Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Ngudu mkoani Mwanza, wafanyakazi wa ajira mpya 2026 bado hatujalipwa posho za kujikimu. Tunaomba mamlaka husika zishughulikie suala hili, na tunawaomba mtusaidie kupaza sauti yetu.
Baada ya Mdau aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Usagara A, Kata ya Usagara, Wilayani Misungwi kueleza kuwa licha ya kutozwa fedha kwa ajili ya uzoaji taka lakini wamewekewa dampo la taka kwenye makazi yao, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda ametoa ufafanuzi kuhusu suala hilo.
Hoja ilivyokuwa ~...
Habari za muda huu, JF.
Mimi ni mwalimu wa ajira mpya na ninawakilisha walimu wenzangu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Bariadi Vijijini. Tunaomba msaada wako katika kufikisha kero yetu kuhusu kutolipwa fedha zetu za kujikimu tangu tulipoajiriwa mwaka 2025.
Tumejaribu kufuatilia suala hili...
Habari Tanzania !.
Naomba niweke mawazo yangu hapa jukwaani.
Ikiwapendeza nawaomba mtumie huu mfumo ili mfanikiwe maendeleo;
1. Madiwani ndio waiongoze halmashauri;
(a) Mwenyekiti na Msaidizi wake wa Halmashauri wawe raia wa kawaida wasomi ngazi ya Shahada moja na kuendelea asitokane na...
Habari za majukumu, JF.
Sisi watumishi wa ajira mpya wa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Momba (Momba DC) bado hatujapokea fedha zetu za kujikimu hadi leo, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamelipwa.
Jambo linalotusikitisha zaidi ni kwamba tunapofuatilia stahiki zetu...
Kumekuwa na changamoto nyingi sana za kiutumishi kwa uongozi uliopo, watumishi kunyanyaswa na kukosa haki zao za kiutumishi na kupelekea utendaji kazi kudhoofika kwa baadhi ya watumishi na hali hii imesababisha kutokuelewana katika kutimiza majukumu ya kazi ya kila siku na kufanya utendaji kazi...
Anonymous
Thread
afya
halmashauri
idara
idara ya afya
uongozi
wilaya
Leo nimeona taarifa kwamba baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba wamelipwa fedha zao za kujikimu.
Swali langu ni, kwa nini sisi walimu wa ajira mpya bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu? Je, kuna sababu yoyote ya tofauti hii katika malipo?
Tunaomba mamlaka husika...
Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa mwaka 2022 bado hatujapandishwa madaraja, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamefanyiwa utaratibu huo.
Tunapofuatilia suala hili hatupati majibu ya kueleweka. Tunaomba msaada ili wahusika watoe ufafanuzi na kuhakikisha haki yetu...
Tunaomba tulipwe fedha zetu za kujikimu.
Mtumishi anapaswa kulipwa fedha za kujikimu kwa wakati ili aweze kukabiliana na mazingira mapya ya kazi. Hata hivyo, sisi watumishi wa Halmashauri ya Tanganyika hadi leo hatujalipwa, wala hatujapewa taarifa yoyote kuhusu malipo hayo.
Tunaomba wahusika...
Anonymous
Thread
ajira mpya
halmashauri
katavi
mkoa wa katavi
mwaka wa fedha
tanganyika
Katika mashauri ya kinidhamu yaliyohitimishwa mwaka 2024/2025, baadhi yetu watumishi tulikutwa na hatia na kuamuriwa kukatwa asilimia 15 ya mishahara yetu kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitatu.
Kinachoshangaza ni kwamba baadhi yetu tunakatwa mishahara, lakini wenzetu wengine hadi leo...
Anonymous
Thread
dar es salaam
halmashaurihalmashauri ya jiji
jiji la dar
ofisi ya rais utumishi
ofisi ya wilaya ilala
takukuru tanzania
wizara ya tamisemi
Wafanyakazi wa Halmashauri tunalazimishwa kuchangia fedha ya mwenge.
