Viongozi watokanao na rushwa hutegemea nguvu ya fedha — haijalishi fedha ni za haramu au za halali.
Nakumbuka Aprili 2019, Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakati huo akiwa Makamu wa Rais, alisema:
Katiba yetu ya CCM ya mwaka 1977, Ibara ya 5(4), inataka tuwaenzi waasisi wa taifa...
Imekuwa ni kawaida kwa walinzi kuwalazimisha wanafunzi kuvua kofia za cap wanapoingia library au sehemu za maofisi, huu ni unyanyasaji dhahiri kwa watanzania ambao wanatumia uhuru wao wa kuvaa kunyimwa haki ya kutumia maeneo muhimu ya kujifunza na kujifunzia. Sababu ya msingi kwanini wanazuiliwa...
Ni jambo la aibu kubwa kwa viongozi wa Serikali na CCM kusimama hadharani na kusema uongo kuwa Chadema inataka kuleta machafuko au vita nchini.
Kinachopiganiwa na CHADEMA ni Uchaguzi wa Haki na Huru na Serikali ilishakiri kuwa ni mabadiliko ya msingi ila muda hautoshi! Sasa muda utatosha lini...
Mbunge wa Mbogwe Nicodemus Maganga amebainisha kuwa watumishi wa serikali wanatakiwa kufanya kazi kulingana na matakwa ya kazi zao ili kutowaingiza wabunge katika wakati mgumu .
Amesema kumekuwa na watumishi wasio tenda haki na wajibu wao kutokana na utekelezaji kufanyika kwa asilimia 50 huku...
Katika siasa za Afrika, kuna tofauti kubwa kati ya majeshi ya baadhi ya nchi. Wengine hujiona kama watumishi wa dola, wengine kama watumishi wa watawala, na wachache kama wakombozi wa kweli. Nimekuwa nikifuatilia mifano mbalimbali, na hii ndiyo taswira niliyoona:
1. Madikteta wengi huweka watu...
Akili ni nywele kusema sio kutenda na uoga ni adui mkubwa...kila mara ukiwaambia makamanda jambo la kimahakama watakwambia mahakama zetu hazifuati sheria maagizo yanatoka juu bora tukinukishe...leo hii badala ya kukinukisha kumchomoa mwenyekiti waliye muingiza chaka kwa kumdanganya tupo pamoja...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, amezindua Mahabusu ya Watoto Mkoani Mtwara, na kueleza kwamba dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kulinda haki za watoto na kuimarisha mfumo wa haki jinai...
Katika kila kona ya nchi yetu—kutoka mijini hadi vijijini, kutoka kwa masikini hadi matajiri—Watanzania tumekuwa tukilalamika, tukilia kimya kimya, tukibeba maumivu ya mfumo kandamizi usiowajali wananchi. Mfumo huu hauwaheshimu wapiga kura, hauzingatii Katiba, na huwahukumu wanaodai mabadiliko...
Kitendo cha Chadema kukataa kushiriki kusaini kanuni za maadili uchaguzi 2025 ni ishara njema.
Hii ni ishara kubwa kuwa hii sio Chadema ya waganga njaa ambo wapo kwa ajili ya matumbo yao.
Kama viongozi waandamizi wa CCM kama Diallo , Nape na yule Disii aliyetimuliwa walitamka wazi kuwa CCM...
Dikteta ucharwa msimamo wake wa kutaka kuzuia uchaguzi unapelekea kuwanyima haki au kuzia haki ya wapenda haki katika kushiriki katika zoezi zima la uchaguzi dikteta uchwara..ameweka msimamo huo kwa kuwatisha wasaidizi wake wote hata mteule wake katibu mkuu mnyika ametishwa jana asishiriki kikao...
https://www.youtube.com/live/vLdO-z31bOY?si=DxKCHlFGEDmG6wWD
In brief:
➡NO REFORMS, NO ELECTION is there na CHADEMA is a proper channel to carry it forward...
➡Katika chaguzi za 2015 kurudi nyuma tuliweza kugombea na kushinda kwa sababu ingalau kulikuwa na competition japo mazingira yalikuwa...
Tofauti na hapo mtaendelea kutukana/ kutukanana hapa JF na mitandao yote ya kijamii .
Narudia tena, siku wa Tanzania wakiamua kusimamia haki ndio siku mapinduzi yatapatikana.
Tofauti na hapo, CCM itashinda sana na kuna la kufanya
Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki.
Yule...
Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini.
Kama ambavyo...
binadamu
elections
hakihaki za binadamu
iendane
kampeni
mataifa
no reform
no reform no elections
tanzania
ukiukwaji
ukiukwaji wa haki
vikwazo
viongozi
viongozi wa tanzania
wapinzani
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amempongeza Naibu Waziri wake, Dkt. Godwin Mollel na kueleza kuwa anaitendea haki nafasi yake hiyo na amekuwa msaada mkubwa kwake.
Amesema hayo Aprili 8, 2025 ambapo amekabidhi zawadi kwa mikoa, wilaya, vijiji na shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu katika...
Wakuu
Je, Mbowe yupo nyuma ya yanayoendelea kati ya wagombea na watiania wa ubunge 55 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa 2020 na 2025 maarufu G55 wanaowakilisha zaidi ya watiania 200, wakiwemo viongozi wa juu wa chama hicho dhidi ya uongozi wa sasa chini ya mwenyekiti wao Tundu...
Habari wakuu
Watu wengi wameandika kuhusu ajenda ya Chadema ya kutaka uwepo wa mabadiliko katika taratibu na sheria zinazosimamia chaguzi zetu kabla ya uchaguzi mkuu ujao.
Wengine wanaunga mkono ajenda ya Chadema,na wengine wanaunga mkono lakini wakisema hakuna muda wa kutosha kati ya sasa na...
Katika kipindi muhimu cha ufufuaji wa uchumi wa dunia, Marekani imetumia tena rungu la ushuru, ikiamua kutoza ushuru ambao inauita "sambamba" kwa washirika wake wote wa biashara duniani, ambapo ushuru wa bidhaa kutoka China utafika hadi 34%. Ikikabiliana na hatua hii ya kimabavu ya wazi, China...
Ikitokea umeagiza chakula hotelini au mgahawani halafu wakati ukiwa unakula hiko chakula ukakutana na nzi, mende au nywele kwenye hicho chakula ukikataa kulipia utakuwa sahihi?