halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

    “Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe. “Miaka...
  2. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025

    CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 Imetolewa na Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Agosti, 2020 CHAMA CHA MAPINDUZI MUHTASARI WA ILANI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020-2025 UTANGULIZI 1. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa vyama vya TANU na ASP na...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Nukuu za Ndugu Humphrey Polepole Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi katika Mkutano wa Hadhara Kata ya Makongo Juu - Kinondoni

    NUKUU ZA NDUGU HUMPHREY POLEPOLE KATIBU WA HALMASHAURI KUU, ITIKADI NA UENEZI KATIKA MKUTANO WA HADHARA KATA YA MAKONGO JUU - KINONDONI 11 Oktoba 2020 1. "Nataka ndani ya hizi siku 7, mafundi wa Dawasco wawepo hapa kumaliza tatizo la maji, wasipofanya hivyo Chama Cha Mapinduzi tutalala nao...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi halmashauri ya Wilaya ya Makete

  5. JamiiForums Tanzania Communications, M&E and Admin Senior Intern at SNV

    Communications, M&E and Admin Senior Intern Arusha, Tanzania Intern Contract type: Internships Company Description SNV is a not-for-profit international development organisation. Founded in the Netherlands 50 years ago, we have built a long-term, local presence in 39 of the poorest countries...
  6. JamiiForums Tanzania Ma HR wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke na Kinondoni wanaringa sana mpaka wanakwaza

    Yani ukienda manispaa mpaka uhudumiwe unakua umepitia mengi sana. Leo nmeenda manispaa ya temeke yani unaslimia mtu kwa kumwangalia amekula chumvi nyingi sana lakini hataki shikamoo anataka mambo yan hawakusikilizi kwa wakati wanajivuta vuta. Sasa nikaelekezwa kwa HR ni kijana ila anakera...
  7. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntirihungwa, awafuta Ukuu wa Shule ambao Walitembelewa na Esther Matiko

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe Esther Matiko Mgombea Ubunge CHADEMA ametembelea Shule zao katika kipindi hiki cha Kampeni. Hii...
  8. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Bunda tafakarini hili la fedha zinazoletwa kwa ajili ya maendeleo ya shule.

    Katika mwaka huu wa masomo 2020 serikali imejitahidi kuleta fedha kwa ajili ya maendeleo hasa maboresho katika miundombinu ya shule pamoja na kujenga miundo mbinu mipya ya shule hizi hasa za Halmashauri ya wilaya ya Bunda. changamoto iliyopo, pamoja nakuletwa fedha hizi bado halmashauri...
  9. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Muda, NEC, Halmashauri ya Kaliua

  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za muda NEC, Halmashauri ya Hai

  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi za Muda Halmashauri ya jiji la Arusha

  12. JamiiForums Tanzania Mafunzo katika Halmashauri ya manispaa

    Nimepata nafasi ya kufanya field halmashauri ya manispaa ya ilala Kama una ushauri au chochote cha kuniambia maybe cha kuzingatia. Thanks in advance
  13. J

    JamiiForums Tanzania Je, Wakurugenzi wa Halmashauri siyo watumishi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi?

    Mkurugenzi wa halmashauri ( DED) ndiye msimamizi wa uchaguzi katika eneo lake la kiutawala na ndiye anayetangaza matokeo baada ya Uchaguzi kukamilika. Hata sasa DED ndiye anayepokea fomu za wagombea Ubunge na kutangaza walioteuliwa na wale waliokosa wapinzani. Swali: DED ni mtumishi wa Tume ya...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Halmashauri Nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni

    Serikali yaagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto sokoni SERIKALI imeziagiza halmashauri nchini kujenga vituo vya kupumzikia watoto katika masoko yote ili kuwaondolea adha wanawake ya kunyonyesha wakati wakifanya biashara zao. Agizo hilo linakuja ikiwa halmashauri ya Jiji...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kinakutana leo chini ya Mwenyekiti wake Rais Magufuli. Miongoni mwa agenda ni kupitisha majina ya wagombea wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi. Mkutano utarushwa mubashara na Channel ten, TBC na ITV Up dates; Wajumbe wa halmashauri kuu tayari wameanza kuingia...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Same, Kilimanjaro: WanaCCM Kata ya Bwambo waandamana kumpinga Mgombea Udiwani aliyepitishwa na Halmashauri Kuu

    Wanachama wa CCM wakiwemo Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji wa Kata ya Bwambo Wilayani Same, Kilimanjaro wameandamana kumpinga mgombea aliyeshika namba 2 kwenye kura za maoni na kupitishwa na Halmashauri Kuu kugombea Udiwani Mshindi wa pili, Gerald Ngale alipata kura 83 na mshindi wa kwanza ni...
  17. JamiiForums Tanzania CHAMWINO: Taarifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kuhusu kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu

    Taarifa Kwa Umma Kutoka Chama Cha Mapinduzi-CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Kilichoketi Leo Chini ya Mwenyekitiwa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Dkt John Magufuli
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru Ali: Wote waliotia nia kugombea Ubunge wabaki kwenye Majimbo yao kusubiri majina yatakayopitishwa na Halmashauri Kuu

    KATIBU Mkuu wa CCM, Dkt. Ali Bashiru amewataka wote waliotia nia kugombea ubunge kubaki kwenye majimbo yao kusubiri majina yatakayopitishwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho inayokaa Dodoma Agosti 20, 2020. Dkt. Bashiru amesema inabidi wabaki kwenye majimbo yao ili iwe rahisi kwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Wilaya fanyeni haya

    Salaam Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Wilaya ni watu muhimu sana katika kusukuma gurudumu la maendeleo nchini kwetu. Wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri wote ni wasomi wa angalau shahada ya kwanza tofauti na wabunge ambao hata darasa la saba wapo. Mkuu wa Wilaya ndie...
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Itimila

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…