haki

  1. JamiiForums Tanzania Watawala, wananchi wana haki ya kupata taarifa sahihi na kwa wakati

    Ili kujenga jamii iliyobora mawasiliano katika kutatua changamoto za jamii ni muhimu sana. Lakini katika hili ofisi na taasisi za Serikali zimekuwa na changamoto katika kutoa mawasiliano kwa Umma na taarifa muhimu zinazowafaa wananchi. Ukianza kutafuta taarifa za jambo fulani katika Serikali na...
  2. JamiiForums Tanzania Kamati kuu ya CCM ilipaswa kupendekeza IGP Sirro aondolewe, sio kutathmini mwenendo wa Tanpol. Ukiukwaji wa haki za binadamu umekithiri hapa nchini

    Kila kukicha ni malalamiko ya wananchi juu ya ndugu zao kuumizwa au kuuawa wakiwa mikononi mwa jeshi la polisi. Mbaya zaidi hakuna hatua zinazochukuliwa ili kuwashitaki wanaofanya haya matendo maovu. Rais Samia alishakiri hadharani kuwa kuna nguvu ya ziada inayotumika na inaleta madhara kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kurudi Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Namnukuu waziri wa katiba na sheria hapa chini: "Sio vizuri sisi tusiwe ndani ya Mahakama [ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu-AfCHPR] ikiwa ipo kwetu, Rais wake ni Mtanzania. Jambo la msingi tupeni muda serikali tutaonesha kwa matendo."- Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene...
  4. JamiiForums Tanzania Ukitumia ugonjwa kuombaomba fedha mtaani, adhabu ni jela miaka 3 au faini Milioni 5

    Machi 7, 2022 niliweka uzi hapa kuhusu watoto kuhusika katika biashara ya kuombaomba mitaani hasa kwenye miji mikubwa. Justine Kaleb ambaye ni Wakili wa Kujitegemea na Mwandishi wa Vitabu vya Sheria, kutoka Kampuni ya Mawakili ya Moriah Law Chambers alifafanua kwa undani kuhusu hatua...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mzazi, mlezi kumpa mtoto haki zake ikiwemo uhuru wa kujieleza siyo ‘Uzungu’, ni wajibu

    Sheria ya Mtoto inamtafsiri mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na kuendelezwa. Aidha, watoto wanayo mahitaji ya msingi ambayo kote Duniani yanatengeneza haki zao...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mikutano Miwili ya China yazingatia kulinda haki na maslahi ya wanawake

    Pili Mwinyi Kwa miaka mingi China imekuwa ikiimarisha sheria na kanuni zake zinazomhusu mwanamke, kukuza sera za umma, kufanyia kazi mipango ya maendeleo na kuendeleza masuala ya usawa wa kijinsia na maendeleo ya wanawake. Katika mikutano miwili inayofuatiliwa sana nchini China, ulinzi wa haki...
  7. JamiiForums Tanzania Wafungwa kula mlo mmoja kwa siku na hufanya kazi ngumu, hii ni haki?

    Hizi jela zetu zimekuwa sehemu ya mateso na sio sehemu ya kumrekebisha mtu tabia. Mfano hapa jela ya Mbeya Mjini watu wanafanya kazi asubuhi hadi saa nane mchana, hio kazi wanayofanya ni nzito ambayo uraiani anastahili malipo ya chini iwe kumudu milo miatu lakini wao wanapewa chakula mara moja...
  8. JamiiForums Tanzania Umaarufu wa Mbowe wazidi kupanda. Sasa hivi watu wanamchukulia kama mpigania haki na ukombozi

    Kila kona ya dunia sasa ni mazungumzo juu ya Mbowe namna anavyopigania haki za watanzania. Anafananishwa na kina Dedan kimathi, Thom Mboya na Chief Mkwawa wa Tanzania. Umaarufu huu wa kupigania haki za binadamu unamuweka kundi la mashujaaa wa Afrika wanaotetea haki za waafrika.
  9. JamiiForums Tanzania Bila kutenda HAKI ni ndoto kudumisha AMANI nchini, iwe ndiyo "slogan" ya Taifa kuanzia sasa

    Tokea Mwenyekiti wa Chadema, shujaa Freeman Mbowe, atoke jela, siku chache zilzopita, alikokuwa amekaa zaidi ya miezi 8 kwa Kesi ya michongo ya ugaidi, amekuwa alisisitiza Sana neno HAKI kuwa likidumishwa nchini, Taifa letu litapona. Hata kwenye maandiko matakatifu ya Biblia, kitabu cha Mithali...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya siku 226 rumande, Zitto Kabwe asema “KWA MBOWE HAKI IMETENDEKA”

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe na wenzake watatu, wameachiwa huru leo Machi 4, 2022, na Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, baada ya DPP Kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo. Hatua hiyo imekuja siku...
  11. JamiiForums Tanzania Mwezi Machi ni mwezi wa haki. Mungu ibariki Machi na watu wake

