harusi

  1. JamiiForums Tanzania Harusi za siku hizi za kipuuzi sana. Eti mtu unakodi hadi Maids waje kunogesha sherehe. Really?

    Aisee harusi zina vikorombwezo vya ajabu ajabu sana ndio vinapelekea kusumbuana na msg za michango na kuingia madeni wanandoa. Mfano: 1. Kukodi ukumbi - Mil 4 2. Mapambo - Laki 5 3. Music - Mil 1 4. MC - Laki 5 5. Cameraman - Laki 5 6. Kukodi magari ya maharusi Mil 1 7. Coaster za ndugu - Laki...
  2. JamiiForums Tanzania DOKEZO Ukumbi Wa Harusi Bethany Mikocheni-Kwa Warioba siri zavuja!

    Hongereni kwa kazi na wasomi poleni kwa Masomo, machawa tunawashukuru na wasanii pia kwa kutusimanga sisi wasomi ! Ukumbi wa Bethany unaomilikiwa na thehebu lisiloamini YEsu, wanamiliki ukumbi wa Harusi mikocheni kwa Warioba njia ya kwenda viwandani. MAUZA UZA YA UKUMBI:- Ukumbi ni ghali...
  3. JamiiForums Tanzania Karibu kwa Huduma ya Ukodishaji wa Magari, | Harusi, shughuli binafsi n.k.

    KARIBU KWA HUDUMA YA UKODISHAJI MAGARI For Car Rental Services | Kwa Huduma ya Ukodishaji wa Magari Karibu! Tunatoa huduma bora za ukodishaji wa magari kwa harusi, shughuli binafsi, na matukio mengineyo. AINA YA MAGARI NA BEI ZETU: 1. Mercedes Benz - G Wagon: Tsh 2,300,000 - All Sedan...
  4. JamiiForums Tanzania Video: Kwa utaratibu huu uliopo kwenye harusi ya kabila hili la Kinigeria, wanaume wenzangu tungetoboa kweli?

    Wakuu, Nimekutana na video hii ya harusi ya watu wa kabila moja huko Nigeria, nimewaza sana kwa vyuma vilivyokaza sidhani kama wanaume wa Kitanzania hasa wa Daslam wangeweza. Huu utaratibu uko huko kwenye kabila moja la Nigeria linaitwa Ijaw ambapo mwanamke akiwa Bi Harusi kwenye harusi yake...
  5. JamiiForums Tanzania Heshima kwa wageni kuendelea kuwepo eneo la tukio

    Wanandoa nchini Filipino wamewashangaza watu wengi ulimwenguni baada ya kuendesha shughuli za harusi yao katika kanisa ambalo limejaa maji kutokana na dhoruba na mafuriko. Bwana Newlyweds Jade Rick na Jamaica kiss - wanaeleza Maamuzi hayo kwao ni kama kujitoa sadaka katika jambo Lao, lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Kadi nzuri za harusi kwa Tsh 950 tu!

    Ofa ya kadi za harusi, send-off, michango, graduation, komunio, na mialiko mingine mbali mbali. Utapata ofa hii kuanzia leo hadi mwezi wa nane tarehe 29, gharama ya kawaida ni Tsh 1500 kwa kadi moja, pata kwa ofa ya Tsh 950 kwa kadi moja (kuanzia kadi 100). OFA inaambatana na; Kudesign kadi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Akina dada kumpa Ex wako penzi siku moja kabla ya harusi huwa mnafikiria nini?

    Inashangaza sana mdada anakuwa na mtu wake kwa muda mrefu lakini hamuoi na wala hana mpango wa kumuoa. Lakini anakuja kupata mtu wa kumuoa cha ajabu kabla ya harusi anakwenda kumpa penzi na anagongwa kana kwamba sio mchumba wa mtu. Hii inashangaza sana.
  8. JamiiForums Tanzania Je ni kweli 85% ya ndoa za Harusi huvunjwa na walioshiriki harusi

    Aiseeh Leo katika pita pita zangu mm huwa syo mtu wa story za vjiwen ila Leo mlienda mahali tulikuw wanaume tu bas story zlipgwa nyingiii akina s unajua palpo na wanaume wanawake pia huongelewa😂😂, kama ilivo kwenye saloon za wanawake pia wanaume huongelewa 🥲🥲 Ikaja Agenda kama ilivosome hapo...
  9. JamiiForums Tanzania No Reforms No Election yatua kwenye harusi huko Mbeya

    Wakuu Mnaoamini kuwa hii kauli mbinu imeisha wakati au utamu mjue kabisa hii ngoma inazidi kupenya katika matukio mbalimbali yanayofanyika katika jamii tazama hii video huko mbeya watu wapo harusini lakini kauli ipo pale pale.
  10. JamiiForums Tanzania Moto wa No reforms no Election watinga kwenye harusi ya Kamanda

