hamas

Hamas (Arabic: حماس Ḥamās, an acronym of حركة المقاومة الاسلامية Ḥarakat al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah [Islamic Resistance Movement]) is a Palestinian Sunni-Islamic fundamentalist but pragmatic, militant, and nationalist organization. It has a social service wing, Dawah, and a military wing, the Izz ad-Din al-Qassam Brigades. It won the 2006 Palestinian legislative election and became the de facto governing authority of the Gaza Strip following the 2007 Battle of Gaza. Israel and Hamas have since engaged in several wars of varying intensity. Canada, the European Union, Israel, Japan and the United States classify Hamas as a terrorist organization. Australia, New Zealand, Paraguay and the United Kingdom classify only its military wing as a terrorist organization. It is not considered a terrorist organization by Brazil, China, Egypt, Iran, Norway, Qatar, Russia, Syria and Turkey. In December 2018, the United Nations General Assembly rejected a U.S. resolution condemning Hamas as a terrorist organization.Hamas was founded in 1987, soon after the First Intifada broke out, as an offshoot of the Egyptian Muslim Brotherhood which in its Gaza branch had previously been nonconfrontational toward Israel and hostile to the Palestine Liberation Organization (PLO). Co-founder Sheik Ahmed Yassin said in 1987, and the Hamas Charter affirmed in 1988, that Hamas was founded to liberate Palestine, including modern-day Israel, from Israeli occupation and to establish an Islamic state in the area that is now Israel, the West Bank and the Gaza Strip. Since 1994, the group has frequently stated that it would accept a truce if Israel withdraws to the 1967 borders paid reparations, allowed free elections in the territories, and the right of return of Palestinian refugees.Hamas's military wing has launched attacks against Israeli civilians and soldiers, often describing them as retaliatory, in particular for assassinations of the upper echelon of their leadership. Tactics have included suicide bombings and, since 2001, rocket attacks Hamas's rocket arsenal, though mainly consisting of short-range homemade Qassam rockets with a range of 16 km, also includes Grad-type rockets (21 km by 2009) and longer-range (40 km) if unreliably aimed rockets that have reached major Israeli towns such as Beer Sheva and Ashdod, and some that have struck cities like Tel Aviv and Haifa. Human Rights Watch has condemned as war crimes and crimes against humanity both Hamas and Israel for attacks on civilians during the conflict, stating that the rationale of reprisals is never valid when civilians are targeted.In the January 2006 Palestinian parliamentary elections, Hamas won a majority in the Palestinian Parliament, defeating the PLO-affiliated Fatah party. After the elections, the Quartet (the European Union, Russia, the United Nations and the United States) made future foreign assistance to the Palestinian National Authority (PNA) conditional upon the PNA's commitment to nonviolence, recognition of the state of Israel, and acceptance of previous agreements. Hamas rejected those conditions, which led the Quartet to suspend its foreign assistance program and Israel to impose economic sanctions on the Hamas-led administration. In March 2007, a national unity government headed by Prime Minister Ismail Haniyeh of Hamas was briefly formed, but this failed to restart international financial assistance. Tensions over control of Palestinian security forces soon erupted in the 2007 Battle of Gaza, after which Hamas took control of Gaza, while its officials were ousted from government positions in the West Bank. Israel and Egypt then imposed an economic blockade of the Gaza Strip on the grounds that Fatah forces were no longer providing security there.

View More On Wikipedia.org
  1. Viongozi wa HAMAS waitoroka Lebanon, Hezbollah imeshindwa kuwalinda

    Hii ni baada ya Israel kudhihirisha wana uwezo wa kupiga popote, wana nia, uwezo na nguvu....na wanapiga. ========== Most of Hamas's military leaders based in Beirut escaped the Lebanese capital due to fears of being targets of assassinations, KAN News reported Sunday night, citing a source...
  2. Sasa Israel yaendeleza uchokozi kwa Misri. Yaitaka ifunge mpaka wa Rafah ili iweze kuwashinda Hamas na kujimilikisha Gaza mia kwa mia

