hawapendi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Iran yakataa wito wa Ulaya kutoishambulia Israel. Kama hawapendi vita wangeilaani Israel kwa mauwaji inayofanya

    Baada ya kuwakatalia watawala wa mashariki ya kati wiki iliyopita kutoishambulia Israel,sasa nchi hiyo imefanya kama hivyo kwa nchi za Ulaya' Raisi mpya wa nchi hiyo na waziri wa mambo ya nje wamezijibu simu wanazopigiwa na wenzao wa Ulaya kwa madhumuni hayo katika matamko makali...
  2. Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

    Wanabodi Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
  3. Vijana Waafrika waachane na mawazo mfu yaliyopitwa na wakati ya kulaumu "mabeberu"

    Huku kulaumu watu wa nje kwa matatizo ya sasa ya Afrika ni mawazo yaliyopitwa na wakati yasiyo na tija yoyote, yanahaitaji kukataliwa na kupuuzwa kabisa. Inasikitisha zaidi fikira hizi kuendelea kuwepo na kuaminiwa tena na vijana. Chanzo kikuu cha umaskini wa Africa ya sasa ni utawala mbovu...
  4. Watanzania hawapendi elimu uzi wa mambo ya scholarships una likes 9 tu

    Nilianzisha uzi wa kupost fursa zote za Scholarships zinazojitokeza katika link hii: https://www.jamiiforums.com/threads/bonus-orodha-ya-full-funded-scholarship-za-kumalizia-mwaka.2170915/ Siajabu mpaka sasa uzi huu una likes 9 tu. Watanzania wapenda elimu rudini mweke likes kwenye huo uzi...
  5. Changamoto za Wivu na Chuki: Mwaliko wa Kujenga Jamii Inayothamini Mafanikio

    Katika pitapita zangu za hapa na pale nimekuja kugundua kwamba...baadhi ya wananchi wenzangu wa kitanzania wanapendelea kuona wenzao wakishindwa katika maisha, badala ya kufurahia au kuwahamasisha kufanikiwa zaidi (samahani chuki hii mimi naiita "wana roho ya kichawi")... Wengi huombea wenzao...
  6. Kwanini Wanaume wengi hawapendi kuongelea Changamoto za Kimaisha wanazopitia?

    Wanaumeeeeeeee! Huu ni mwezi maalumu kwaajili ya AFYA YA AKILI YA WANAUME NA MASUALA YA AFYA kiujumla. Sasa leo hebu tujuzaje kwanini wengi wetu hatuongei au kushirikisha watu wengine tunapopitia changamoto na ikitokea tumesema basi inakuwa katika hatua mbaya sana ambazo urekebishaji wa tatizo...
  7. G

    Tukiachana na wachaga, makabila mengi yana watoto wa mama, wanapajua zaidi kijijini na ndugu wa mama, Kwanini wanaume hawapeleki Watoto vijijini?

    Ukiondoa wachaga wengi (sio wote) watanzania wengi wa makabila mengine wanapajua zaidi vijijini kwa mama zao na ndugu wa mama kuzidi upande wa baba hivyo wanakidhi kigezo cha kuitwa WATOTO WA MAMA. Kwa wachaga naona wapo tofauti, watoto wanarudi mara kwa mara vijiji vya baba zao na kuzoeleka na...
  8. Kuna nchi hawapendi kabisa wageni

    Hivi vi Japani ni vijitu vya hovyo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi. Nilikuwa nasikia juu juu kwamba ni vibaguzi ila nilikuwa siamini kwa sababu nikikosa ushahidi. Sasa kwa hiki walichofanya nimeamini pasipo shaka vijamaa havina roho kabisa, ndo maana vimenyimwa roho na matako. Ishu Ni kwamba...
  9. N

    Hivi kwanini binadamu wana roho mbaya sana juu ya wanyama?

    Watanzania wana roho mbaya sana juu ya wanyama. Wakimuona paka ata kama hajafanya kitu wanaanza kumporomoshea mawe wanamfukuza na matusi juu. Halikadhalika mbwa na ndege kama vile kunguru na ndege wengine. Ni nini hasa inachangia Watanzania kuwa na roho mbaya juu ya wanyama ambao ni viumbe...
  10. True love is so rare!

    From my experience real love is hard to find, real people are so rare! Wanawake siku hizi hawaaminiki kabisa. Their intentions is to play you and use you. The same applies to men. Kijana msomi jenga future kwanza... don't let society pressure you uingie kwenye ndoa mapema. Wengi wameanzisha...
  11. Video: Wamama wa Kiafrika huwa hawapendi mzaha mzaha!

