hali ya usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fascinating

    TAHADHARI: Hali ya Usalama Mashariki ya Kati na Mwongozo kwa Watanzania

    Wakuu, Nimeona ni vyema tushirikishane taarifa muhimu iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (ya tarehe 02 Februari 2026) kuhusu usalama wa ndugu zetu waliopo au wanaopanga kusafiri kuelekea nchi za Mashariki ya Kati. Kutokana na hali ya usalama inayoendelea...
  2. L

    Maelezo Yaliyotolewa na Malisa Ni Ya Uongo Na Uzushi Mkubwa. Wananchi Puuzeni Taarifa Hizo. Hali ya Usalama ni Shwari Kabisa

    Ndugu zangu Watanzania, Niliwaambieni humu kuwa habari na taarifa za Malisa zilikuwa ni za Uzushi ,uongo, uchonganishi na zenye lengo la kutaka kuleta taharuki na kuichafua serikali yetu chini ya uongozi mahiri,shupavu ,madhubuti na Imara wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
  3. Mshana Jr

    Hali ya usalama nchini inazidi kuwa tete

    Kilichokuwa kiwe uchaguzi mkuu Tanzania kwa mujibu wa katiba yake, kimepita na yaliyotokea sote tunayafahamu! Bado taifa halijatulia, bado fukuto lipo, la dhuluma, la maumivu, la ukatili mkubwa uliitokea nknk Hofu kwa upande wa pili ni kubwa zaidi.. Nadhani intelijensia inawapenyezea hali...
  4. Fascinating

    Tinubu aagiza polisi wote warudi kulinda raia na si viongozi, Itasaidia kuongeza hali ya usalama nchi humo?

    Juzi Jumapili, Ikulu ya Abuja ilikuwa kimya lakini ndani kulikuwa kwa moto sana. Rais Tinubu alikuwa amewaita wakuu wote wa vyombo usalama: IG Kayode Egbetokun, DG DSS Tosin Ajayi, Chief of Army Staff Lt-Gen Waidi Shaibu, Chief of Air Staff Air Marshal Sunday Kelvin Aneke. Mkutano haukuchukua...
  5. R

    PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
  6. R

    PostGE2025 Gerson Msigwa: Kwa sasa hali ni shwari na vyombo vya ulinzi vianaendelea kuhakikisha usalama

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kutokana na matukio yaliyotokea kwa hali ya usalama wa nchi shwari na kuwa Vyombo vya ulinzi vinaendelea kuhakikisha wananchi pamoja na mali zao wanabakia kuwa salama na matishio yote ya...
  7. Mafyangula

    GE2025 Ubalozi wa Marekani: Tahadhari Kuhusu Marufuku ya Kutotoka Nje na Hali ya Usalama Dar es Salaam

    Tukio: Marufuku ya kutotoka nje kitaifa bado ipo kati ya saa 12 jioni hadi saa 12 asubuhi. Katika maeneo fulani ya Dar es Salaam, vyombo vya ulinzi na usalama vinaripotiwa kuimarisha udhibiti wa harakati za watu. Huduma ya intaneti bado imezuiwa, jambo linalosababisha ugumu katika mawasiliano na...
  8. R

    GE2025 DC Kigamboni, Dalmia Mikaya: Hali ya usalama ni shwari wananchi waendelee kujitokeza kupiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa "Hali ya Usalama ni nzuri, watu wamekuwa na amani na utulivu mkubwa. Niendelee kuwasisitiza na kuwahimiza kwa wale ambao bado...
  9. Yoda

    Ni kweli hali ya usalama Washington DC ni mbaya kiasi cha kuhitaji Trump kuwapelekea jeshi mitaani kama alivyofanya?

    Mlioko Marekani hali usalama Washington DC ilikuwa inahitaji Trump kuwapelekea raia wa huko wanajeshi na magari ya kivita kama alivyofanya?
  10. Huihui2

    Heche ametweet kuwa hali ya usalama wa Lissu huko Ukonga, Serikali itawajibika. Je, kapatwa na nini?

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa X, zamani Twitter
  11. F

    Rais Samia ashughulike na matatizo ya usalama wa wananchi na sio kushughulika na wanaofichua uovu. Sura ya Tanzania kimataifa imekuwa mbaya mno!

    Kinachoendelea ni kwa serikali na vyombo vyake kujaribu kuwaziba midomo wale wote wanaofichua vitendo viovu vya utekaji na upotevu wa wananchi. Lakini la ajabu ni kwamba badala ya serikali kutoa ushirikiano kwa watoa taarifa inaonekana serikali inajikiti zaidi kukana kuwepo kwa vitendo hivi na...
  12. W

    PreGE2025 Amani Gulogwa: Polisi msiingie kwenye mtego wa kuilinda CCM, mtatukwaza

    Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Gologwa amelitaka Jeshi la polisi kuacha kuwapangia cha kuzungumza kwani siasa ina luga zake ambazo ni tamu. Aidha amelitaka jeshi kufanya majukumu yake ya msingi ikiwemo klinda raia, kufuatilia waliotekwa na kesi nyingine ikiwemo ya Lissu aliyepigwa risasi...
Back
Top Bottom