ISEE kiukweli mwenzenu nna majuto+furaha,kuna binti nilikutana nae katika harakati zetu vijana,mimi ni kijana ambae sijawahi kuoa japo ka umri kangu kanakaribia thirty,huyu binti sio pisi kali wala nini,na mimi niliwish siku zote nije kuoa binti ambae ni standard ili kuepusha mambo mengi against...