hatuna

The Håtuna games (Swedish: Håtunaleken) were a 1306 conflict between Birger, King of Sweden (1280–1321) and his two brothers, the dukes Eric Magnusson (ca. 1281-1318) and Valdemar Magnusson (c. 1282–1318).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania John Mrema, sawa Tume Iko sahihi, kinachokuwasha nini? CHADEMA haingii uchaguzin bila Mabadiliko, hatuna Mpango huo !!.

    Mbona kama wee Mrema na Genge lako ndio mmeumia Kwa CHADEMA kutokusaini? CHADEMA ingeutaka uchaguzi huo , pasingekuweponna NORENE na Ingesaini Kanuni za TUME. Kinachokuuma nini?? Kwamba Unafurahi Msimamo wa Tume? Au Unatumia Kwa Msimamo wa CHADEMA ??. Kama kugombea, Hamia CCM, utagombea pia !!
  2. JamiiForums Tanzania Ukikusanya nchi nane (8) za Afrika Mashariki hazifikii GDP ya nchi ndogo kabisa ka Singapore

    Ukikusanya haya majinga manane(8) ya Afrika Mashariki ●Tanzania ●Kenya ●Uganda ●Rwanda ●Burundi ●Somalia ●D.R.C ●South Sudan Yote kwa pamoja hayafikii GDP ya kanchi kadogo kabisa ka Singapore. Mind you Singapore ina jumla ya ukubwa wa 735km² na population isiyozidi 6Mln wakati haya majinga...
  3. JamiiForums Tanzania Iran: Hatuna Chaguo ila Kutumia Silaha za Nyuklia

    Iran imesema haitakuwa na njia nyingine ila kutumia silaha za nyuklia endapo itashambuliwa na Marekani au Ali Larijani, Mshauri wa kiongozi mkuu wa Iran, Ayatullah Ali Khamenei, amesema kwenye mahojiano na televisheni ya taifa la Iran kwamba "hawaelekei kwenye kuunda silaha za nyuklia, lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga: Hatuna Mwanasheria, Hatuna Watu wenye Busara kwenye Uongozi, hatuna watu wenye Elimu ya kufaa

    Tuna UTOTO MWINGI NA USHAMBA. HILI SUALA NILIMWAMBIA MTU AKAISHIA KUNIITA MIMI MKIA. TUMEKUWA KAMA LAST BORN ALIYEDEKEZWA SANA NA ANAYEPENDA KUDEKA.
  5. B

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuliwekewa nguzo huu Mwaka wa tatu sasa hatuna umeme na hatujui kinachoendelea

    Sisi Wakazi wa CHANIKA ZINGIZIWA tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua huu mwaka wa pili sasa, tangu Mwaka 2023 tuliambiwa tutaletewa mradi wa umeme lakini hii sasa ni 2025 mpaka leo hatuna umeme. Inashangaza sana, Chanika ni Wilaya ya Ilala, Wilaya ambayo imekuwa ikisemwa inaingiza mapato zaidi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Fadhili Maganya: CCM Tutatumia Silaha Nzito Sana Kuushinda Kitakatifu Upinzani. Hatuna Huruma na Mpinzani Dhaifu.

    Ndugu zangu Watanzania, CCM yaendelea kuunguruma maeneo mbalimbali Nchini, CCM yaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania, CCM yaendelea kujiweka karibu na watu, CCM yaendelea kutuma ujumbe mzito kwa Upinzani dhaifu na usio na mipango wala mikakati ya ushindi, CCM...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika na Ujinga wa Kujidanganya: Kwa Nini Hatuna Miradi Mikubwa ya Kisayansi?

    Kila siku tunasikia kauli kama “Afrika inaweza,” “Sisi ni watu wa nguvu,” “Tuna rasilimali nyingi kuliko Ulaya na Marekani.” Lakini, je, kweli tunaweza? Ikiwa Afrika inaweza, mbona hatujawahi kushirikiana kujenga mradi wowote mkubwa wa kisayansi? Dunia inaendelea na miradi mikubwa kama Apollo...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwani hatuna maono/ ndoto za kuhost World Cup?

