Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imebatilisha tangazo lililowataka waendesha bodaboda, bajaji na maguta kulipa ada ya maegesho ya Sh100,000 kwa miezi sita au Sh180,000 kwa mwaka, huku baadhi ya madereva wakilalamikia ukamataji na faini ya Sh70,000 wanazodai kukutana nazo wanapoingia katikati...