haki

  1. M

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka achangiwa mil 73 ili kupigania haki ya binti aliyebakwa na Maafande

    Hatua ya baadhi ya wananchi kujitokeza na kumchangia mamilioni ya Shilingi Wakili maarufu, Peter Madeleka kwa ajili ya kuendelea na kesi ya anayetajwa ‘afande’ jijini Dodoma, imeelezwa kuwa inaonyesha kiu ya haki ilivyo kubwa miongoni mwa wananchi. Shauri hilo la malalamiko namba 23627 dhidi ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Mhe.Rais akiamua na yeye kwenda Mahakamani kudai haki yake ya kubaguliwa na Mbowe na Lissu kwenye majukwaa ya siasa c itakuwa balaa

    Wewe Mbowe umembagua sana Rais wetu, umemuita yeye ni mzanzibar na kashfa kibao za kisiasa dhidi ya Rais. Mhe Rais amebaki na 4R tu, mmemtibua sana kwenye majukwaa kwa kauli zenu za kibaguzi, kama ningekuwa mm hakyamungu ningewaongoza kama Niccolo Machiaevell vile. Rais ni kiongozi wa nchi lkn...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Interview za afya na haki

    Kwanza niipongeze wizara husika Kwa hatua iliyochukuliwa ya kuwafanyisha usaili ..maana italeta haki Kwa watoto wasiokuwa na watu au connection za kuwaingiza kwenye system Yani ufaulu wako ndo utakaokusaidia
  4. JamiiForums Tanzania China ndio ya kwanza duniani kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na ndio marafiki wakubwa wa CCM. Unatarajia nini kutoka CCM?

    Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili. Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa! China inasifika...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtu kama huyu anawezaje kusimamia uchaguzi CHADEMA wakapata haki yao?

    Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki? Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Azam tv haiwatendei haki wateja wake kwa kupandisha vifurushi vyake bei kubwa Mno

    Azam tv kwema, Hamtutendei haki watumiaji wa visimbuzi vya antena tunalipa gharama sawa na watumiaji wa dish lkn channel za antena nichache embu ziongezeni na pia hamtutendei haki wateja wenu kwa kuongeza gharama za vifurushi vyenu tunaomba mfanyie kazi maoni ya wateja wenu mfano startime ligi...
  7. JamiiForums Tanzania Ukatili wa Mtandaoni dhidi ya Wanawake ni Tishio kwa Usalama na Haki zao

    Wanawake wanakabiliwa na aina mbalimbali za ukatili mtandaoni, ikiwemo: Kudhihakiwa na Kudhalilishwa; Maneno ya kejeli na matusi yanayolenga kudunisha utu wa mwanamke. Kutishwa na Kutishwa kwa Maisha:** Vitisho vya moja kwa moja dhidi ya maisha na usalama wa mwanamke. Kuvujishwa kwa Taarifa...
  8. JamiiForums Tanzania Haki ya mtu

    Elewa tu sisi wengine hatuna maisha mazuri ila mioyo yetu ipo tayali kukosa kuliko kuzulumu haki ya mtu.
  9. JamiiForums Tanzania Ulishawahi fanya interview ukaona kabisa hutoboi?

    Wakuu niaje.... Ni mimi hapa kijana wenu Trojan, leo nimeona nishare na nyie kuhusu interview hasa oral. Ofcourse nimefanya oral interview nyingi sana ila kuna zingine niliboronga kabisa. Kuna wakati uoga unakuingia from no where, kuna wakati maswali ni magumu mno nk. Je ushawahi fanya...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Makada wa CCM waondolewe kwenye vyombo vya kutoa haki

    Inasikitisha unapo ona vyombo vya kutoa haki vinacheza na maisha ya Watanzania kwa sababu za maamuzi ya makada. Hii kesi ya Soka na wenzake ni mfano ambao una onyesha jinsi haki zinavyozidi kupindishwa kwa maslahi ya kundi fulani Hivi ni kweli Jaji anaweza kusema hakuna ushahidi wa kwamba hawa...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtangazaji wa ITV na Tundu Lissu hakika mmetutendea haki sisi watanzania kwenye kipindi cha dakika 45

    Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja bila kukwepa, kuzunguka mbuyu au kulipua lipua. Hakika ulikuwa mjadala mzuri wenye kusisimua na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tunatakiwa kusimama kwenye maandiko ya dini ili kutenda haki kwa kila mtu

    HATUWEZI KUHUBIRI HAKI NA USAWA HUKU TUKIWA WENYEWE HATUFANYI HAKI NA USAWA WENYEWE TUKILAZIMISHA MUONEKANO TUSIO NAO TUTAKUWA WANAFIKI Nilisikika katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni nikitoa somo ili kubadilisha mentality za Uchawa na upigaji. Nikaanza Mwenyezi Mungu ametupatia Akili ili...
  13. JamiiForums Tanzania Tume ya haki jinai waliomo hawajui majukumu yao.

