hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama aliyemkosoa vibaya hadi Kumtusi Trump Wiki hii Trump Kamteua kuwa Mgombea Mwenza kumbe hata Mimi Mkosoaji 2025 naweza kuwa Mgombea Mwenza wake

    JD Vance aliwahi kumwambia Trump kuwa ni Mpumbavu na Mwendawazimu asiyefaa kuwa Rais wa Marekani ila Wamarekani kwa kutuonyesha kuwa Siasa siyo Chuki na Uadui Wiki hii Mgombea wa Republican Donald Trump kamteua huyo huyo JD Vance kuwa Mgombea Mwenza ikimaanisha kuwa akiwa Rais Jamaa ( JD Vance )...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wadau tujadili na kujifunza, ni kweli wanawake wa Kingoni wana hulka ya umalaya hata kama ni msomi?

    Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya JamiiForums. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa kuolewa yani over 31 years of age. Kwa madai ya huyu bwana (nihifadhi jina lake kwa hadhi ya umma)...
  3. JamiiForums Tanzania Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

    Yaani Mimi niandamane, nipigwe risasi, nife, nizikwe, nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikuwa yamezubaa nchi ikatafunwa sasa hivi yanasema vijana wa Gen Z andamaneni kwajili ya Tanzania? Mnaumwa nyie wazee, pambaneni na hali zenu. Kama maisha yamekuwa magumu kwenu, hamna...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hii nchi kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa kama hata Makonda naye aliteuliwa basi kila mtu anaweza.

    Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi. Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in...
  5. JamiiForums Tanzania Hawa nao wamezidi sasa nikisikia wamekuwa Maiti kwa Kuwachosha Polisi naweza kuwaelewa na hata kuwaunga mkono Polisi wao

    Maafisa wa Polisi nchini Kenya wameingia katika mitaa mbalimbali ili kukabiliana na mamia ya waandamanaji katikati mwa jiji la Nairobi. Waandamanaji hao wamedai lengo la maandamano hayo ni kutaka mageuzi yafanyike katika mfumo wa usimamizi wa rasilimali za umma, na haki kwa wenzao waliouawa...
  6. JamiiForums Tanzania Katika mahusiano na urafiki hata hapa JF kuna list ya watu wanarandana

    Salaaam Ngoja⁵ tuwaweke kwa style zao. Sio lazima wawe wapenzi hata urafiki wa kawaida. smart na mahondow Pdidy na unique flower🤣 Heriel na donatila Chaliiifrancisco na ephen Mshana na faiza 😅 Mrangi na niffer Bichwa na cocaaa🤣 Mshamba achekwi & Depal raraa reee na Numbisa Deep pond na Kapeace...
  7. JamiiForums Tanzania Babalevo: Diamond akifa nitalia kuliko hata Mpenzi wake Zuchu

    Mwenyezi Mungu anatufundisha kila Siku tu kuwa tusitegemee Wanadamu bali tumtegemee zaidi Yeye mtoa Ridhiki.
  8. JamiiForums Tanzania Hii nakubaliana nayo 100% kwani nilipokuwa siweki / sina hata 10,000Tsh katika Akaunti nilikuwa Silali kama Mlinzi, ila sasa naweka Nalala kama Pono

    Utafiti mpya unaeleza kuwa tabia ya kuweka akiba haitakuacha tu na pesa taslimu bali kunaweza kukusaidia kulala vizuri pia. - Kuhifadhi pesa kiasi kidogo tu mara kwa mara, kunaweza kuboresha afya ya akili, watafiti katika Chuo Kikuu cha Bristol nchini Uingereza wanasema. - Watu wa kipato cha...
  9. JamiiForums Tanzania Museveni alishatuonyesha kuwa anajua Kucheza Mpira na Juzi Kagame nae kakipiga huko Rwanda tunawaomba na wengine waonyeshe walicheza hata Netball tu

    Na tukiamua kucheza 'Netball' hatutaki kusikia Kukohoa na Kupumua kwa juu na Sharti Kuu ni Kuvaa Bukta au Gauni.
  10. JamiiForums Tanzania Kwa kikokotoo hiki ni wazi unakufa mapema kuliko hata ungepewa yote.

