Ni jambo la kusikitisha sana na la kugusa moyo namna wanaume wengi wanavyobeba maisha kama mzigo mzito usioonekana — mzigo wa kutegemewa, mzigo wa ukimya, na mzigo wa kutokueleweka.
Mwanaume anaamka asubuhi mapema, mara nyingine hata kabla ya jua kuchomoza, anaenda kazini au kwenye mihangaiko...