hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi aitaka TMA ishushe huduma za Hali ya hewa hadi ngazi ya Kanda, Mikoa na wilaya

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(CCM), Profesa Patrick Ndakidemi, ameitaka mamlaka ya Hali ya hewa nchinj(TMA) kusogeza huduma za Hali ya hewa hadi kupeleka watendaji kuanzia ngazi za Kanda, Mikoa na wilaya ikiwa ni mkakati wa kuboresha huduma za mamlaka na Kwa wananchi kwa ujumla. Profesa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahusika wa Sekta ya Elimu muwahurumie watu wa hali ya chini kwa hii michango...

    Tarehe 6 na 7 mwezi huu wa tano kulikuwa na mitihani ya mock Wilaya. Wilaya ya Mvomero watoto walichangishwa 'rim papers 10' kwa kila mtihani kwenye uhalisia wa matumizi, ni mtihani moja tu wa hesabu ulitumia karatasi nne. Mitihani mingine ilitumia karatasi mbili. Karatasi zilizo zidi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Ulaya kwenye masuala ya hali ya hewa utainufaisha zaidi Afrika

    Zikiwa pande mbili kubwa zenye nguvu ambazo ziko tayari kuongoza muundo na mageuzi ya utawala wa hali ya hewa duniani, China na Umoja wa Ulaya zimedumisha mazungumzo juu ya mabadiliko ya hali ya hewa na bioanuwai pamoja na masuala mengine ya kiuchumi na kisiasa. Ili kuimairisha ushirikiano huu...
  4. JamiiForums Tanzania Mawazo na ushauri wako vitanisaidia.

    Habari zenu wana jamvi! Leo niko hapa ndugu zangu kwa ajili ya kuomba wenu ushauri ya kipi nifanye ili kuweza kukaa vyema kiuchumi. Kisa changu kinaanzia hapa; Tangu nilipoacha masomo yangu ya elimu ya chuo kikuu mambo yalikuwa ni magumu kwa upande wangu. Sikuweza kujua nianzie wapi ili...
  5. JamiiForums Tanzania Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

    Salamu ndugu zangu Huu ukweli ni mchungu sana na unachoma kama miale ya moto ila lazima usemwe ili ujue kama mwanaume utaamua kunyoa au kufuga nywele Ukweli hakuna mwanamke aliyeajiriwa mwenye mwanaume mmoja sahau kabisa ewe mwanaume mwenye akili timamu, hata huyo mkeo akijifanya hataki baby...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Anashindwaje kutoka hadharani na kuisafisha hali ya hewa? Amekubali yaishe?

    1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi. 2. Lisu anasema Rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu. 3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa CCM kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia CCM 2025. Badala ya kukaa kimya Rais...
  7. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tutakayo: Bei ya nauli ya SGR izingatie hali halisi ya uchumi wa wananchi

    Rai yangu ni kuona bei ya nauli zinazopangwa na mamlaka husika zinazingatia hali ya maisha ya wananchi ili reli hii iwafae wengi kutokana na usalama wa safari, safari kutumia muda mchache pia kutokana na kutumia nishati mbadala ya umeme badala ya mafuta sababu tumekuwa tukishuhudia kupanda kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

    Wakuu habari za Jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
  9. JamiiForums Tanzania Dr. Mwigulu Lameck Nchemba tumia elimu uliyonayo, okoa uchumi wa nchi. Hali sio hali

    Hali sio hali nchini hususani kwenye uchumi wa nchi na mauzo na manunuzi. Gharama ya bidhaa iko juu sana, vyakula na bidhaa nyingine iko juu kupindukia. Ukienda kila kona ya nchi hali ni mbaya. Kodi ni kubwa sana. Watu wanashindwa kufanya biashara. Biashara inafungwa, watu wanahifadhi pesa zao...
  10. JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa wa Hali ya Hewa aliyekuwa akitangaza Usiku huu Taarifa ya Hali ya Hewa nchini nimemkubali hapa tu Kudadadeki

    Wengjne wote ambao nilikuwa nikiwasikia na kuwafuatilia Wao ikifika sehemu ya kusema hali ya Bahari itakuwaje walikuwa wanasema Kiuhuruma na kama vile kuogopa Kutisha Wananchi ila Kudadade huyu Jamaa wa leo sijui ni Poti wangu kutoka Mkoa wa Wanamume pekee Tanzania nzima wa Mara ( Musoma ) au...
  11. JamiiForums Tanzania Hali ni Mbaya Sana, Tembo Wanazagaa Vijijini na Kuhatarisha Usalama wa Wananchi wa Mbarali

