmoja mkubwa mstaafu wa upinzani na...
  13. Kibwana Shomary na Israeli Mwenda haya mmeshamaliza kumpiga Mwiba wa maana Yao Kwasi sasa nasubiria kuona kati yenu nani atampiga Mwiba mwenzake

    Watoto wa Morogoro mnaocheza Mpira mnaogopeka sana kwa Miba kutoka kwa yule Mtaalam wenu Mkuu wa Matombo.
  14. Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  15. Haya ndiyo mafundisho nitakayokuwa natoa nikianzisha kanisa langu

    Shalom! Niko mbioni kuanzisha kanisa langu na yafuatayo yatakuwa mambo ambayo nitayafundisha 1. Kwamba ukifa kunakuwa na mzani utakaotumika kupima ubaya na uzuri uliofanya ukiwa duniani na iwapo ukiwa na mabaya mengi basi utatupwa kwa jehanamu ukiwa na mazuri mengi basi utaingia peponi. Hii...
  16. R

    Kwa hasira hizi na maelekezo haya tumekwisha

    Mama amekasirika sana Kwa clip hII, nineogopa sana. Lisu awe macho sana, na wasiwasi wangu unakuja pale ambapo hatuna independent judiciary. MAHAKANA HAZIKO HURU, hawa wanapokea maelekezo, huyu mama ATATOA MAELEKEZO! MAELEKEZO MABAYA Kesi ya Lisu ni simple sana, lakini kwa maelekezo ya...
  17. Bifu na malawi,south afrika na leo kenya ila ndio rekodi ya kwanza kwa raisi wa chama tawala.Na idd amin alifanya haya haya

    Katika mtu anayeongozwa kusemwa sana kwa utawala wake ni raisi samia hapa JF.Sio kusemwa kwa mazuri ni mabaya mengi ambayo wananchi wake wameshamchoka. Sema watanzania wanakatabia kama cha tenge tenge kuacha mambo. Sada haya mabifu ambayo kila kukicha tunatengeneza nchi za watu. Unaficha nini...
  18. Nyash, Nyapu, Kisimi, Kushenyenta, Fimbo ya Musa, Mpododo, kichwa Cha pili hivi ni nani alileta haya maneno na kuyapa maana

    🤔🤔🤔Eti mdau tujuze?
  19. Rais wangu, kupitia uzi wangu Martha karua aruhusiwe, haya ndiyo yanayokuja, poor analystologist!....

    Hakika sifurahi kwa hili, jamani, tuliosomea haya tupo wengi mitaani and we know much in deep, ten step ahead!
  20. Je, ni kweli kabisa Rais hafahamu chochote kuhusu haya ya utekeaji? Hiki ni kipimo kizuri

    Wakuu, Kumekuwa na member wengi ambao wanaona na kusema kwamba haya ya utekaji, torture na mauwaji, mh Rais hafahamu chochote na wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna hujuma dhidi yake. Nadhani kuna mambo kadhaa anayoweza kuyafafanya kama ni kweli hafahamu chochote kuhusu yanayoendelea na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…