    Mwezi wa March ni mwezi wa haki kwa taifa la Tanzania. Mwezi March Mungu amekuwa akiwapa kicheko Watanzania wanaoonewa na kukandamizwa na udhalimu wa watawala dhalimu. Mwezi March mwaka jana taifa lilijawa na milango wazi ya haki, usawa, na furaha kwa watu wengi. Waliofungwa kwa kusingiziwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kunyimwa Uhuru wa Kujieleza ni kunyimwa Haki ya msingi ya ushiriki katika maendeleo ya nchi yako

    Wakati viongozi wakitazamia kusimika mabavu yao, kwa kawaida huwa wanashambulia haki zetu za uhuru wa kujieleza kwanza. Tumeona mchezo huu mara nyingi. Kwanza wanashambulia vyombo vya habari, kisha taasisi za kidemokrasia, na kisha, taratibu, wanachukua uhuru wetu. Namna ambayo serikali...
  13. 4

    JamiiForums Tanzania Sisali katika makanisa yao, ila naeshimu imani zao, watendewe haki

    WanaJF Mungu mwema siku zote na niwasalim kila mmoja KWa imani yake popote mlipo nje na ndani nchi. Sitakuwa na maneno mengi,ila kichwa Cha habari chajieleza. Leo Tanzania tupo na dini nyingi ambazo zimebeba imani za watu mbalimbali, na sio mbaya Kama hakuna hukiukwaji wa SHERIA za nchi maana...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Crown Prince wa Abu Dhabi (UAE) akiri haki ya msingi ya Kremlin kuhakikisha usalama wa taifa la Russia

    Crown Prince wa Abu Dhabi ktk United Arab Emirates, Mohammed bin Zayed Al Nahyan amesema kuwa anaamini kuwa Russia ina haki ya kuhakikisha usalama wa taifa hilo (Russia) hauhatarishwi. Maneno hayo kiongozi huyo ameongea alipokuwa akizungumza kwa simu na rais wa Russia, Putin. Viongozi hao...
  15. JamiiForums Tanzania Kama unaingia Mkataba ulipwe Mshahara kidunchu unategemea nchi yako ifanyeje?

    Habari Wakuu! Mambo yetu yanasikitisha mno. Yanahuzunisha Sana. Tumezoea kulalamika. Tumezoea kulaumu wengine huku Sisi tukifanya yaleyale. Taikon sitaki kumlaumu yeyote. Siku zote nitakuwa msema ukweli hata Kama unaumiza. Ukweli ndio dawa pekee ya kuikomboa nchi. Hakunaga maendeleo pasipo...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17. Pia soma
  17. JamiiForums Tanzania Februari 20: Siku ya Kimataifa ya Haki za Kijamii (Social Justice Day)

    Haki ya Kijamii Humaanisha uwepo wa Haki sawa kwa watu wote na uwezekano wa kila mtu, bila ubaguzi, kufaidika na Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii Duniani kote Ni mtazamo kwamba kila Mtu anastahili Haki na Fursa sawa. Baadhi ya Haki za Kijamii ni pamoja na kushiriki Uchaguzi, Usawa wa Fursa za...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Athari za kiuchumi zitokanazo na nchi kuwa na mfumo mbovu wa utoaji haki ikiwemo ukosefu wa Uhuru wa Mahakama

    Nitaandika kidogo lakini kwa mwandiko uliokolea , nitaandika Kwa ajili ya watu wenye akili zakupambanua mambo na siyo kwa wanaosubiri siku zipite wazeeke. Naandika kwa watu wenye macho ya ujasusi wa kidiplomasia na siyo wenye ujasusi wa jinai unaoongozwa na nguvu nyingi akili kisoda. Twende KAZI...
  19. JamiiForums Tanzania Fredrick Lowassa afunguka mgogoro wa Ngorongoro, asema “Wamasai wana haki”

    Picha: Fredrick Lowassa Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredrick Lowassa kupitia mtandao wake wa Instagram, ameandika kuwa jamii ya Wamasai kutoka Ngorongoro ni Watanzania na wana haki sawa Kama Watanzania wengine. “Wamasai wa Ngorongoro ni Watanzania na wana HAKI sawa kama Watanzania wengine...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inadaiwa kuchukua pesa za Waafghanistan ikitetea haki duniani

    Rais Joe Biden wa Marekani hivi majuzi alitia saini amri ya rais kuhusu fedha ya Benki Kuu ya Afghanistan iliyozuiliwa nchini Marekani, na kutangaza kuwa fedha hizo, dola bilioni 7 za Kimarekani zitagawanywa katika sehemu mbili: nusu itatumika kuwalipa fidia wahasiriwa wa tukio la Septemba 11...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…