hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Changamoto ya takataka na mbinu bora ya kuziondoa na kuweka mji katika hali ya usafi .

    Katika maisha yetu ya kila siku ,binadamu hujikuta akizalisha takataka ( uchafu ) mwingi kila siku ili kukidhi maitaji yake, Hivyo basi kujikuta katika wimbi la uchafuzi wa mazingira. Ambapo athari zake ni kama vile magonjwa ya mlipuko,ajari nakathalika. Leo tunaenda kuona namna ambavyo maisha...
  2. Serikali ya CCM isitumie nguvu kubwa kuwabana wapinzani wanaodai katiba mpya, tukipata katiba mpya wanufaika wakubwa ni wafuasi wa CCM wenye hali duni

    Suala la taifa letu kuwa na katiba mpya tusiliangalie kwa upande mmoja tu wa shilingi. Katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa sana ambayo hayamnufaishi mwananchi wa kawaida mwenye maisha duni. Wananchi wanahitaji katiba itakayowapa nguvu ya kuonekana kuwa wana maamuzi kwenye nchi yao...
  3. Sabaya hali tete Mahakamani, Mashahidi 10 kumkaanga

    Hii ndio taarifa mpya kwa sasa
  4. T

    Ushauri kwa wito wa waajiri ambao wanatuma matangazo ya ajira ili hali tayari wana mtu wa kujaza nafasi hiyo

    Mimi ni kijana mtanzania ambaye nimemaliza elimu ya chuo kikuu kada ya ualimu wa sayansi na nimehudhuria usaili mara kadhaa na leo nataka nizungumzie swala la matangazo ya ajira kwa taasisi zinazotoa ajira. Ajira ni changamoto ambayo inatukabili vijana wengi sana na inapotokea tangazo la ajira...
  5. Je, wajua kuwa mtu mwenye hali ya chini ya chini ataathirika zaidi na tozo za miamala kuliko mwenye hela? Tazama Asilimia!

    Je, wajua Ukiwa mtu mwenye HALI ya chini hasa unayetumatuma kati ya 5000/= mpaka 100,000/= , ndo unaathirika zaidi na hizo tozo kuliko mtu mwenye HELA!... (Tazama Jedwali hapo chini!) Kwanini?: Msitizame TOZO tizameni %ge ya tozo! . Yaani ukituma Elfu hamsini kijijini mara kumi ikafika...
  6. M

    Phone4Sale Nauza Tecno Phantom 8 Iko kwenye hali nzuri kama inavyoonekana

    Hi Wapendwa nauza simu aina ya Tecno Phantom 8 Specification zake RAM-6GB Internal memory 64GB MaH-3500 Iko kwenye good condition sijawahi ipeleka kwa fundi na haina tatizo lolote lile imetumiwa na mm mwenyewe Mwanamke, kama mnavyojua Wanawake hua tuko vizuri kwenye utunzaji. Camera: Camera...
  7. RC Shinyanga na M/Kiti BAVICHA Iringa,mabishano yenu kuhusu hali ya Corona Hospitali ya Shinyanga hayana tija

    Baada ya M/Kiti wa BAVICHA Iringa ,Ndugu Vitus Nkuna kualalmika kuwa Hospitali ya Mkoa ya Shinyanga ina Scarcity ya mitungi ya gesi ya Oksijen na wagonjwa wa Corona kuwa wengi, hatimaye mkuu wa mkoa wa Shinyanga naye amekuja juu na kumtuhum kwa upotoshaje. Pia alikwenda mbali zaidi kwa kutaka...
  8. Watanzania wafurahia kauli ya Rais Samia kushughulikia uchumi kwanza kabla ya Katiba Mpya

    Watanzania kutoka maeneo mbalimbali wamefurahishwa na hatua ya Mhe. Rais wa Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kuhakikisha anainua uchumi wa Watanzania na akisisitiza suala la Katiba Mpya apewe muda kidogo. Watanzania hao kutoka mikoa mbalimbali ikiwemo ya Arusha, Mwanza, Dar es...
  9. Kuna hali ya kukata tamaa kwa vijana baada ya ajira mpya za walimu