Hii kisheria haiko sawa, Serikali inapesa ya kujiendesha na kufanya sherehe zake kama hizi bila Kuminya watumishi ambao vipato vyao ni vya chini sana.
Usipolipia unahamishwa/unaitwa ofisi ya mkurugenzi ukajieleze.
Kwa unyenyekevu mkubwa tunapenda kutoa kero yetu sisi watumishi wa MSF - Medecins Sans Frontieres tunaofanya kazi chini ya usimamizi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi
1. Hali ilivyo sasa
Hadi leo tarehe 5/04/2026 mishahara yetu bado haijapatikana. Ucheleweshaji huu umetufikisha...
Anonymous
Thread
chelewa
halmashauri
kero
liwale
malipo
mishahara
ucheleweshaji
watumishi
wilaya
Baada ya Serikali kutoa fedha kwa ajiri ya malipo ya posho za kujikimu kwa waajiriwa wapya wa mwaka 2026.
Hali imekuwa tofauti katika halmashauri ya wilaya ya Ushetu, mkoani Shinyanga.
Ambapo watumishi wapya walio chini ya Idara ya Afya na Lishe wamelipwa pesa pungufu tofauti na miongozo ya...
Anonymous
Thread
halmashauri
kujikimu
pesa
posho
shinyanga
ushetu
waajiriwa
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Hajjat Asia Juma Messos
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: MWAKA MMOJA WA MAFANIKIO YA SERIKALI WILAYANI MKALAMA (2025/26)
Ndugu waandishi wa habari, wageni waalikwa, mabibi na mabwana,
Awali ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema...
Habar za wakati huu.!Mimi ni mdau na mwananchi na mtumishi katika taasisi ya serekali kero yangu ni moja hasa katika Wilaya ya Handeni katika Halmashauri ya Mkata(handeni)Watumishi wa hapa wamekuwa wakitembea na wake za watu na pia waume za watu wamekuwa wakitembea na wajirani wapya au mabinti...
Anonymous
Thread
familia
halmashaurihalmashauri ya handeni
handeni
kutelekeza
watumishi
watumishi wa halmashauri
Katika Halmashauri ya Mpimbwe, kuna malalamiko kwamba kuhoji matumizi ya fedha za umma kunachukuliwa kama kosa badala ya njia ya kuimarisha uwajibikaji.
Inadaiwa kuwa Katibu wa Hospitali ya Halmashauri ya Mpimbwe, ambaye aliomba ufafanuzi kuhusu matumizi ya fedha za makusanyo ya hospitali...
Anonymous
Thread
halmashauri
katavi
matumizi ya pesa
mpimbwe
mtumishi
Watumishi tulioajiriwa mwezi Novemba mwaka 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga, bado hatujalipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu hadi leo.
Baada ya kufuatilia suala hili, uongozi ulituelekeza kuandika barua za madai. Tulifanya hivyo, lakini barua hizo zimebaki kwenye...
Watendaji wa halmashauri ya wilaya ya mkuranga wanatoza ushuru wa manunuzi ya viwanja vya futi 50/40 kwa wananchii wanayonunua viwanja hiyo.
Huku wakitambua kuwa ni kosa kisheria kuuza viwanja hivyo na kutoza tozo hizo ambazo ni kinyume na taratibu za mipango miji.
Kwa mfano mwananchi...
Anonymous
Thread
halmashaurihalmashauri ya mkuranga
kinyume
mauzo
mkuranga
ushuru
vijiji
viwanja
wanunuzi
watendaji
watendaji wa vijiji
Watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya katika Halmashauri ya Mkalama wamepewa fedha za kujikimu, lakini sisi walimu wa ajira mpya hadi sasa hatujapokea hata shilingi moja.
Hali hii inakatisha tamaa na inazua maswali kuhusu usawa katika kuwahudumia watumishi wa umma.
Tunaomba mamlaka husika...
Anonymous
Thread
ajira mpya
fedha za kujikimu
halmashauri
kada
kada ya afya
kujikimu
mkalama
sawa
sio
walimu ajira mpya
watumishi
watumishi ajira mpya