halali

The Halali reservoir is a reservoir in the Raisen district of Madhya Pradesh, India. It is built on the Halali River, and lies 40 km away from the state capital Bhopal.The major fish species found in the reservoir include catla, rohu, mrigal, wallago attu, mystus and chitala.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Ezekiel Wenje: Kupiga Kura siyo suala la Vyama vya Siasa ila ni la Kikatiba

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekiel Wenje, amesema suala la kwenda kupiga kura si la vyama vya siasa, bali ni la Mtanzania mmoja mmoja kama ilivyoainishwa kwenye Katiba ya Nchi. Wenje ameyasema hayo leo, Oktoba 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wakati...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 SACP Richard Abwao: Wananchi puuzeni wito wa maandamano yasiyo halali

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii. Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenye nacho huongezewa asie kua nacho ata kile kidogo ni halali kukichukua

    japo sio watu wengi wana uelewa sana wa crypto ila huyu mzee amefanya kilicho kibaya sana wiki hii, binafsi kama 40% ya mtaji mzima umeenda, ni sahihi kabisa kumrushia mashtaka huyu mwamba
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji Microsoft 365/Office ya Halali kwa Haraka

    Wakuu. Vyuo karibu vitafunguliwa; na madogo wanahitaji vitendea kazi (laptops). Kuna dogo anahitaji software ya Microsoft 365/Office ya halali na yenye lifetime warranty kwa ajili ya kazi za kawaida tu za chuoni. Kama unayo basi nitafute ASAP. Dogo anayeihitaji kwa sasa yupo Dar; na ndiye...
  5. JamiiForums Tanzania Kipimo halali kinachokubalika Tanzania kujipima mwenyewe HIV ni kipi?

    Habari Ni kipimo gani ambacho kinakubalika na serikali ya Tanzania kujipima mwenyewe(self test) virusi vya Ukimwi(HIV) Ukienda kuuliza kwenye maduka ya dawa (pharmacy) hivi vipimo vya kupima kwa kutoa damu wengi wanauza kwa kificho kwa maana hairuhusiwi kumuuzia mtu binafsi. Kuna kipimo cha...
  6. JamiiForums Tanzania Kikubwa upate pesa ya halali hata kama inabidi kujitoa akili

    Baba kaenda kazini, alisema akirudi atarudi na zawadi yangu. Kikubwa ni kazi hata kama inakubidi kujitoa akili. Neno moja kwa Mpambanaji
  7. JamiiForums Tanzania Nchini Japan, unaweza kulipa ili kupotea bila kuacha alama, ni halali kwa 100%

    Yonige-ya ni Biashara za Japani zinazosaidia watu kutoweka kutoka kwa maisha yao ya sasa, mara nyingi ili kuepuka hali ngumu kama madeni, mhusiano mabaya, au shinikizo la kijamii. Wanaitwa "wahamishaji wa usiku" kwa sababu wanahamisha watu kwa siri, mara nyingi usiku, ili kuepuka kugunduliwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Nitaichangia CCM $40k kama Samia atapata kura za ukweli 3m

    Jana Samia kachukua fomu, ukiangalia tukio Zima, mchukua fomu na Mgombea mwenza walikuwa wabaridi mno. Uchaguzi wa mwaka huu umepoa aswaa, hauna hamasa ata kidogo. Wananchi hawataki kabisa kumsikia Mgombea wa CCM. Matukio ya utekaji, mauaji, ubakaji,kubambikizia wapinzani kesi za uongo ndo...
  9. JamiiForums Tanzania Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

    Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu ================= Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo akinukisha, ataka kura zihesabiwe upya

    Baba Levo agoma, anataka kura zihesabiwe upya Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM Chanzo: Kitenge updates
  11. JamiiForums Tanzania Tafiti ya IMF yashauri Crypto-currency kutotumika kama fedha halali (Legal tender)

    Utafiti wa IMF kuhusu Malipo ya Kidigitali - Sub Saharan Afrika, imeshauri kutotumia Crypto Currency kama fedha halali ya malipo. Suala hili linakuja wakati ambapo duniani Crypto Currency zinaongezeka kila uchao na baadhi ya nchi zikiwa zinaitumia fedha hizo kwa malipo ya kawaida. Suala la...
  12. JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa mtu halali kuidhinisha kitu halali ilhali wewe mwenye 'sihalali' Yani hujapatikana Kwa haki

