hamas

Hamas (Arabic: حماس Ḥamās, an acronym of حركة المقاومة الاسلامية Ḥarakat al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah [Islamic Resistance Movement]) is a Palestinian Sunni-Islamic fundamentalist but pragmatic, militant, and nationalist organization. It has a social service wing, Dawah, and a military wing, the Izz ad-Din al-Qassam Brigades. It won the 2006 Palestinian legislative election and became the de facto governing authority of the Gaza Strip following the 2007 Battle of Gaza. Israel and Hamas have since engaged in several wars of varying intensity. Canada, the European Union, Israel, Japan and the United States classify Hamas as a terrorist organization. Australia, New Zealand, Paraguay and the United Kingdom classify only its military wing as a terrorist organization. It is not considered a terrorist organization by Brazil, China, Egypt, Iran, Norway, Qatar, Russia, Syria and Turkey. In December 2018, the United Nations General Assembly rejected a U.S. resolution condemning Hamas as a terrorist organization.Hamas was founded in 1987, soon after the First Intifada broke out, as an offshoot of the Egyptian Muslim Brotherhood which in its Gaza branch had previously been nonconfrontational toward Israel and hostile to the Palestine Liberation Organization (PLO). Co-founder Sheik Ahmed Yassin said in 1987, and the Hamas Charter affirmed in 1988, that Hamas was founded to liberate Palestine, including modern-day Israel, from Israeli occupation and to establish an Islamic state in the area that is now Israel, the West Bank and the Gaza Strip. Since 1994, the group has frequently stated that it would accept a truce if Israel withdraws to the 1967 borders paid reparations, allowed free elections in the territories, and the right of return of Palestinian refugees.Hamas's military wing has launched attacks against Israeli civilians and soldiers, often describing them as retaliatory, in particular for assassinations of the upper echelon of their leadership. Tactics have included suicide bombings and, since 2001, rocket attacks Hamas's rocket arsenal, though mainly consisting of short-range homemade Qassam rockets with a range of 16 km, also includes Grad-type rockets (21 km by 2009) and longer-range (40 km) if unreliably aimed rockets that have reached major Israeli towns such as Beer Sheva and Ashdod, and some that have struck cities like Tel Aviv and Haifa. Human Rights Watch has condemned as war crimes and crimes against humanity both Hamas and Israel for attacks on civilians during the conflict, stating that the rationale of reprisals is never valid when civilians are targeted.In the January 2006 Palestinian parliamentary elections, Hamas won a majority in the Palestinian Parliament, defeating the PLO-affiliated Fatah party. After the elections, the Quartet (the European Union, Russia, the United Nations and the United States) made future foreign assistance to the Palestinian National Authority (PNA) conditional upon the PNA's commitment to nonviolence, recognition of the state of Israel, and acceptance of previous agreements. Hamas rejected those conditions, which led the Quartet to suspend its foreign assistance program and Israel to impose economic sanctions on the Hamas-led administration. In March 2007, a national unity government headed by Prime Minister Ismail Haniyeh of Hamas was briefly formed, but this failed to restart international financial assistance. Tensions over control of Palestinian security forces soon erupted in the 2007 Battle of Gaza, after which Hamas took control of Gaza, while its officials were ousted from government positions in the West Bank. Israel and Egypt then imposed an economic blockade of the Gaza Strip on the grounds that Fatah forces were no longer providing security there.

View More On Wikipedia.org
  1. Hamas yapiga uwanja wa ndege wa Ben Gurion uliopo Tel aviv

    Hapo jana Hamas ilirusha mvua ya makombora kutokea Gaza kuulenga uwanja wa kimataifa wa Ben Gurion na kuasababisha taharuki kubwa. Taarifa ya kijeshi ya Israel imesema Iron Dome zilifanya kazi kubwa ya kuyadaka makombora hayo hata hivyo yalitua uwanjani hapo na ndege za abiria ama kupigwa au...
  2. Hamas yasema hakuna mateka atakayeondoka akiwa hai bila matakwa yao kutimizwa

