Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Manyara, Bwn. Erick Makundi, akikabidhi hati kwa mmoja wa wananchi waliojitokeza kupata huduma katika Kliniki ya Ardhi ya Mkoa, inayofanyika katika Viwanja vya Tanzanite, Kwaraa, Mjini Babati, kuanzia Septemba 22 hadi Oktoba 3, 2026