haki

  1. JamiiForums Tanzania Ukimya wa Zito Zuberi Kabwe kwa ukandamizaji wa haki unaoendelea inasikitisha na kufikirisha

    Huyo mweshimiwa mtajwa hapo juu alikua so vocal kupinga utekaji ,ukandamizaji democrasia wakati wa utawala wa rais Magufuli na yuko kimya sana bila ukosoaji wa yanayo endelea sasa Tanzania. Alisikika mara moja Kijana wake Nondo alipotekwa ,kuteswa , lakini yupo kimyya kabla na baada ya hapo...
  2. JamiiForums Tanzania Heshimuni Haki ya kusikilizwa kabla ya kuadhibu Art. 13(6)(a) Katiba

    Kuna matukio mengi tangu mwaka 2015 through 2020 hadi sasa ya wateuliwa wa serikali wanaolipwa mishahara ya kodi zetu, wanapotoa maamuzi yanayoathiri hatima ya mtu au kikundi, wanasahau kuwa lazima wazingatie haki ya kusikilizwa ambayo ipo kwenye Ibara ya 13(6)(a) ya Katiba ya nchi yetu. Ibara...
  3. JamiiForums Tanzania Barua Wazi ya Mwanafunzi kwa Walimu Wake Wawili. 1 ni kwa Dean wake, na 2. TA wa Kipindi chake c Kwanza. Please Watendeni Watanzania Haki Hii!.

    Wanabodi N.B:Wakati bandiko hili linaandikwa kumbe tayari CJ。Prof. Ibrahim Juma ameisha staafu rasmi na Jaji Mkuu mpya ameisha teuliwa, hivyo hoja ya CJ Prof. Ibrahim Juma is by passed by events! 1. Utangulizi Binadamu hatufanani, kuna watu ni wenye bahati, very fortunate, wengine wako kama...
  4. JamiiForums Tanzania Wenda ndo yeye ameandaliwa kutuongoza Ana ufanano na aliyetangulia mbele ya haki Ila huyu anafuata sheria

    Yawezekana ni yeye wa awamu ya 7, 1. Hapendi Rushwa 2. Hana pupa ya madaraka kwanza misingi ifuatwe 3. Anafuata sheria 4. Hana Kona kona 5. Niliwai sema sehemu kwamba yawezekana mbowe uoga wake kuachia uenyekiti kuna madudu mengi anaogopa yasijulikane, Mfano ya kule shambani hai, kimya kimya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hamuwatendei haki wasanii wanaoiunga mkono CCM kwa kuwalaumu

    Hawa ni watu ambao wengi wao wametoka familia duni kiuchumi na kielimu lakini kwa uweza wa Mungu wakainuliwa kupitia vipaji vyao. Ukiondoa vipaji walivyo navyo karibu wasanii wote hawana taaluma yoyote ya kuweza kuingiza kipato. Wanajipatia riziki kupitia vipaji. KUWALAUMU NA KUWASHAMBULIA KWA...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Shura ya Maimamu wa Tanzania yatoa waraka mzito-Yalaani matendo ya utekaji na mauaji nchini na kutaka haki katika chaguzi nchini

    HAYA NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA WARAKA WA SHURA YA MAIMAMU , WARAKA MZIMA UPO KATIKA ATTACHMENT SHURA YA MAIMAMU TANZANIA S.L.B.2055 DAR ES SALAAM. 0748410746 WARAKA WA IDD ADH-HAA DHULHIJJA 10, 1446 = JUNI 07, 2025 PITIO LA HALI YA MAISHA TANZANIA 2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025...
  7. JamiiForums Tanzania Kiapo sio sababu ya kufanya dhulma na Uhalifu. MTU asitumie kiapo kama fimbo ya kukugeuza wewe ufanye ushetani

    KIAPO SIO SABABU YA KUFANYA DHULMA NA UHALIFU. MTU ASITUMIE KIAPO KAMA FIMBO YA KUKUGEUZA WEWE UFANYE USHETANI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unapoapa apa kiapo cha kutetea Haki. Kupinga dhulma. Kama ni kulinda nchi utaapa kuilinda kwa Haki. Kama ni kumlinda Kiongozi utaapa kumlinda kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wakili: Akina nyundo wanaona hawajatendewa haki ndio maana wamekata rufaa

    Wakili Meshack Ngamando, anayewatetea warufani wanne waliohukumiwa kifungo cha maisha jela, amefafanua kuwa rufaa yao inayoendelea katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma haitajumuisha ushahidi mpya. Badala yake, Ngamando amesema wao kama mawakili watetezi watajikita katika kueleza mapungufu...
  9. JamiiForums Tanzania Askofu Musomba: Hatuwezi kuhubiri injili pale ambapo haki haitendeki, Tutahubiri habari njema ambapo haki inatendeka

    "Tutahubiri habari njema ambapo haki inatendeka." Mhashamu Stephano Lameck Musomba, Askofu wa Jimbo Katoliki Bagamoyo.
  10. JamiiForums Tanzania Mchungaji Abiud Misholi: Enyi watawala unaiba matrilioni ya fedha na masikini wanaangamia hamtakufa nazo, utakufa na nguo zako Mungu anataka haki