    Israel imechagua kupigana na kundi ambalo lina hamas za vita hawajapata kufikiria. Kundi la Hamas limetoa ahadhi kuwa katika juhudi za Israel kutaka kuwaokoa mateka waliobaki basi ijue kuwa hakuna mateka hata mmoja atakayeokolewa na kuondoka akiwa hai. Mfano halisi ni kijana Sahar Baruch, 25...
  3. Picha: Idadi ya HAMAS wanaojisalimisha huku wakiwa uchi yazidi kuongezeka, baada ya kiongozi wao katoweka

    Wapewe chakula kwanza maana hapo najua wanakua njaa, wameogopa kuwahishwa kwa mabikira kule akhera... Dozens of Hamas terrorists lost contact with the terror group's leadership, leaving them with no option but to lay down their weapons and surrender to Israeli forces in the Gaza Strip, Army...
  4. Kubwa la magaidi ya HAMAS lilitumia gari ya misaada kutorokea Gaza Kusini

    Liliacha vijana waendelee kujifia, ila sasa wengi wanajisalimisha tena wakivuliwa nguo na kubaki uchi... Hamas's leader in the Gaza Strip Yahya Sinwar speaks during a meeting in Gaza City, on April 30, 2022. (Mahmud Hams/AFP) Hamas leader Yahya Sinwar fled northern Gaza at the beginning of the...
  5. Picha: Jinsi magaidi ya HAMAS yanajisalimisha yakiwa uchi huku yamenyanyua bunduki

    Ndio imekua sharti sasa, kama hautaki kuuawa wakati unajisalimisha, lazima uvue nguo kisha unyanyue bunduki yako..... An apparent Hamas member with his hands up hands over an assault rifle after surrendering to troops in northern Gaza's Jabaliya, on December 7, 2023. (Social media: used in...
  6. Heri nusu shari kuliko shari kamili: Magaidi wa Hamas wanaendelea kuweka silaha chini na kujisalimisha kwa jeshi la Israel.

    Utaratibu ni ule ule, lazima wavue nguo zote (kasoro boxer) kabla ya kuomba kujisalimisha, Ni hatua za kiusalama kwa tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo. They did rejoice on 7th October right?
  7. Netanyahu na baraza la vita walia vibaya kwenye maziko ya General Gal,mtoto wa waziri aliyeuliwa na Hamas

    Japo wameshaua wapalestina zaidi 20 ukiunganisha na wale walio chini ya kifusi hata hivyo kifo cha askari mmoja wa cheo cha juu kumewahuzunisha sana viongozi wa Israel akiwemo kamanda mkuu wa vita baina yake na wanamgambo wa Hamas. Baba yake meja Gal huku akilia na kukumbatia jeneza la mwanawe...
  8. Video: Wapalestina watumia mawe kujaribu kupigana na HAMAS waliokua wanaiba chakula cha misaada

    Hali imekua mbaya, Wapelestina na magaidi ya HAMAS waanza kugombea chakula cha misaada, kwenye hii video jameni maskini Wapalestina wanatumia mawe kupambana na magaidi yaliyojihami kwa bunduki. Wafuasi wa HAMAS humu JF tafuteni namna ya kuwafikishia chakula waache kutesa watu...
  9. Wakazi wa Ashkelon na Sderot ndani ya Israel wasema Hamas hawawezekani

    Sauti za mamia ya maroketi kutoka Gaza kila siku na miripuko angani ya Iron dome zinazojaribu kuyaharibu angani zimewakera sana wakazi wa miji ya Ashkelon na Sderot ambayo iko jirani na Gaza. Hali hizo ambazo zinaendelea baada jeshi la Israel kuingia Gaza na baada ya kurejelewa kwa vita...
  10. Jitihada za magaidi wa Hamas kuhamasisha kutokula migahawa ya Mc Donald zaangukia pua, Waarabu wanaendelea kula bata

    Mcdonald ni mgahawa wa fast food mkubwa zaidi duniani Katika mashambulizi ya October 7 Israel ilipovamiwa na Hamas, Mcdonald walitoa vyakula bure kwa wahanga. Hali hii ilipelekea magaidi kuhamasisha kugomea kununua vyakula vya Mc Donald, Chuki hizo hazina nafasi kwa mamilioni ya waarabu...
  11. Hamas yamuua mtoto wa Waziri huku Israel ikisema vita vimekuwa vigumu

