hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Binti anayeonesha uchi mtandaoni ‘Live’, achukuliwe hatua haraka

    DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa Kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania ndiyo nchi rahisi zaidi duniani kwa mgeni kuishi kienyeji bila vibali na asichukuliwe hatua yoyote?

    Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha: Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
  3. JamiiForums Tanzania Hatua Gani Zinachukuliwa Igundulikapo Tatizo la Afya ya Akili kwa Kiongozi?

    Hebu tusaidiane uelewa, nini kinapaswa kufanyika itokeavyo hayo? Viongozi ni binadamu kama mimi au wewe na hali hiyo yaweza kumtokea yeyote!
  4. W

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuchukua ukigundua kuwa ulipo kuna kamera za Siri

    Kusanya ushahidi kwa kupiga picha na kuredi video za kamera hizo ulizogundua, andika muda, tarehe na eneo ulipogundua kamera hizo. Funika kamera kwa tepe, karatasi au kitambaa bila kushika kamera hiyo ili usiache alama zako za vidole "Fingerprints" wala usiichomoe. Ondoka eneo hilo ili...
  5. JamiiForums Tanzania Wadau , Ni hatua Gani inaweza kuwa suluhisho la kudumu la Ajali barabarani?

    Kila mahali tumezungukwa na hatari za kila aina . Lakini hii Changamoto ya ajali za barabarani limekuwa ni donda sugu.. barabara zetu hizi ni kama zile za kwenye filamu ya kutisha ya Final destination.Watu wanapoteza wapendwa wao kila uchao. Na kinachonisikitisha ni kwamba hapahapa duniani...
  6. JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu ndiyo daraja la mafanikio makubwa kwenye biashara

    Habari wana JF, Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki. Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume wawili Zanzibar watekwa kwenye gari aina ya IST

    Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii? Rais wa Zanzibari chukua hatua
  8. JamiiForums Tanzania Hatua inayofuata ni mifumo yote kusomana kidigitali

    1)Utambulisho wako..hutakuwa na haja ya kutembea na KADI wala KITAMBUKISHO(kadi ya benki,kitambukisho,kadi ya bima,kadi yoyote..n.k 2)VYETI na HATI..certificates...vyeti vya elimu,hati za umiliki,hati ya utambulisho wa umiliki,leseni za biashara n.k 3)PESA ZA MAKARATASI..zitaondolewa..itaanza...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Wadau wataka hatua zichukuliwe kudhibiti 'kubet': Tutazalisha matapeli wa kitaifa

  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwagilwa: Mtendaji Kata ya Kipunguni ‘B’ achukuliwe hatua kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi ipasavyo

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Mtendaji wa Kata ya Kipunguni ‘B’ kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Siku tukija kupata kiongozi kama huyu hata kama ni mtata basi Tanzania itafika mbli sana kiuchumi, Kenya hawataweza kusogea kabisa.

  12. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli watu wanarogwa wasipige hatua za kimaendeleo?

    Unakuta mtu kila unachoshika hakishikiki Na unakuta umewekeza akili, jasho na damu lakini wewe unakuwa tu wa mkia. Wajuvi wa mambo karibuni
  13. JamiiForums Tanzania KIAMA CHA WANAHARAKATI JANJA JANJA: Jinsi Hatua ya Rais Trump Inavyoweza Kukata Mirija ya Fedha kwa Kina Maria Sarungi

    Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika mashirika ya kimataifa 66. Hatua hii, inayokuja chini ya sera ya "America First", si pigo kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aipongeza Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora kwa mara ya kwanza

    Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu. Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi...
  15. JamiiForums Tanzania Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi

    Majaribio ya kikundi kidogo kuteka nchi yetu yame fail vibaya raia wamepiga kwenye mshono sasa hivi wanalala na viatu wanaogopa mapinduzi. Wanaogopa kuwajibishwa kwa mauwaji waliyo yafanya wizi wa haki za wananchi na utekaji hadi maiti mahospital. Tumesha shinda tukutane D25
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mkesha wa Leo chukueni hatua za kiusalama

    Kuna taarifa zisizo rasmi kuwa Kuna wahuni wanapanga kwenda kufanya fujo kanisani hasa RC Watu hao watabeba siraha kwenye mabegi lengo ni kuchafua kanisa lionekane ni kanisa la wahuni na waharifu. Pia Kuna viashiria vya matukio ya kigaidi ndani ya kanisa leo na kesho Wito vyombo vya usalama...
  17. JamiiForums Tanzania Kila hatua kwa CHADEMA ni hatua ya kusonga mbele

    CHADEMA wasiposema ni hatua na wakisema ni hatua. Wakikamatwa ni hatua na wakiachiwa ni hatua pia. Wakizuiwa kufanya siasa kimazabe ni hatua na wakiruhusiwa kufanya siasa ni hatua. CHADEMA wakiizungumzia Tanganyika ni hatua na wakiizungumzia Zanzibar na hata wakiizungumzia Tanzania ni hatua...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda: Serikali iwachukulie hatua wanaoharibu amani

    Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda wa Tawi la CBT wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, Amiri Ali, ameitaka Serikali kuwachukulia hatua za kisheria watu wote wanaohamasisha na kushiriki vitendo vya uvunjifu wa amani kama sehemu ya kuimarisha amani na utulivu nchini. Ali ameeleza hayo leo...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 RC Chalamila: Tutachukua hatua kwa tuhuma za Padri Kitima, kuhusu TANESCO kuhusika kwenye shambulio dhidi yake

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Ofisi ya Mkoa kwa kushirikiana na TANESCO haitabaki kimya kufuatia kauli zilizotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padri Charles Kitima, kuhusu tukio la uvamizi alilodai lilihusisha kuzimwa kwa umeme na Shirika hilo...
  20. JamiiForums Tanzania Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo

    Watu mbalimbali duniani wanasema hawaamini kama Tanzania ingefikia hatua hii ya kutisha na mauwaji yanayoendelea hovyo. Wanahoji je nchi haina jeshi, inamaana jeshi lililo uwa watanzania ni hili hili la Tanzania, kwenye baadhi ya mijadala watu wanasema jeshi lilikuwa lockdown, na kulikuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…