    Katika maadhimisho ya siku mia za vita kati ya Israel na Hamas waziri mkuu wa Israel ameiamrisha Misri ifunge mpaka wake na Gaza na kuiachia Israel kudhibiti eneo lote linalounganisha Gaza na nchi hiyo ya kiarabu. Kipande hicho cha ardhi ambacho Israel kinakiita Philadelphi Corridor kina urefu...
  3. ITV inaunga mkono Hamas, Star TV inaunga mkono Israel na Marekani

    Bila kificho, ITV inashiriki Propaganda za Hamas. Wanasiasa wanaoalikwa kuzungumzia siasa za kimataifa mara nyingi ni wale wenye mrengo wa Hamas. Vilevile Star TV inaunga mkono Israel na Marekani bila kificho. Fuatilia utagundua hilo
  4. Hezbolallah wasema Israel imepiga uraiani, hivi hivi ndivyo huwa mnalia hata kwa HAMAS

    Huwa mnachokoza Israel, mkijibiwa mnasema wamepiga raia na watoto.... Lebanon walishaonywa kwamba watafanywa kama Gaza. === An Israeli strike on a civil defense center in southern Lebanon on Thursday killed two rescuers and destroyed an ambulance, according to the Hezbollah-affiliated rescue...
  5. HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

    Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000? Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu...
  6. Israel wanaomba Mateka waachiwe Gaza. waondoe majeshi yao na viongizi wa Hamas waende uhamishoni

    Wanakumbi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken wakati wa mkutano wake na maafisa wa baraza la mawaziri la vita: Kawambua haiwezekani kuiondoa Hamas Gaza katika hali yake sasa Israel wamerudi Qatar tena hali tete Gaza. Baraza la mawaziri la vita la Israel liliwekwa Jumatano...
  7. Hamas wametoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye vita Gaza

    Wanaukumbi. Hamas ilitoa video ya wanajeshi wa kike wa Israel waliokamatwa kwenye uwanja wa mapambano Gaza. Walisimamia machapisho ya uchunguzi ambapo waliendesha bunduki za mashine zinazodhibitiwa kwa mbali. Walikamatwa baada ya kambi yao ya kijeshi kuzidiwa na wapiganaji wa Hamas, na...
  8. S

    Israeli inasema malengo yao Gaza kaskazini yamefikiwa huku utawala wa Hamas ukisambaratishiwa mbali,yaainisha malengo matano ambayo yalikusudiwa.

    Israeli inasema uongozi wa Hamas umesambaratishwa Gaza kaskazini Msemaji wa jeshi Daniel Hagari amewaambia waandishi wa habari kwamba wanamgambo wa Kipalestina sasa wanaendesha shughuli zao katika eneo hilo "bila ya makamanda". Vikosi vya Ulinzi vya Israel (IDF) sasa vinalenga kuisambaratisha...
  9. Kwa utetezi wa Joshua Mollel, soma maelezo mengine hapa chini

    Huku mjadala wa Joshua Mollel ukiendelea kufanywa, baada ya interview ya baba mzazi kuzidi kuwachanganya watanzania, kuna vitu taarifa chache nimeweza kuzipata. Naendelea kutoa pole kwa familia ya Mollel. Ndugu Ephata Nanyaro amefanya kazi nzuri sana ya kusaidia kuelezea na kufisha conspiracy...
  10. Israeli yaelekea kushindwa kuwamaliza na kuwateketeza kundi la Hamas kama walivyoahidi

    Israeli yaelekea kushindwa kuwamaliza kwa kuwaua wapiganaji wa kundi la Hamas kama walivyoitangazia dunia. Ni siku 90 (miezi mitatu) imepita tangu Israeli iingize majeshi yake ya ardhini ndani ya Ukanda wa Gaza huku wizara ya afya ya Gaza ikisema kuwa wapalestina wapato 22,000 wamepoteza maisha...
  11. Rais wa Marekani akiri Hamas haiwezi kumalizwa.