    Hivi ni kweli Utafiti ulifanyika kweli ikaonekana mstaafu ukimpa hela yake yote atakufa mapema kuliko kikokotoo.. Nachoona kwa sasa wenye kikokotoo ndo wapo kwenye risk kubwa ya kufa kuliko serikali ilivyofikiria.
  11. JamiiForums Tanzania THE BOYS: Moja ya series zinazohitaji kujitoa akili na ufahamu ili kuiangalia. Bila hivyo haifai hata kidogo (18+)

    THE BOYS drama ya kimarekani inayohusisha masuperheros au (Mashujaa kwa waswahili). Drama hii inaelezea Superheroes wenye ushawishi kwa umma waliyejiwekeza katika (siasa) wanasiasa, na wakati mwingine hata kuheshimiwa kama miungu. Lakini hapohapo kuna kundi la ambao wanatumia nguvu zao kwa...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

    Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana! Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa...
  13. JamiiForums Tanzania Sasa nimeshajua ni kwanini Mataifa jirani kadhaa na hata yanayojitambua ya Nje yanatudharau sana Watanzania japo wenyewe twajiona Wajanja

    “Mimi natamani kwenda nje, na ofcourse lazima nitaenda nje na ukiuliza Nchi gani nitakuambia tudondoke state hapo (Marekani), Madam (Rais Samia) tupeleke zetu state, mpigie simu Mzee Biden mwambie nakuja na Vijana akina Jay Z tuwakute pale tuzungumze, si umeona akina steve wanazungumza na...
  14. JamiiForums Tanzania Putin atahadharisha ataingamiza NATO kwa WWIII au Nyuklia

    BREAKING NEWS Putin amesema NATO inafanya makosa makubwa kushambulia ndani ya Russia, Jibu la Russia itakua na sehemu mbili kuanzisha Vita vya tatu vya Dunia na kuiangamiza NATO au kuwatwanga Nyuklia. NATO is making big mistake to strike inside Russia, we will destroy NATO either by fighting...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Maisha yanakosa maana pale ambapi hata kile kidogo kinachokupa furaha maishani kinaondoka

    Sometimes unajiuliza maisha yana maana gani? Aisee waliosema "It takes courage to love" hawakukosea. Nilikutana na huyu binti mzuri sana, zaidi ya sana mahala fulani hapa dar. Kuna kitu niliangusha akaniokotea na kuniita kisha akanipatia. Nikampa lift hadi karibu na anapokaa kisha nikachukua...
  16. JamiiForums Tanzania Tulizoea kuyasikia haya yakitokea Mikoani tu kumbe hata Dar es Salaam tunakosema kuna Waliostaarabika pia kuna huu Upumbavu na Ukatili usiovumilika?

    Watu wasiojulikana wamemuua mtoto (6) Mwanafunzi wa darasa la kwanza, katika Shule ya Msingi Kizuiani Temeke jijini Dar es Salaam, na kisha wakachukua viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo sehemu ya siri. Chanzo: itvtz Kuna Siku nitaiomba Serikali inipe hata mara moja tu GENTAMYCINE ruhusa ya...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakati CHADEMA mmejikita twita CCM wapo kimkakati kwa maandalizi ya 2025 msije kusema mmeibiwa

    Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii !! Watu wenye akili na weledi na wapiga kura wa kweli hata twita hawapo na wengine hata hawaijui kabisa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Ndoa sijui Ina nini, hata uwe na Phd Lazima ikupelekeshe

    1. Kiufupi, hamna mjanja kwenye ndoa Lazima ikupe za uso. 2. Hii Ni kwa wote uwe na PhD au darasa la 4B, uwe Jaji Mkuu au Mkuu wa Majeshi. Lazima uchechemee kama umekanyaga kinyesi vile. **Nimemkumbuka Mstaafu Zanzibar Komando, mke katoka nduki na penshen. bado imenona. Bashiru nae ndo...
  19. JamiiForums Tanzania Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

    Wakuu salama. Hii special Kwa wanaume wasiokubali kutikiswa Wala kujambiwa na wife hata kama anampenda na amemkosea Kauli mbiu ni:MWANAUME HALISI HAKUBALI KOSA. Ilinitokea siku Moja nilikuwa naacha simu nyumbani naenda kazini (maana sikuwa na ruhusa ya kuingia na simu kazini kipindi hicho)...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukisikia ulivyosemwa kipindi haupo tena na ambao ulijua wangekutetea hata usipanic(hamaki), ndivyo ilivyo kwenye jamii maskini ✍️

    UKISIKIA ULIVYOSEMWA KIPINDI HAUPO TENA NA AMBAO ULIJUA WANGEKUTETEA HATA USIPANIC( HAMAKI), NDIVYO ILIVYO KWENYE JAMII MASKINI ✍️ Moja ya sifa kubwa ya maskini wa fikra ni kuongelea wengine yaani kwa lugha rahisi tuseme Majungu. Ondoka usemwe huu ni msemo maarufu sana wenye maana kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…