    Juzi nilimsikiliza mwenyekiti wa tume ya haki jinai akijibu mapigo baada ya tume hiyo kulalamikiwa, pamoja na kumsikiliza mpaka mwisho alichokuwa anakisoma kwa kubabaika, hakuna mahali alisoma mafafanikio waliyoyapata zaidi ya kutujulisha majukumu ya tume! Hii inamaana wako ofisini wanekaa...
  14. JamiiForums Tanzania Ngorongoro ni haki ya wamaasai, serikali msijitoe akili.

    Wamasai ni watu! Wamasai ni watanzania, wamasai ni waafrika na wamasai ni ndugu zetu! Nilipokuwa mdogo miaka ya 80 nilipata bahati kubwa ya kuzunguka na mzee haswa nyakati za likizo tukitembelea maeneo mbali, nilipata uzoefu wa kuona Maisha ya watanzania wenzangu, na hii ilinifanya kujifunza...
  15. JamiiForums Tanzania Makonda: Moja ya sifa niliyonayo ni kusimamia haki na ukweli, sitashiriki kukandamiza haki ya mtu

    Pia soma: Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi walekea ziarani Ngorongoro Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesisitiza kuwa hatashiriki kukandamiza haki ya mtu mahala popote pale atakapokuwa, huku akikumbusha kuwa nafasi wanazopata viongozi ni upendeleo wa Mungu. Pia soma: Rais Samia Aagiza...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kuna kelele nyingi za haki sawa kwenye kugawana majukumu ya Mwanamke, kwanini majukumu ya Mwanaume yapo vile vile hayapewi usawa ?

    Kwa tuliobahatika kuoa wanawake wanaojua majukumu yao ya asili tunasema asante ila tunasikitika kwa wanaume wenzetu waliooa wanawake pro haki sawa, tunahofia pia watoto wetu kusombwa na hili gharika. Wanawake wa kisasa wengi wameona majukumu yafuatayo wasaidiane na waume zao Kufua nguo - Kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Kipaumbele cha sasa na muhimu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ni Simba na Yanga na kamwe si Ustawi wa Watanzania, Haki na Amani yao

    "Najua wadhamini au washika vilabu vile wanafanya jitihada kubwa sana, lakini pamoja nao nimeongea na wadau wawekezaji wetu wakubwa hapa, mmoja nimempa Yanga mmoja nimempa Simba awasaidie, kwahiyo litakapokamilika tutaitana vilabu tuambizane" - Rais @SuluhuSamia akizungumza katika uwekaji wa...
  18. JamiiForums Tanzania Ukikaidi amri halali, kupigwa ni haki yako

    Nawasihi sana ndugu zetu huko bara. Tuelekee Msomera Kwa furaha maana mkizidi kukaidi. Haki mnayodai ni kupigwa tu. Hamna haki zaidi ya hiyo. Asanteni
  19. JamiiForums Tanzania Chombo Huru kichunguze tukio la Binti kubakwa na kulawitiwa, Kauli za Polisi zinatia shaka kupatikana Haki yake

    Kwa takriban mwezi sasa Polisi bado wanahangaika na uchunguzi wa tukio la Binti aliyeonekana katika Video akifanyiwa vitendo vya Ukatili na Wanaume Watano na bado kumekuwa na kauli za kutia shaka kuhusu haki ya huyo binti. Baadhi ya Askari wamekuwa wakitoa kauli zinazoonesha wazi kumkandamiza...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Yanayoendelea Jeshi la Polisi, “Tume ya Haki Jinai” Ilikuwa ni Matumizi Mabaya ya Fedha Zetu

    Ni wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya Mh Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande hivyo wananchi tungetamani kuona matokeo chanya ya utekelezaji. Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa na Wilaya na Taasisi zote zinapaswa kuzingatia maelekezo ya Rais ambaye ni Mkuu wa Nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…