halali

The Halali reservoir is a reservoir in the Raisen district of Madhya Pradesh, India. It is built on the Halali River, and lies 40 km away from the state capital Bhopal.The major fish species found in the reservoir include catla, rohu, mrigal, wallago attu, mystus and chitala.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali yenye kukidhi mahitaji

    Nichukue nafasi hii kuomba nafasi yoyote ya kazi Kwa mtu ambaye yupo tayari kunisaidia kwa hili namba zangu ni 0676917970 Cheti Cha form 4, 6 na Chuo kikuu ninavyo N:B Kazi yoyote Ile nipo tayari
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa askari wa usalama barabarani kuwatoza wananchi faini ya 30,000/= kwa kutokuwa na sticker za nenda kwa usalama?

    Habari ndugu Wanajamii Forums. Nimeona nije kupata ufafanuzi kutoka kwa wataalam wa mambo ya usalama barabarani. Kwa ufupi nilikuwa na safari kutoka Mkoa mmoja kwenda mwingine huku nikitumia usafiri wangu binafsi. Kiukweli njia nzima changamoto zilikuwa ni nyingi kutoka kwa hawa askari wetu wa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika aeleza mikakati ya CHADEMA kukabiliana na Orodha Haramu ya Wapiga Kura Wasiokuwa Halali

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ameeleza kuwa chama hicho kimejipanga vema kukabiliana na kile alichokieleza kama dhamira ovu ya kuhamisha orodha haramu ya wapiga kura wasiokuwa halisi. Mnyika amedai kuwa mbinu hii inatekelezwa kupitia mtandao wa...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni halali kwa katiba ya CCM kuchapisha fomu moja tu kwa ajili ya Samia kugombea urais 2025?

    Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
  5. JamiiForums Tanzania KWELI Picha ya Uwanja wa mpira wa Miguu uliofurika watu wengi ni picha halisi

    Salaam Wakuu Nimekutana na picha hii ya uwanja uliojaa sana watu kupitiliza, je ni picha ya kweli au masuala ya AI haya?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kazi yoyote ya halali. Mimi ni Mhitimu mpya wa Chuo

    Habari, Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA. Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu utajiri wa halali

    Kuwa tajiri mara nyingi kunategemea mchanganyiko wa mambo, na bahati huweza kuwa na nafasi, ingawa kwa kawaida siyo kipengele pekee cha utajiri. Watu wengi wenye mafanikio wanakiri kuwa bahati—kama vile kuzaliwa katika mazingira mazuri, kukutana na fursa zinazofaa, au kufaidika na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote ya halali

    Mimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu...
  9. JamiiForums Tanzania Je ni halali katika salon kuweka na desktop kwa ajili ya kurusha movies?

    Nimewaza bora niuwe ndege wawili kwa jiwe 1 vip hii inaweza kufaa na vip changamoto zake?maana itakua two in one. Asanteni wakuu.
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni halali kwa anayejiita CHIEF GODLOVE kuja Jamii Forums kutukana watu?

    Wakuu salama! Ingawa hii forum ni ya kila mtu, lakini ni moja ya jukwaa kubwa sana la kiswahili Africa na Dunia kwa ujumla. Ni forum ambayo kuna watu wa maana sana, kuna wasomi na watu wenye experience kubwa sana. Kuna matajiri na watu wenye hekima kubwa sana, ni sehemu pekee unayoweza ku...
  11. JamiiForums Tanzania Wajua Kuna Sheria Halali, Batili na Batilifu, Ndoa Halali, Batili na Batilifu, Je Wajua Katiba ya JMT ni Batilifu?. Why Ubatili Huu wa Katiba Yetu?!

    Wanabodi, Japo mimi ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nimegundua kumbe wito wangu ni ualimu, kufundisha watu, hivyo from time to time nitakuwa napiga humu darasa la bure la katiba, sheria na haki. Somo la leo ni kuhusu halali, batili na batilifu, ambapo kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Ni halali kwa raia wa kawaida kumiliki torch ya kupiga shoti?

    Kuna hii torch ya shoti(pichani) nataka niinunue, je kuna hatua zozote za kufata kama vile kumiliki bastora?. Hii torch ina 30000K Volt kazi yake kubwa ni kupiga shoti nahitaji kuimiliki kwa ajili ya ulinzi binafsi
  13. JamiiForums Tanzania Ukikaidi amri halali, kupigwa ni haki yako

    Nawasihi sana ndugu zetu huko bara. Tuelekee Msomera Kwa furaha maana mkizidi kukaidi. Haki mnayodai ni kupigwa tu. Hamna haki zaidi ya hiyo. Asanteni
  14. JamiiForums Tanzania ALAMA MUHIMU ZA KUTAMBUA NOTI HALALI

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee It's me Foffana Mama Samiaaaaa Mi5 tenaaaaaa
  15. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira yoyote ya halali

    Habar wakuu nina umri wa miaka 29 natafuta kazi yeyote ya halali kwa taaluma ninachet cha hotel kama housekeeper na waiter ambayo nitalipwa mshahara kuanzia 300,000 kwa mwezi. Pia najua kuendesha gari, sijasomea. Nipo DODOMA ila kokote naweza fanya kazi. Kwa manual work nahitaji ambayo naweza...
  16. JamiiForums Tanzania Binti anatafuta kazi/ajira iwe ya halali na inayoendana na gender yake

    Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, Najua humu JF kuna watu tofauti tofauti wenye uwezo mkubwa,kati na chini wote kwa pamoja msaidieni binti kibarua chochote aweze kujikwamua kimaisha ana miaka 22 elimu yake ameishia form two baada ya kubebeshwa mimba, kwa hapa Dar mtoto hana amemuacha na...
  17. JamiiForums Tanzania Ni halali kwa Mch. Msigwa kuikosoa CHADEMA?

    Mimi siyo mfuasi wa Chama Chochote cha siasa, ila ni mpiga kuta mwaminifu. Sichagui Chama, namchagua mtu. Msigwa ni mwanachama wa CCM kwa sasa. Lakini miezi michache iliyopita, alikuwa CHADEMA akiwa ni mmoja wa viongozi waandamizi wa hicho chama. Baada ya kuhamia CCM, amegeuka kuwa mmoja wa...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba sc , Njooni mtuombe radhi mashabiki wenu kwa kutudanganya uwa Lameck Lawi ni mchezaji halali wa Simba sc

    Mpaka sasa uongozi wa Simba sc upo kimya tu na hautaki kujitokeza hadharani na kutuomba Radhi mashabiki wa mnyama lialia nikiwepo mimi mwenyewe na ndugu yangu wa damu Gentermycin. Hizi ni dharau kubwa sana ina maana viongozi wa Simba sc wamesahau kabisa kuwa wamedanganya mashabiki kwa kutuambia...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia TRA ianze kufuata uchumi halali kuondosha malalamiko ya wafanyabiashara na kukuza uchumi

    Malalamiko ya hali mbaya za kiuchumi na kutoka kwa wafanyabiashara yamekuwa sugu. Njia zote kuleta nafuu zimeshindikana.Sababu ya hali hiyo ni kwa vile njia za uchumi zinazofuatwa si halali. Tumezoea kurithi kila tunacholetewa kutoka kwa watu wa Ulaya waliowahi kuwa wakoloni wetu.Na kwa vile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…