hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Jenerali Ulimwengu (2021): Samia Haijui Tanzania. Prof. Mwandosya (2015) Magufuli haijui CCM, hajawahi hata kuwa Mjumbe

    Viongozi wetu wanapatikanaje? Na tunapimaje uwezo wao wa kuongoza? Je tuna mfumo wa kuwatengeneza? Job Description ya Kuwa Rais, Waziri Mkuu, Spika kwa Tanzania inataka vitu gani? Nimekumbuka hayo kutoka kwa hawa Nguli wawili. Mwaka 2015 baada ya vikao vya CCM DODOMA, Prof na Mwalimu wangu...
  2. Wakati mwingine hatupaswi kuweka matumaini yetu kwa dereva peke yake hata kama tunamuamini!

    Ni kisa kinachosikitisha sana. Lakini kina uhusiano mkubwa sana na namna viongozi wanavyopaswa kusikiliza maoni ya wanaowaongoza! Mara nyingine dreva huchoka. Na pia kuna wakati dreva hupata na msongamano wa mawazo. Hivyo basi kutokana na halu hiyo, wale wanasafiri na dreva huyo hawana budi...
  3. Umeme haujakatika Tanzania tu siku ya leo 26/08/2022 hata kenya umekatika, ushahidi huu hapa.

    Hii ni coincidence au hii kitu ilipangwa sitaki kufikiria negative ila ukweli ndio uwo. Taarifa hizi nimezipata toka mtandao wa reddit r/kenya
  4. S

    Wengi tunapenda kumiliki smartphone mbili na wakati mwingine hata zaidi ya mbili. Je, huu si uwendawazimu?

    Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja? Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki...
  5. I

    Tanzania kwisha habari yetu hata misitu ya asili tunahitaji wawekezaji!

    Ukifuatilia kwa karibu namna gani viongozi wetu wanaendesha nchi hii kwa vyo vyote vile lazima utapata msongo wa mawazo. Kwamba hakuna kitu ambacho sisi Watanzania na hasa Watanganyika tunachoweza kukifanya bila msaada kutoka nje. Ni kweli hatuna tekinolojia kubwa kufanya mambo makubwa kama...
  6. Binafsi sijapata ongezeko la mshahara hata shilingi 1. Ni Mimi tu au ni wote?

    Habari! Vipi jamani na kwenu imekuwa kama Mimi hamjaoana nyongeza hata Senti moja au ni Mimi tu? Thanks
  7. Wananchi wamewapuuza wapinzani wa Samia. 2025 hata CCM wasipofanya kampeni Samia atashinda kwa kishindo

    Eleweni hili na ikiwezekana msipoteze muda kuweka Wagombea akina Lissu na Msigwa sijui na yule wa Tarime au Mbowe mwenyewe. Labda mkatafute mgombea kutoka CCM, tutawaazima hata yeyote mnaemtaka ili angalau mthubutu lakini kwa wapinzani hawa nao wajua majina yao hakuna mwenye uwezo wa kushika...
  8. C

    Hivi Hayati Magufuli angekubali huu ujinga wa kugawa Bandari?

    Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa. Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani. Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
  9. K

    Tumuunge mkono Nadhifa. Hata Magu alikuwa anakasirika!

    Ukweli ni kwamba katibu mkuu aliye tenguliwa ni watu tunao waita “no nonsense” yaani hawapendi ujinga ujinga kama alivyokuwa Magufuli. Lakini tabia hii haitoshi kumfukuza mtu kazi ambaye ni mtaalamu wala sio mwanasiasa. Watanzania wanataka maji safi na bora na huyu hajafika hapo kwa bahati mbaya...
  10. Utenguzi: Rais Samia ametengua Uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
  11. Gazeti gani hata upewe bure huwezi kulisoma?

    Mimi gazeti la wamachinga yaani siliewi kabisa yani naonaga tu mapicha picha siwaelewi angalia hili toleo la jana 19/8/2023 walivyolipoti msimamo wa TEC
  12. K

    Baraza la Maaskofu ni wanadamu, wanakosea kwenye mengi hata waraka wao kupinga uwekezaji wa bandari ni makosa.