    Kuelekea michuano ya afcon serikali ya Tanzania imekuwa ikiboresha sana miundombinu yetu kuonyesha kuwa tupo serious na suala zima la kuhost afcon kama hub ya football East Africa lakini sasa ni kama tunafanya for afcon tu yani hatuna kabisa maono zaidi ya hapo. Tuna viwanja viwili vipya...
  9. JamiiForums Tanzania Huyu Chama kagundua Yanga hatuna mzuka naye sasa anataka kuwa anatuchomesha kwa Mikia

    Amejiona kama amekuwa wa kawaida sana na umri unamtupa mkono. Kwa sasa anatafuta mlango wa kutokea. Tulimchukua atusaidie kimataifa kama ambavyo alishawahi kuisaidia Simba mara mbili kuwavusha. Amekuja huku anakula ubwabwa tu na kuhangaika na mademu. Fala sana huyu. Halafu analeta tena habari za...
  10. JamiiForums Tanzania Bei ya gesi ya kupikia kupungua bei ili kuchochea Matumizi ya Nishati Safi

    Serikali imejikita kuhakikisha inapunguza bei ya mitungi ya gesi ya kupikia na kutoa ruzuku ya asilimia 20 ya mitungi hiyo Ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa mwaka 2024-2034. Naibu Waziri wa Nishati Judith Salvio Kapinga amesema hayo...
  11. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Nishati; Tuutumie kwa kuneemesha Wananchi tuna Uwezo wa Kuwauzia Umeme Afrika nzima wala hatuna Sababu ya Kununua Gesi kutoka Nje

    Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs 100 mpaka 0/=) na kuuza ziada kwa nchi nyingine...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna nini mpaka sasa hatuna rasmi Matokeo ya mwisho kutoka Mlimani City?

    Nilijua tu kuwa Mfumo ukiuingilia lazima Sarakasi za kumpata Mtu sahihi zitakuwa, kwani siyo Siri wanamuogopa LAT.
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Wasira sisi Wananchi hatuna ugomvi na CCM hayo maridhiano unayosema ni ya Nini?

    Nimekusikia katika hotuba Yako unasema kuwa hautafanya maridhiano na mtu mmoja na kwamba utafanya maridhiano na jamii, asasi za kiraia, jamii za kimataifa n.k Sasa nakuuliza tu Kuna ugomvi gani Kati ya jamii na CCM?
  14. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwamba Watanzania hatuko busy sana au inakuwaje?, labda tuseme ni maendeleo ya Teknolojia kuliko nchi zingine

    Wandugu Habarini, Binafsi Kila Nikiamka Asubuhi Baada Ya Kumaliza Ratiba Za Kawaida Hua Naingia Kwenye Mitandao Mitatu Ya Kijamii Kwa Muda Wa Masaa Mawili. Hua Naanzia WhatsApp, Nakuja JamiiForums namalizia na Instagram. Kwa Utaratibu Wangu Huu, Leo Nimeona Nishee Na Hadhara Hapa Juu Ya Hili...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Hivi hii hali mtaani naiona mimi peke yangu au ni kawaida hii??

    Yaani huku mtaani ni shida sana, nchi yetu imekuwa kama haina kiongozi mkuu wa kukemea yaani. ...wageni (wahindi, wachina n.k) wanazidi kuongezeka mitaani. wamegeuka mamachinga wanazungusha vyombo (uza) kwenye mitaa kwa kutumia magari (noah) wanauza bia yaani vilevi wanazunguka kwenye mabaa na...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali itukumbuke Shule Kijiji cha Kakulungu (Tabora), hatuna shule ya Msingi wala Sekondari

    Ndugu zangu wana JF, mimi huwa najiuliza ni vigezo gani vilitumika kuipa hadhi ya Manispaa hii Wilaya ya Tabora maana ni aibu kuona kuna manispaa ambayo ina vijiji havina shule za msingi kama hapa kwetu Kakulungu. Kijiji chetu kipo Kata ya Uyui, Manispaa na Mkoa wa Tabora, kilianzishwa Mwaka...
  17. JamiiForums Tanzania Kwenye Uchaguzi Huu CHADEMA hatuna cha kujifunza kutoka CCM

    Chadema inacheza katika kiwanja cha Demokrasia kiwanja ambacho CCM haiwezi kuingiza team uwanjani, Chadema imeshikilia kurasa zote za mbele za vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi juu ya uenyekiti wa chama. CCM ni wageni wa mashindano haya ya Demokrasia ukiona wanashangilia usiwashangae...
  18. JamiiForums Tanzania Air Tanzania ikizuiwa Ulaya, tuzuie zao pia. Jeuri hatuna?

    Air Tanzania imeingizwa kwenye mashirika ya ndege yasiyotakiwa kwenda nchi za jumuiya ya ulaya. Tanzania tuachane kabisa na mataifa ya kikoloni, kwakuwa wanajiona ni wakoloni na kutuona watawaliwa mpaka Leo. Sisi waafrika tunashida gani? Huu ni muda wa kuelekeza nguvu zetu Africa, Asia, Urusi...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Netanyahu atuma ujumbe kwa iran, "Hatuna shida na wananchi, ni wakandamizaji wanaotumia pesa zenu kufadhili ugaidi, uhuru wenu upo karibu"

  20. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…