    John Kirby, akiwa hapo jumba jeupe akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa niaba ya Joe Biden, amekiri moto wa Hamas ni mkali na hawawezi kabisa kuzima, sio leo sio kesho. Kukiri huko kumewashtuwa sana serikali ya israel. Mengine jionee mwenyewe:
  12. Hamas wafanikiwa kupigana nyuma ya mstari wa mbele wa IDF. Watumia droni kufanya upelelezi

    Hili tukio kiuhalisia wa vita vikali vinavyoendelea ni dogo lakini tunalitaja kwa uzito kwa sababu linatokea kaskazini ya Gaza ambako kwa muda mrefu tumeelezwa kuwa eneo hilo liko kwenye mzingiro na kwamba Hamas wote wamefurushwa. Msomaji anaweza akajiuliza kama ni hivyo Hamas wametokea wapi na...
  13. Je, ni kweli Israel ilipiga na kuteka mataifa ya Kiarabu kwa siku sita? Sasa inashindwa nini kuwamaliza kikundi kidogo cha Hamas?

    Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na Jordan, Syria, na Misri. Uhusiano kati ya Israeli na majirani zake haukuwekwa sawa baada ya Vita vya...
  14. ISAREL yamuua Saleh Al-Arouri, Makamo Mwenyekiti wa Magaidi ya Hamas ,alikua kajificha Nchini Lebanon!!

    Waisrael wenzangu, lile Gaidi namba mbili la HAMAS lilokua mafichoni Nchini Lebanon , limeuliwa Leo Mara baada ya Ndege vita isokua na Rubani kuingia anga la Beirut Lebanon na Kuachilia kombora ambalo limemuacha Gaidi akiwa vipande vipande. Sambamba naye, wameuliwa magaidi mengine Matano...
  15. HAMAS waondoa sharti la IDF kuondoka Gaza, wakubali basi hata wapewe wafungwa

    Juzi hapa walisema hata iweje hamna kukubali chochote kisichohusu Israel kuondoka Gaza, ila Israel wakasema hamna kitu kama hicho na kwanza wakaongeza mapigo. HAMAS sasa wanasema basi sawa jameni wapewe wafungwa wao tu wataachia mateka 40 ======================== Hamas negotiators have waived...
  16. Hamas walivyozivuruga sherehe za mwaka mpya Israel. Mvua ya makombora kutoka Gaza yawatoa mbio na kuwanyamazisha washerehekeaji

    Wakati saa ikisoma sifuri baina ya 2023 na 2024 mara Hamas wakaanza kurusha makombora kwa mtindo wao ule wa kama mvua ambapo Iron Dome huwa zinashindwa kujua ianze na lipi kati ya mengi yanayokuja. Sauti za ving'ora zilizofuata hazikuwa ni zile za kuukaribisha mwaka mpya bali za kuwaonya watu...
  17. Wapalestina 21,822 hawajavuka mwaka, kisa uchokozi wa HAMAS kwa Wayahudi

    Gaza imebaki ukiwa, magofu na damu kote, yote haya yangeepukika kama msingewaua watoto wa Wayahudi eti mnatekeleza maagizo ya dini ya kufuta jamii ya Wayahudi. ============ GAZA, Dec. 31 (Xinhua) -- The number of Palestinian deaths due to Israeli attacks on the Gaza Strip has risen to 21,822...
  18. HAMAS wamesakamwa hadi wamebakia kurusha roketi moja moja tena kwa kujificha sana

    Hawa hawa waliokua wanarusha mamia na maelfu ya rockets, wamesalia kurusha roketi moja kwa siku tena kwa kujificha sana maana kila wakifyatua, hapo ilipotokea panasambaratishwa kwa majibu ya Israel. Wamefifia maana kuna siku zinapita hawajarusha chochote, wamepoteana na kusakamwa...
  19. Israel waingia ndani zaidi, wateka makao makuu ya ujasusi ya HAMAS

    IDF wanaendelea kutembeza kichapo ndani kwa ndani.... The IDF said troops of the 7th Armored Brigade had advanced further in southern Gaza, while raiding Hamas sites in Khan Younis, including the headquarters of the terror group’s intelligence division in the city. The intelligence...
  20. B

    Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

    29 December 2023 Kilimanjaro International Airport Tanzania BABA WA JOSHUA AOMBA SERIKALI YA TANZANIA IONGEE NA NCHI RAFIKI ZA KUNDI LA HAMAS BABA MZAZI WA JOSHUA MOLLEL AMWAGA MACHOZI, AREJEA TANZANIA BILA MWILI WA MWANAE ALIYEUWAWA NA HAMAS https://m.youtube.com/watch?v=DTeLiUa7QVs Mzee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…