Boom ni 600k, toa 156k kulipa deni la boom advance toa Kodi, toa chakula toa nauli toa book na stationary...!!
Kifupi namaliza chuo sina hata mia, na sio mia tu sina hata business idea.
Natamani kulia natamani kucheka
Hapa itabidi nijitahidi kukwepa hili deni la boom advance nakwepaje...