Leo wakati nafuatilia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu, kutokana na hoja nzito za kisheria alizokuja nazo Lissu , ilifanya hoja za upande wa Jamhuri ukiongozwa na Bwn. Katuga, kuonekana hazina mashiko kabisa, hali hii ilimfanya hakimu aone kabisa kesi hii inafaa kufutiliwa mbali Leo hii, ila ghafla...