Kila mtu ana haki ya faragha akiwa Mtandaoni. Hii inajumuisha uhuru wa kutofuatiliwa, haki ya kutumia msimbo (encryption), na haki ya kutokujitambulisha kwa majina halisi.
Kulindwa kwa haki hizi siyo tu huongeza uhuru wa kujieleza bali huongeza ushiriki wa watu katika kupasa sauti zao wawapo...