hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    ENZI ZETU Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati. Salamu nyingi sana zikufikie huko ulipo. Utakapo kujua khali yangu mie ni bukheri kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako ewe mpenzi wangu uliye mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni la barua yangu ni kutaka kukusabahi na kukushukuru kwa barua yako...
  2. JamiiForums Tanzania Hali tete ya Maisha: Tumlilie nani?

    Wandugu hali ya maisha ni tete, tuna aangaika huku na kule hakuna pa kukimbilia - Wazee waliokuwa wanalipwa na TASSAF, sasa inabidi wafanye kazi za kujitolea katika maeneo ya umma kwenye halmashauri husika ili walipwe, no free lunch. -TANESCO tangu mwezi decemba 2021 hadi leo tarehe 4 julai...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hali si shwari kati ya Hussein Mwinyi na Othman Masoud. Hawaelewani kuhusu suala la Muungano

    ..Othman Masoud anamuona Hussein Mwinyi kama mateka asiyeweza kuitetea Zanzibar, hadhi, maslahi, na haki zake. ..Hussein Mwinyi anamuona Othman Masoud kama mchochezi asiyetaka Wazanzibar wawe kitu kimoja. Msikilize Othman Masoud hapa chini. Hussein Mwinyi amejibu hapa.
  4. JamiiForums Tanzania Natamani kuwa fisadi: Nifanyeje Kuishinda hii hali?

    Wakuu heshima kwenu, nahudumu katika kitengo cha manunuzi katika taasisi moja ya umma (sita itaja). Kila mara ninapokuwa nikitekeleza majukumu yangu kuna roho ya ufisadi inanijia, ukweli nikwamba huwa naiba ila sijawahi kuiba zaidi ya laki 5 hata kama manunuzi ni makubwa vipi. Tamanio langu ni...
  5. JamiiForums Tanzania Vile tunanuniwa tukikosa hela ya 'Diapers'

  6. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya uwingi wa majeshi huko Loliondo kwanini Serikali isitangaze hali ya hatari?!

    Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT. Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana! Kwa nini becoan zile...
  7. JamiiForums Tanzania Hali ya Uokoaji Afghanistan bado tete, Taliban waomba msaada wa Kimataifa

    Inaelezwa kuwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na uharibifu mkubwa wa majengo na miundo mbinu ni kikwazo kikubwa kwa jopo la uokoji kusini-mashariki mwa Afghanistan, ambapo tetemeko kubwa la ardhi linaripotiwa kuua zaidi ya watu 1,000 na kuacha majeruhi takriban 1500. Mamlaka ya Taliban...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kunahitajika Adhabu kali; hali ni tete Tanzania

    Sina haja ya kubwabwaja sana, matendo na vitendo vinavyotendwa katika hujma mbalimbali humu Tanzania ni vya kusikitisha na kuhuzunisha sana. Mauaji ya ovyo ovyo, watu kukatwa mapanga mchana kweupe usiku ndio usiseme, na yote hayo hufanywa na watu wa rika mbali mbali na wakati mwengine au...
  9. JamiiForums Tanzania Hii hali ni dalili ya nini wakuu??

    Inanitokea mara kadhaa nikiwa nimelala hata mchana huwa ninahisi mwili kunesanesa kwa kasi, nashindwa kufumbua mdomo na macho na kuhema wakati huo, ni wakati ambao huwa ninaomba sana kimoyomoyo kwani huwa ninaona ndio tumaini pekee lililobaki ni kama nahisi kufakufa hivi na sitamani kabisa...
  10. JamiiForums Tanzania Ulaya hali tete, Ufaransa yakatiwa gesi

    Vita vya Russia na Ukraine vikiendelea na vikwazo vya nchi za Magharibi vikiwekwa Moscow,mauzo ya gesi ya Russia kwa Ulaya yamepungua sana na kuziacha nchi nyingi za bara hilo zikikumbwa na tatizo la kujidhamini nishati na kuongezeka gharama ya bidhaa hiyo,Shirika la gesi la Gazprom la Russia...
  11. JamiiForums Tanzania Kabla ya vita USD 1 ilikuwa sawa na Rubles 77, sasa hivi ni sawa na Rubles 55. Tunajifunza nini kutokana na hali hii kama Taifa huru?