    "Mali mnazoziiba leo mtazifaidia kwa muda mchache, enyi watawala hamtakufa nazo, utakufa na nguo zako, huna adabu utahukumiwa. Mnatesa mayatima, mnatesa wajane, mtaibia wanyonge, Mungu anataka heshima, Mungu anataka haki. Naongea na viongozi mnisikilize viongozi wa nchi, mlio wezi mnisikilize...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 'No reform, no elections' ni sawa na kelele za chura kwenye maji ambazo hazimzuii mwenye kiu kunywa maji kwa uhuru, amani na uwazi

    Makelele na mayowe ya mitandaoni yaliyopambwa na dhana potofu ya no reform no elections, hayana faida wala athari zozote kwenye uhuru na haki za wananchi kukamilisha maandalizi ya mwisho ya kujiandikisha kupiga kura na hatimae kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi mkuu wa kihistoria...
  12. JamiiForums Tanzania Wanapinga “No Reform, No Election” kwa sababu mabadiliko ya kweli yanaondoa mazingira wanayoyadhibiti, yanafungua uwanja wa ushindani wa haki

    Kauli ya “No Reform, No Election” ni tamko linalodai uchaguzi usifanyike bila kwanza kufanyika kwa mabadiliko ya msingi ya mfumo wa uchaguzi. Wakati makundi ya upinzani au wanaharakati wanapotoa kauli hiyo, mara nyingi huwa na hoja kwamba mazingira ya sasa ya uchaguzi hayatoi usawa, haki, wala...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna CHADEMA mwenye ubavu wa kumzuia Kigaila wa CHAUMMA au Shekhe Ponda wa ACT kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba ya kupiga kura Oct 2025

    Ni muhimu sana kuepuka kudanganyana na kupotoshana ndugu zangu wadau eti hapata kua na uchaguzi October. kweli ni kwamba hayupo kibaka wala tapeli yeyote wa kisiasa nchini mwenye uthubutu wa kumzuia mwananchi yeyote huru kushiriki kikamilifu katika kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba kupiga...
  14. JamiiForums Tanzania Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima kusanyikeni mdai haki yenu ya kuabudu

    Kulifunga kanisa la Ufufuo na Uzima na kunyima maelfu ya waumini wa Kanisa hilo uhuru wa kikatiba wa kuabudu siyo jambo dogo linalotakiwa kuchukuliwa kwa wepesi. Ningeshauri Waumini wa kanisa hili na Watanzania wengine wote wa imani zote na madhehebu yote wanaoamini katika utawala wa sheria na...
  15. JamiiForums Tanzania HAKI ni Mama wa AMANI

    Viongozi wa dini mnao hamasisha Amani Mnashindwa nini kuhamasisha Haki. Haki ikitawala mambo Mengine yote yatafuata ikiwepo hiyo amani mnayoihamasisha. Kiongozi wa dini unaanzaje kuiona amani ukaicha haki. Siwaoni mkiichambua haki mnakimbilia kwenye amani tu. Kwani Amani chanzo chake ni nini...
  16. JamiiForums Tanzania Leo Rais Samia yupo msikitini akitumia haki yake ya kuabudu, ila kuna watu wamenyimwa haki ya kuabudu

    Inaskitisha sana, Rais wetu leo anatumia haki yake ya kikatiba ya kuabudu, yupo msikitini katika maadhimisho ya EID, Lakini kuna watu zaidi ya elfu 20 ambao wamewanyimwa haki hiyo ya kikatiba ya kumwabudu Mungu kwa kufungiwa kanisa. pengine najiuliza, au ilionekana kinachoendelea kule ni...
  17. JamiiForums Tanzania Onyo: serikali heshimu haki ya kuabudu ya raia wako

    Chezea vitu vyooote, ila usichezee haki ya kikatiba ya kuabudu. kama padre mmoja amefanya kosa, ashughulikiwe yeye, lisishughulikiwe katholic lote na makanisa yake nchi nzima, kama TAG au lutheran kuna mchungaji au hata mkuu wao amekosea, mshughulikieni yeye, waumini wake hawana kosa kwa sababu...
  18. JamiiForums Tanzania Operesheni Unfollow Wasanii wote Mitandaoni ambao hawasimami na Wananchi kwenye Haki

    Nchi nyingine, watu maarufu na Mastaa usimama na Wannchi linapokuja swala au jambo la maslahi ya wananchi kwa ujumla. Huko South Africa, Nigeria hata hapo kwa majirani zetu Kenya wasanii wengi husimama na raia na mara zote wamekuwa mstari wa mbele kuwapigania au kuwazungumzia wananchi endapo...
  19. JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Sheria ni kinga ya Haki za Binadamu, si chombo vya kutesa Wananchi

    Akizungumza mara baada ya kutangazwa rasmi kuwa mwanachama wa Chama cha ACT Wazalendo Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amesema kwamba amejiunga na Chama hicho kwa lengo la kuongeza wigo wa maeneo ambayo anaweza kupigania haki na utawala wa Sheria hususani Katiba Mpya...
  20. JamiiForums Tanzania Ukristo ni siasa ya kimwili na kiroho; Ukristo ni umoja; Kama Kristo na Mungu walivyo wamoja. Umoja katika Haki ya Mungu

    Hamjambo! Falsafa ya Yesu ni Mungu katika Ukristo haipo katika personality na ID. Wakristo huamini Yesu ni Mungu sio kwa sababu Mungu ni Mtu au alizaliwa na binadamu. Uungu wa Kristo ni umoja wao katika baadhi ya Majukumu na utendaji. Kwa wasioelewa, nitawapa Mfano rahisi, Mwanamke na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…