    MBUNGE BAHATI NDINGO Afikisha Hoja ya Dharura Bungeni - Hali ni Mbaya Sana, Tembo Wanazagaa Vijijini na Kuhatarisha Usalama wa Wananchi wa Mbarali Mbunge wa Jimbo la Mbarali, Mhe. BAHATI KENNETH NDINGO leo tarehe 30 Aprili, 2024 amefikisha Hoja ya Dharura Bungeni mbele ya Spika kutokana na...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna ile hali wanawake wanashika dudu na kulifanyia kazi kwa kuishika na kuingiza na kutoa kwenye chungu chao wazungu muda wote wanaita

    Shalom Sina mengi sana hio elimu au utundu nimeikuta mbinga na kwa waluguru, inakuwa kama katerero ila yenyewe mwanamke anashika dudu na kujifanyisha kazi yeye kwa mkono wake ndani ya chungu chake anatoa na kuingiza kwa spidi fulani hii hali dudu muda wote ni full utamu. Leo hii nasubiria...
  13. JamiiForums Tanzania Nifanyeje kuweza kufanya cheku-up ya figo na ini kwa bima wakati sina tatizo au dalili yoyote ya ugonjwa?

    Habari za asubuhi, Nimesafiri kuja mkoa fulani kuna Taasisi kubwa ya afya nzuri Sana mimi ni mla pombe wa kiwango cha 5G Kwa muda mrefu nimekuwa nikitamani kuziacha na nadhani huu ndo muda sahihi ingawa sijaona bado Madhara ya kiafya zaidi ya kiuchumi na kijamii pekee.. So ili niache Kwa amani...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Nawashwa uume nikishiriki mapenzi

    Naomba msaada wa mawazo au hata tiba. Inakuwaje pale ninapoingiza uume kwenye uke naanza kuwashwa mpaka naahirisha tendo la ndoa? Maana hali ni mbaya.
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ifuatilieni hali ya ukuta wa kiwanda cha SIMTANK cha Tabata TIOT

    Naomba kuwapa taarifa kuwa kuna ukuta wa kiwanda cha SIMTANK kilichopo maeneo ya Tabata TIOT kinachopakana na Asas. Ukuta huu huenda ukaanguka muda wowote hivyo msisubiri ukuta huu ulete maafa ndio muanze kumtafuta mchawi.
  16. JamiiForums Tanzania Hali ya umeme haijatengemaa maana kuna zima washa nyingi. Huku ndio kule kuajiriwa kwa kujuana

    Nilibaki nimebung'aa jana baada ya umeme kurejea mida ya usiku. Nilitegemea itakuwa one test au on or off ila cha ajabu usiku manane bado ilikuwa ni off on mara uwashwe mara uzime. Nikajiuliza inakuaje unafanyia majaribio kazi yako kwenye nyumba milioni za watanzania. Hakuna chumba cha...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Barabara ya Kigoma-Kibondo-Busunzu hali ni tete

    Kutokana na mvua zinanyesha barabara ya kigoma-kibondo-busunzu imemomonyoka na inekuwa usumbufu na hatarishi kwa watumiaji wa barabara hiyo. Mamlaka irekebishe barabara hii ili huduma iendelee kwa watumiaji. ========= UFAFANUZI WA TANROADS Meneja wa TANROADS Mkoa wa Kigoma, Mhandisi Narcis...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii Afrika kuja kujitegemea ni ngumu sana

    Prof. Michael Hudson Mchumi kutoka Marekani anasema kuwa sababu zinazopelekea deni la Afrika kuwa tofauti na la Marekani ni kwasababu deni la Marekani lipo katika sarafu yake (Dola) Hivyo Marekani inaweza kujichapishia fedha zake na kulipa deni lakini Afrika deni lake halipo katika sarafu...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: athari ya mvua Huko mtaani kwako Hali ipoje?

    Mitaa yetu pamoja na mvua kuathiri maeneo yote ikiwemo miundombinu bado kuna baadhi ya wahuni wanafurahia Hali hiyo ya mvua maana ni fursa kwao
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Miundombinu ya Mkuranga ni mibovu, mvua inaongeza tatizo, Wananchi wa hali ya chini ndio tunaoteseka

    Mwanzoni Miaka ya 2000 kila mvua iliponyesha wakati wa kuvuka Barabara tulikuwa tunalazimika kuvua viatu na kukunja nguo kisha tunavuka. Miaka zaidi ya 20 baadaye hali tuliyoizoea kuvuka kwenye maji kila mvua inaponyesha ndio ileile. Miundombinu yetu wakazi wa Mkuranga kwa asilimia kubwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…