    Tarehe 1 January 2022 dola moja ya Marikani (USD) ilikuwa sawa na Rubles 77 za Russia. Baada ya vita kati ya Russia na Ukraine mwezi Februari 2022, Russia iliwekewa vikwazo (sanctions) lukuki za kiuchumi na dunia inayoongozwa na Amerika na nchi za Ulaya. Lakini leo nchi hizi zilizoweka vikwazo...
  12. JamiiForums Tanzania Hii hali tunaweza kuielezea vipi?

    Habari zenu members. Kuna hali Fulani ambayo ipo,kwamba waeza kutana na mtu lkn bila sababu yoyote ukajikuta unamkubali,mnaenda Sawa na mnajikuta kana kwamba mmefahamiana siku nyingi,mkikutana mnasalimiana vizuri na mnaweza tengeneza connection kirahisi Tu. Lakini kinyume chake kuna mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Barabara ya Morogoro ina ulinzi hali ya juu. Leo nimetoka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa na trafiki mara 8

    Naomba kutoa pongezi kwa Jeshi la Polisi kwa ukaguzi na usimamiaji mzuri wa barabara zetu mimi leo nipo kwa daladala toka Posta mpaka Mbezi tumesimamishwa karibu sehemu 8 na askari ni wengi safi kabisa hii nimeikubali sana.
  14. JamiiForums Tanzania Benki kubwa ya Urusi yasitisha miamala ya hela ya China - hali mbaya

    China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina.... Na pia inapata tabu kutumia hela ya India ================== June 8 (Reuters) - Russian lender Sberbank...
  15. JamiiForums Tanzania Mzanzibari hana cha kupoteza wala hawezi kupatwa uchungu Ngorongoro ikiuzwa, Tanzania bara tupambane na hali zetu

    Ndivyo hali ilivyo, hata mama wa kambo akilea watoto ambao sio wake haoni taabu hata kuchukua nguo zao na kuzigawa, ila hawezi fanya hivyo kwa watoto wake. Mwisho wa siku hata hii ngorongoro ikiingia rasmi mikononi mwa huyo mwekezaji, Zanzibar haiwezi kuathirika ila ni sisi bara ndio tunaisoma...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya hali kubadilika Biden amsuta Zelensky

    Raisi Biden wa Marekan amemlaumu raisi wa Ukraine kwa kuwa mkaidi na kutosikiliza ushauri wa wakubwa. Anasema alikataa kusikiliza uoni wa kiintelijinsia ya Marekani kwamba Urusi ilikuwa iko karibu kuivamia nchi hiyo. Marekani pia baada vita kuanza iliwahi kumshauri kuwa akimbie nchi na akataa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa hali ya Ngorongoro; Dola fanyeni jambo msichelewe kabla ya maafa makubwa!

    Wakuu, Najua mpo na milango yote ya fahamu inafanya KAZI! Mimi ninawaamini nyie Ndio Taasisi pekee kimbilio isiyotiliwa shaka!nyie Ndio tumaini pekee lililobaki hapa nchini! Ujumbe wangu ni kwenu nyie na wala sio KWA CCM wala Rais aliepo madarakani kwasababu nimepoteza imani nao kabisa ...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya nchi ilivyo, sitegemei pongezi, makofi au kugongwa meza kwa kiongozi yeyote yule. Watanzania tumechezewa sana

    Hivi Baada ya miaka 60 ya Uhuru unaweza mpigia makofi au kumpa pongezi kiongozi anae kuja kuzindua au kuahidi miradi ya kimaendeleo ambayo ilibidi iwe ilishafanyika miaka 40 iliyopita na viongozi waliopita kama vile mabomba na miradi ya maji mitaani , kukuahidiwa kujenga barabara kiwango cha...
  19. JamiiForums Tanzania Hali ya hewa Arusha ni baridi sana leo

    Nimekuja jana ila leo hali inatisha sana. Yaani kuna baridi kiasi cha kwamba unatamani usitoke room katika hotel niliyofikia. Wenyeji huwa mnakabiliana na hali hii kwa mbinu zipi wazee?
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kwanini Rais Samia hajawahi kumjulia hali Mzee Lowassa?

    Mheshimiwa Rais Samia ameonekana mara kadhaa akiwatembelea viongozi wakuu wastaafu mbalimbali majumbani mwao au kukutana nao Ikulu kwa mazungumzo na kubadilishana uzoefu wa masuala kadhaa ya uongozi. Ila sijawahi kumuona akikutana au akimjulia hali mzee Edward Ngoyai Lowassa(waziri mkuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…