  12. Watu ambao hufanya ukatili wa kuua, kutesa na kudhulumu, wao huwa hawapendi wafanyiwe hayo mambo

    Hili jambo huwa linasababishwa na MTU kukosa vitu viwili @ Sympathetic @ Empathetic MTU akikosa huruma ataiba ,atadhurumu n.k Na MTU akikosa kuhisi hisia za MTU mwingine na Ku-feel Kama anavyo-feel au kuvaa viatu cya mwingine basi ataua, atatesa na kuangamiza. Hivyo majambazi , wote ...
  13. Marekani hakuna Rais daktari, CPT, Engineer wala Advocate? Kwanini hawapendi kusoma?

    Marekani ambayo kabla kupata uhuru mwaka 1776 , ilitawaliwana Uingereza na wakapata Rais wa kwanza George Washington. Tangu wapate uhuru, haijawahi kutokea Rais yeyote , awe msomi wa chuo, daktari wa hospitali[MD] au wa falsafa phD,au mjuzi wa hesabu [CPA] ambaye amewahi kujinasibu na prefix ya...
  14. PreGE2025 Makonda: Kuna watu hawapendi navyowashughulikia (Watumishi wazembe), lakini Mimi nitafanya!

    Hayo ameyasema akiwa Wilayani Korogwe. Sambamba na Hilo, amedai kua alipokuwa mapumzikoni , Sheikh Mkuu Zuberi pamoja na Kadinali Pengo walikua wakimtembelea Mara Kwa mara kumfariji.
  15. U

    Safari za mabasi za usiku zimepunguza rushwa na wala rushwa hawapendi hilo

    Safari za MABASI Kwa Usiku Ni Nzuri na salama Zaidi Kwa sababu madereva wa Magari Mengi Hasa malori na Gari ndogo zenye Malena Wengi wanakuwa hawapo barabarani. Lakini kimekuwa kilio kwa wala Rushwa maana usiku polisi na tasisi zingine zinazopenda Hela wanakuwa wachache saana. Hili limepinguza...
  16. Kwanini Watanzania hawapendi kusafiri?

    Mwanamke aitwaye Cassandra de Pecol kutoka Connecticut, alifanikisha ndoto yake ya kutembelea nchi zote duniani, 193, akiwa na umri wa miaka ishirini na saba. Mpaka anafikisha miaka 18, Canada ndiyo nchi pekee aliyokuwa amefika, tena, ni kwa vile mama yake anatokea huko. Sababu kubwa...
  17. Baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ wana tatizo la nidhamu?

    Wanajeshi wa jeshi la ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi ya Tanzania wana tatizo la nidhamu na hawapendi kukosolewa pale wanapokosea. Tatizo ni kwamba hawa vijana wetu na kaka zetu na dada zetu na wadogo zetu,pale wanapovaa mavazi yenye nembo ya taifa wanajiona wapo juu ya sheria. Matukio ni...
  18. Wapo waliohitimu na ajira hawajapata, kazi nje ya utaalamu wao hawataki na hata kuiljiongeza hawapendi

    Hili ndilo kundi kubwa linaloibuka kwa kizazi hiki cha dot.com, kijana akishasoma na kuhitimu na bahati mbaya ajira ya fani yake ikachelewa kidogo huwa hajiongezi hata kidogo unfortunately linalofuata ni kukata tamaa na kuona serekali hii mbaya Sana labda lissu atakapokuwa rais nitapata ajira na...
  19. Kwanini baadhi ya wazazi wa kikristo hawapendi watoto wao kuanza kunywa pombe ?

    Kijana kamaliza form 4 yupo likizo anasubiri kwenda chuo mwezi wa 10, wazazi wake ni washika dini kila jumapili kanisani ila cha ajabu wanamgombeza kijana wao kisa tu chumbani kwake kuna chupa za bia, kwenye pipa la taka huwa kuna vichupa vya pombe kali, mara mbilj pia kijana amewahi kufatwa...
  20. K

    Watanzania ambao hawapendi kusoma hawahitaji shahada (Miaka 3) kujua katiba

    Raisi Samia sasa ameanza kuwa myeyushaji na mpotoshaji na hili ni la kusikitisha sana. Watanzania wamekuwa na hii katiba zaidi ya miaka 30 lakini ni zaidi ya miaka 10 sasa tunaongelea katiba mpya. Bunge la katiba liliundwa, maoni ya katiba mpya yalikusanywa kwa gharama kubwa na leo unataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…