    Nafikiri shida ndo ipo hapa. Na uhuni huu tukienda nao miaka mitano ijayo. Taifa lote linaenda kuwa la si kuhalali na hakuna haki itatamalaki nchini Kwa sababu tutakuwa na reference ya number 1 kama mtu hakupita kwa haki. HATUA STAHIKI ZIFANYIKE SASA.KAMA TAIFA. NI MUDA WA KUWEKA MASLAHI...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan ni Mgombea Halali Kikatiba na kihistoria

    Wanaukumbi. Mchakato wa Rais Samia kupitishwa kuwa mgombea pekee wa CCM kwa uchaguzi wa 2025 ni wa kihalali kwa mujibu wa Katiba ya CCM, na umefuata historia na utaratibu wa chama uliodumu kwa miongo kadhaa. Wanachama wa CCM, viongozi wa chama, na wananchi kwa ujumla wanapaswa kuelewa kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania MKUTANO MKUU ULIKUWA HALALI KIKATIBA

    MKUTANO MKUU ULIKUWA HALALI KIKATIBA Mkutano mkuu Halali ni lazima uitishwe na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, ni lazima Akidi itimie ya wajumbe halali zaidi ya nusu kuhudhuria lakini taratibu zote kufuatwa. Mkutano ule wa January 18 na 19 January uliompitisha Rais Samia kuwa mgombea...
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NAMNA YA KUREJESHA NYWILA ILIYOSAHULIKA KWENYE WINDOWS – KIUNDANI NA KWA MAJUKUMU HALALI TU Na Goodluck Maleko J

    “Umekwama Kwenye Windows? Njia ya Kisomi, Kisheria na Kiufundi ya Kurejesha Password Kusahau nenosiri (password) ya kuingia kwenye kompyuta ya Windows ni moja kati ya changamoto zinazoathiri watumiaji wengi — iwe ni nyumbani, kazini, au katika mazingira ya kielimu. Wengine huingia kwenye hofu...
  16. JamiiForums Tanzania "Nahitaji Wakili Mwenye Leseni Halali kwa Ushirikiano wa Kudumu wa Kitaaluma

    Ndugu wana JF, Nahitaji wakili aliyehitimu kisheria, mwenye leseni halali kutoka Tanganyika Law Society (TLS), na anayefanya kazi kwa weledi, maadili, na uaminifu wa hali ya juu. Vigezo ninavyotafuta: Awe na leseni hai (valid practicing certificate) Awe na uzoefu wa kushughulika na kesi au...
  17. JamiiForums Tanzania Nina stashahada ya Maendeleo ya Jamii. Natafuta ajira halali

    Habari zenu wapendwa, Poleni kwa mihangaiko ya kila siku. Kwa majina naitwa Kusena, mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni stashahada ya Maendeleo ya jamii. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani, halmashauri ya wilaya ya Chalinze, na kwa sasa ninaishi katika mkoa wa Mbeya. Ndugu zanguni...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta fursa ya kazi halali

    Habari zenu wapendwa, Poleni kwa mihangaiko ya kila siku. Kwa majina naitwa Kusena, mwanaume mwenye umri wa miaka 26, elimu yangu ni stashahada ya Maendeleo ya jamii. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Pwani, halmashauri ya wilaya ya Chalinze, na kwa sasa ninaishi katika mkoa wa Mbeya. Ndugu zanguni...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mungu hajalala, tukiendelea kuteua waovu anaweza angusha mtungi maji yote yakamwagika

    Amani iwe nanyi Wana Jukwaa , Nitaandika Kwa kifupi ili kila mmoja atoe mtazamo wake. Nchi yetu inaelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais. Tumeshuhudia wafanyakazi wa Serikali ngazi mbalimbali wakiachia nafasi zao wakikimbilia kuomba kupendekezwa na Chama cha...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Vyuo na vyuo vikuu, Tumieni njia halali za kutafuta pesa. Mwenzenu yamemkuta

    Doreen habari! Mimi nipo chuo mwaka wa 2 hapa dar.Kuna rafiki yangu amenidhulumu pesa yangu yani amenifanya nifanye mambo machafu ya aibu na hela amekimbia nayo simu yangu hapokei. Naomba nisimulie kidogo dada Doreen Kuna wazungu hawaongei kingereza walikuwa wanahitaji wadada rafiki yangu hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…