    Baada ya ajira za ualimu kutangazwa vijana wengi wameonekana kukata tamaa huku mioyo yao ikifunikwa na wingu nzito la huzuni na majonzi yasiyoelezeka. Miongoni mwa mambo yaliyochangia vijana kukata tamaa ni pamoja na Tamisemi kutumia suala la umri kama kipaumbele cha ajira. Kama tunavyofahamu...
  10. Napatwa na kizunguzungu naona chumba kinazunguka kwa kasi pindi ninavyolala au kuamka kwa haraka

    Kuna Hali imenikuta ambayo nashindwa kuelewa ni ugonjwa gani au kama kuna mtu amewahi kukutana na aina hii ya ugonjwa aniambie. Yaani napigwa na kizunguzungu naona chumba kinazunguka kwa Kasi pindi ninavyolala na ninavyoamka haraka sometimes nataka nianguke kabisa. Kama mtu anaweza kunishauri...
  11. D

    Hali ni mbaya, kazi yoyote inahitajika

    Ndugu zangu msinichoke bado sijapata ajira. Nilisoma IT lakini ninaweza kufanya kazi yoyote. Kama una duka au biashara naomba uniamini nije nifanye kazi yako kwa ufanisi. Napatikana Dar es salaam. Hata wale wenye vibanda sabasaba kama unahitaji kibarua, nipo.
  12. Hii inaitwa pambana na hali yako

  13. Hali sio nzuri, jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa

    Mwenye masikiio na asikie. Vaa barakoa Nawa mikono mara kwa mara Jihadhari na mikusanyiko isiyo na lazima wapendwa Hali sio nzuri kabisaa kmr tunazika mfululizo Jana group la Wakatoliki naona ASKOFU Mmoja anatangaza wawili mapadre wamenyooka kushindwa kupumua na Ijumaa walikuwa nao. MUngu...
  14. T

    Mshahara unatoka lini? Hali ni mbaya

    Kiukweli tarehe Kama hizi maisha huwa magumu sana unakuta hela tu ya mboga. Naomba Serikali ituwahishie mishahara angalau jahazi lisizame.
  15. B

    Corona: EU Yafungua Milango kwa Wageni hali Inapotengamaa

    Hii ni habari njema kwamba kumbe palipo na jitihada kubwa, hali inaweza kutengamaa. Nani hakuyasikia ya Italy, Spain nk? https://edition.cnn.com/travel/article/pandemic-travel-news-new-york-california-europe/index.html Ni wazi kuwa mpambano haukuwa bure, maisha yameokolewa na matumaini sasa...
  16. Tuache kuwalaumu wateule wa awamu iliyopita, hali ilikuwa ngumu sana

    Namnukuu mwanajamvi mwenzetu white wizard: "Huo ndio ukweli mtupu!!watu watawalaumu sana, viongozi wengi waliopita, DPP, DCI, TAKUKURU, RC, DC, DED, IGP kwa mambo yaliyofanyika huku wakiwepo, lakini ki ukweli hawakuwa na namna ya kuyazuia, kwani mwendazake ndio alikuwa nyuma yake, labda njia...
  17. Hali ni tete Uganda, Corona yashika kasi tena kupelekea shule kufungwa. Rais Samia Hassan aharakishe chanjo

    Habari wadau..! Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500. Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda. Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan...
  18. Kuna ambao wapo katika hali aliyokuwa nayo Jean pierre Adam?

    Nimekutana na hili bandiko mahali kwa kweli nimesikitika sana na pia nampongeza sana mke wake kwani wengine wangekimbia. Huyu mama amekuwa bega kwa bega akimhudumia mume wake tangu augue hadi sasa huyu mama ni mzee na hajawahi choka na pia nimependa kwa jinsi akivokataa mme wake asichomolewe...
  19. Wanawake wa Kiyahudi walioteseka enzi za Holocaust, wajukuu zao leo ni wapiganaji

    Mateso ya mnyonge yanazaa shujaa, hii ndiyo dunia ilivyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…