    Kuna aina mbili za mitazamo ya watu juu ya viongozi wa dini: Aina ya kwanza wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu kamili na wenye ukamilifu wote, kunena mpaka kutenda kwao ni kwa ukamilifu. Hawakosei lolote Aina ya pili wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu wa kawaida, wanatenda...
  13. R

    Wabunge watasema hata viongozi wao wa kiroho wameongwa? Watasema ni CHADEMA? Watasusa kuabudu kwa waliwaoongwa?Zakuambiwa!

    Wapo viongozi wengi wa dini wamepinga adharani kwa sauti na maandishi mkataba wa bandari. Wabunge wetu ni waumini wa viongozi hawa wa dini; lakini pia kielimu hata hawa viongozi wa dini wameenda shule tena kubwa kuliko wabunge walio wengi. Hoja za viongozi wa dini zinafanya watu wajiulize...
  14. Kama kweli ndivyo ilivyo; basi si haki hata kidogo!

    Suala la upandishaji madaraja lilisitishwa kwa miaka kadhaa. Watumishi wengi waliathiriwa na suala hilo. Kutowapa nyongeza ya mshahara kwa kigezo cha kanuni, ni uonevu!
  15. Inawezakana vipi dollar iadimike halafu bidhaa zimefurika Kariakoo kiasi hiki na hata wanunuzi ni wengi pia?

    Kama dollar zimeadimika nilitegemea pawe na shortage ya bidhaa Kariakoo, lakini ni kinyume chake, Kariakoo bidhaa zinamwagika kipindi hiki kama mvua, na wanunuzi wanazichangamkia kama nzige, Maana yakenpesa ipo, na cha ajabu kabisa, bidhaa nyingi zinazidi kushuka bei! Sasa iweje pawe na...
  16. Mnaotosheka na MB 300 hadi GB 1 kwa siku huwa mnaweza vipi?

    Matumizi Yangu GB 2 hadi 3 kwa siku, Hapo nipo bize na shughuli zangu sio kusema kwamba ninashinda mitandaoni, mara nyingi net natumia zaidi usiku. Hivi vitu huwa natumia bila kujibana whatsapp - kutuma au kudownload video ama picha, video calls, n.k. Youtube - huwa nastream kwa ubora wa juu...
  17. K

    Utaacha nini hata ukumbukwe?

    Maisha ni safari ndefu, wahenga walisema ni kweli! Mtu anazaliwa, analia, anasoma, anao/anaolewa na kupata watoto, mwisho wa siku anazeeka au hata akiwa kijana anakufa. Sasa jamii na familia kwa ujumla itamkumbuka kwa lipi hasa ambalo wanaona ni pengo kwao? Mfano Nyerere, Nelson Mandela...
  18. Aishi Manula hata ukipona leo, unaenda kuwa golikipa namba tatu pale Msimbazi

    Golikipa la Caf toka Morocco liko nchini, Ally Salim yuko on fire, Aishi Manula tafuta tumu nyingine, otherwise unaenda kuwa kipa namba tatu pale Msimbazi.
  19. Hela za bila shortcut huwa hazisahau zilipopitia hata ufilisike vipi, lazima zitarudia njia yake siku moja

    Niamini mimi, Achana na hela za bahati, za waganga au za kurithishwa na kupewa, kwa uzoefu wangu hizo hela zikipotea ndo zimeenda huwa hazirudi. Lakini kwa mtu mpambanaji kweli kweli hata kama akiteleza akapoteza kiasi kikubwa cha utajiri wake basi hela zitakumbuka njia yake siku moja na...
  20. Nilijua ni Uswahili, kuwa ukianza kufanikiwa lazima Uchukiwe na watu hata usio watarajia

    Psychology inakiri kwamba kwenye mafanikio kuna mapambano, Wapo watu ambao wakati wana hustle walikuwa marafiki sana tu, Lakini kwa Bahati mbaya Baada ya mafanikio kuanza zaidi kwa mmoja , Chuki huibuka na kutengeneza Uadui. Je, ufanye nini ili kuepuka Changamoto hiyo? - Kwanza Tengeneza usiri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…