    GT. Moto wa No reforms no.Election hakuna wa kuuzima maana aliyeuwasha amefungwa ukonga na watu wanamwelewa sana.
  11. JamiiForums Tanzania Harusi ni ya Mwanamke, Ndoa ni ya Mwanaume

    Katika dunia ya sasa, harusi imegeuka kuwa tamasha la kuonyesha mali, hadhi na umaarufu. Watu wengi – hasa wanaume – wanajikuta wakilazimika kutumia mamilioni ili kufanikisha harusi ya kifahari, ilhali maisha ya ndoa yanayofuata yanakuwa magumu, yenye mivutano na yasiyo na furaha. Ni wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Nasikitika sijaalikwa kwenye Harusi ya Jeff Bezos

    Hapa nilipo nalia balaa. Nilitarajia na nilikuwa na uhakika kualikwa kwenye Harusi ya Karne ya boss wa Amazon Jeff Bezos na Lauren Sanchez na kuwa mwafrika mweusi pekee kutoka Africa kuhudhuria Harusi Hiyo. Yani wamepiga kimya Kabisa wakati Mimi ni Kati ya mteja mzuri wa Amazon duniani.
  13. JamiiForums Tanzania Kero ya Kutegemea Michango kwa Harusi au Tafrija

    Katika nchi kama Tanzania, harusi au tafrija kubwa haziwezi kufanyika bila kuchangiwa na marafiki, ndugu na jamii kwa ujumla. Ingawa utamaduni huu una asili ya mshikamano na upendo wa kijamii, hali imebadilika na kuwa kero kubwa kwa watu wengi. Leo hii, mtu anapotangaza kufunga ndoa, mara moja...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hatukopi kununua sare za harusi, tunakopa kujenga mashule nk

    Tukumbushane Mheshimiwa Rais alisema hatukopi ili kununua sare za harusi, badala yake tunakopa kujenga Mashule nk. Usisahau kua deni limefika 107t Na leo tumeambiwa uchumi wetu unafanya vizuri kuliko ulaya na Marekani. Shule zetu ndo hizo wajameni baada ya miaka 63 ya uhuru
  15. JamiiForums Tanzania Nikija kuoa nitatumia Mfumo wa tonetone kuchangisha Michango ya harusi yangu .

    Wakuu, nikitaka kuoa nitatumia mfumo wa Tonetone katika kuchangisha PESA za harusi yangu.
  16. JamiiForums Tanzania Watanzania wako tayari kuchangia harusi, sio gharama za matibabu ya Mtoto - Dtk. Mollel

    Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama kubwa za matibabu ya magonjwa kama saratani. Wito huo umetolewa Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, alipokuwa akijibu swali...
  17. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Michango ya Harusi

    Michango ya harusi imekuwa mzigo kwa familia na wachangiaji. Ingawa ni desturi ya kijamii kutoa michango katika matukio haya, ni naona lazima kutafakari kama michango hii inasaidia kweli familia au inawaongezea mzigo wa kifedha. Badala ya kuendelea na utaratibu wa kuchangia harusi na misiba, ni...
  18. JamiiForums Tanzania Una mashaka na chakula cha sherehe mfano harusi au msiba nini cha kufanya?

    Wakuu afya njema iwe nanyi. Nina swali kwenu, mfano una mashaka au wasiwasi na usalama wa chakula cha sherehe fulani kama vile harusi au msiba nikiwa na maana ya labda kimefanyiwa ulozi au mavitu fulani ili kuchukua faida fulani kwa walaji. Nini cha kufanya kwa haraka haraka hapo endapo kama...
  19. JamiiForums Tanzania Kijana katuambia anataka kufanya harusi (kuoa) yeye kaandaa laki moja tu, anaomba aongezewe pesa iliyobaki

    Kijana kaomba aongezewe pesa iliyobaki ili aweze kufanya sherehe kabambe. Wakuu mtu kama huyu anasaidiwa vipi huko kwenu?
  20. JamiiForums Tanzania Alikubali tuanzishe mahusiano wakati ashatolewa mahari na harusi inasubiri kupangiwa tarehe

    WAKUU KILE KISA CHA MSHANGAZI AMBACHO NILIWAAHIDI NDIO HIKI HAPA. Hiki kisa kinanikumbusha kipindi Mama yangu mzazi alipo gundua kuwa nimeanza kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi (kushenyenta) aliwahi kunikalisha chini na kuniambia, katika kufanya ujinga wangu wote niogope sana watu wa aina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…