    Master Sergeant Gal Meir Eisenkot, mwenye umri wa miaka 25 ameuliwa na wapiganaji wa Hamas hapo jana kaskazini ya Gaza. Gal ni mtoto wa Gadi Einsenkot ambaye ni mmoja wa mawaziri wa baraza la vita la kupambana na Hamas linaloongozwa na waziri mkuu Benjamini Netanyahu. Maumivu kutokana na...
  12. Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

    Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat...
  13. M

    Hamas ina mpango kabambe wa kujihami katika vita na Israel

    Dec 06, 2023 12:21 UTC Afisa wa ngazi ya juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu (muqawama) ya Palestina, Hamas, amesema harakati hiyo ya kupigania ukombozi wa Palestina yenye makao yake Gaza imeandaa mpango mkubwa wa kujihami katika kukabiliana na mashambulizi ya Israel, na kusisitiza kwamba...
  14. M

    Wanasheria wakuu wa States mbalimbali za Marekani wavipiga mkwara vyombo vya habari visiripoti habari za HAMAS

    Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech! Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka. Wenye nguvu ndani...
  15. Netanyahu, kawambia familia za Mateka wa Israeli: Sitaweza kuwarudisha Mateka baada ya Hamas kukataa mazungumzo

    Wanaukumbi. Netanyahu to the Israeli prisoners’ families: I will not be able to return them all, and the families left the meeting angry. Sources: Hebrew Channel 12, Al Jazeera. 🚨🇵🇸 Hamas RESPONDS to NETANYAHU: "There will be no negotiations or exchange of detainees until Israel’s...
  16. Kiburi cha Hamas na Ujinga wa wapalestina vinaelekea kuwaangamiza kabisa huko Gaza

    Kinachoendelea Gaza kwa sasa ni matokeo ya level ya juu zaidi ya ujinga wa wapalestina na kiburi cha Hamas. Wapalestina wanaendelea kufa pasipo ulazima na eneo la Gaza kwa sehemu kubwa linakwenda kuwa chini ya udhibiti wa mamlaka ya Israel. Kwa sasa Israel imesema wazi haya, haijutii chochote...
  17. Ndio naanza kupata picha kwanini HAMAS walishambulia, walijipanga sana, mahandaki 800

    Nilikua najiuliza kwanini HAMAS wafanye kitu ambacho kimekuja kuwaletea hasara mara mia na kusababisha wafutwe Gaza..... Aisei hiki kilikua kiama kwa Israel, hawa jamaa walijiandaa kwa muda mrefu sana, mpaka sasa Israel imegundua mahandaki 800 na imefumua 500, bora ishikilie hapo hapo, safisha...
  18. WAFU WAZIKANE: Serikali inachukua lawama moja kwa moja janga la asili lililotokea Hanang mkoani Manyara

    Serikali na watendaji wake wanachukua lawama ya moja kwa moja kwenye Janga la asili lililotokea Hanang. Mlima Hanang, upo uchi, ni rahisi kwa mafuriko na maporomoko.Mji wa Katesh upo chini ya mlima na inajulikana kw azaidi ya miaka 500 hilo ni eneo la maporomoko ya mawe na mgogo ikinyesha mvua...
  19. Mashambulizi holela ya Israel. Gaza yafanya Wapalestina wengi kuwaunga mkono Hamas

    Wanaukumbi. 🚨 Kura ya Kura ya Kushtua: 75% ya Wapalestina Wanaunga mkono Shambulio la Oktoba 7 dhidi ya Israeli Ni asilimia 13 pekee ya Wapalestina wanaopinga mgomo wa Oktoba 7 dhidi ya Israel, ambao ulisababisha vifo vya watu 1,400. Kura ya maoni ya Ulimwengu wa Kiarabu kwa Utafiti na...
  20. Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza

    Baada ya vita vikali vya Israel kwa kutumia jeshi la anga na vifaru,vita halisi walivyokuwa wakivisubiri Hamas vitakavyowatoa jasho na kamasi Israel vimeanza.vita hivyo vinaweza vikavuta zaidi muda wa mapigano kati ya mwamba huyo na wapiganaji ambao muda mwengine wakiwa vitani huamua kuvaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…