gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Mama Dorothy Gwajima: Tunu ya Utumishi wa Umma na Mlezi wa Jamii

    Ni saa mbili asubuhi jijini Dodoma. Simu ya mezani ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, inaita mara mbili mfululizo. Ni taarifa kutoka kwa wananchi zinaoeleza kuhusu mzozo wa kifamilia uliosababisha taharuki katika moja ya mtaa ya jijini...
  2. Watanzania wanasubiri Polepole na Gwajima wawakomboe

    Mimi baada ya kuona wajinga ni wengi sana wamejaa kwenye kapu nikaamua kutoka nje ya kapu. Nilikuwa najua Watanzania wengi ni wajinga lakini sikujua kuwa ni wengi kwa kiasi hichi. Kitendo cha Watanzania wapenda mabadiliko kuanza kuwategea sikio la matumaini Gwajima na Polepole kilitosha kujua...
  3. Huenda Bishop Gwajima kafilisika

    Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao. Kumbuka mapato ya bishop...
  4. Gwajima na Polepole, Chadema kesho CCM wanaanza kampeni rasmi

    Wanaukumbi. Gwajima na Polepole ni project ya mtu mmoja na script writter ni mtu mmoja ndiyo maana hawaishi kurudia rudia kuongea vitu vilevile kila siku kwa kuwa hawana ajenda ya kusema na kuongea. Siku 10 zilizopita alisema atarudi na kuongea mambo mazito sana na watu hawataamini. Hivi...
  5. Polepole, hadithi ya shetani anayejibadili kuwa Malaika ilipomfalia kufanya hivyo

    Umewahi kujiuliza kama iwapo matakwa ya ndugu Humphrey Polepole yangetekelezwa angesema anayoyasema sasa mitandaoni kupambana na Rais Samia? Siamini hilo. Haijalishi kama ni kweli au ya uongo, nina hakika tusingeyajua yote haya nina hakika maana asingekuwa na haja ya kulipa kisasi. Falsafa ya...
  6. SI KWELI PreGE2025 Jambo TV wamechapisha taarifa kuwa John Heche amesema Gwajima Lengo lake ni urais kupitia CHADEMA

  7. Gwajima alishindwa Kawe wakakatwa 3 akateuliwa yeye, CCM ikapata kura

    Nimejiridhisha kuwa Gwajima hana kumbukumbu au anatumika vibaya. Siamini kama Gwajima hajui namna yeye alivyoteuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea ubunge wa Kawe. kama amesahau kuwa kwenye uchaguzi wa 2020 yeye alikuwa mtu wa 4 kwenye kura za wajumbe jimboni, kisha wakakatwa wagombea 3...
  8. L

    Haya ndio majibu yangu mazito na yenye hoja nzito kujibu hotuba ya Askofu Gwajima iliyotolewa Agosti 25, 2025 Usiku

    Ndugu zangu Watanzania, Askofu Gwajima jana usiku alikuja na anachokiita hotuba yake, baada ya kupita siku kumi alizopiga mkwara mbuzi wa kusema eti makanisa yake yafunguliwe haraka sana. Na kwamba yasipofunguliwa atakuja kuongea jambo zito sana. Sasa jana, baada ya makanisa yake kuendelea...
  9. Ukimsililiza Gwajima na Polepole unaona kuwa hawa jamaa unaweza ukashindwa kuwaelewa

    Ukisoma kitabu cha Mkapa My life my purpose . Ameelezea mambo mengi Ila kubwa kuliko kazungumzia , Kuhusu tume ya huru ya uchaguzi. Na akasema Kama angeweza kurudisha miaka Nyuma angehakikisha anaweka tume huru ya uchaguzi. Na anakubali Kuwa mwaka 2000 alichota kiasi kadhaa cha pesa...
  10. Gwajima hii vita uliyoanzisha siyo ya mikuki na mishale, tumia AK47, vinginevyo anayepoteza ni wewe

    Wana JF Mimi sijaelewa Gwajima kwanyea au nini? Kwa kweli sitaki kuwachosha ila nimeumia Sana, tension yote Ile ya Moshi kuzuka ni Kwa ajiri ya kumpongeza Polepole Tu. Tumia Siri zote ulizonazo , unazozijua. Acha mizaha taifa linachezewa. usitegemee serikali iachiwe Kwa porojo. Acha mizaha...
  11. Askofu Gwajima: Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida

    Akizungumza leo Agosti 25,2025 kwa njia ya mtandao mbunge wa zamani wa Kawe Askofu Josephat Gwajima Amesema, Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida. Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
  12. U

    Gwajima: Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari, Mungu ataingilia kati ili awatetea watu wake

    Gwajima ameongea mambo mazito mno, na nashindwa kuendelea kuandika, kwani amesema Mungu ataingialia kati Waminya haki, siku si nyingi, Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari mbele kwa sababu Mungu ataiingilia kati, atajua afanye nini, ili haki itawale
  13. SI KWELI PreGE2025 Gwajima amehamia NCCR Mageuzi na Mwabukusi ameamua kumuunga mkono mgombea Urais wa CHAUMMA

  14. M

    Dkt. Gwajima na Joyce Ndalichako wamchanganya raia. Apewa za uso papo hapo

    Huyu jamaa ukute alifeli form 4 (DIVISHENI FOO ). Na ni haki yake kabisa kufeli. Uzi tayari The Mongolian Savage BICHWA KOMWE - Maghayo Ghayo TheMongo Barbarian litutumbwe Mufti kuku The Infinity
  15. R

    Makala mnamuonea tu, hoja za Polepole na Gwajima hazijibiki, zinataka system overhaul

    Salaam! Unaanzaje kumjibu Pole Pole anayeongea Pole Pole kwa tahadhari na kwa kutumia lugha rahisi ya kidiplomasia namna Ile? Gwajima unaanzaje kumjibu, maana alichoongea Kiko wazi na ametoa ushauri mzuri kabisa kwa tahadhari kubwa. Sasa kuliko kuwajibu ukajikuta unatoka nje ya mstari na...
  16. R

    Samia apewe Tuzo kwa ukimya dhidi ya Polepole na Gwajima

    Wakuu habari, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Suluhu Hassan anastahili kupewa tuzo ya Rais mkimya na mwenye kiburi, asiyejali maoni na vuguvugu ya wananchi kuhusu usalama wa Taifa na uovu wa wanasiasa. Ni muda sasa tangu Polepole na Gwajima waibuke wakielezea mifumo mibovu ya...
  17. Sisi ni simba wa Yuda: Makanisa yanakubalije kanisa la Gwajima kufungiwa wao wakiwepo? Ule upendo wa Kristo unaohubiriwa umeishia wapi?

    Mughonile! Roman Catholic, Lutheran, Anglicana, Wasabato, Walokole na Wakristo wengine. Mnakubalije Ukristo kufanywa Kama nyumbu wakati sisi ni simba wa Yuda. Kanisa la wenzetu limefungiwa kisa kosa la mtu mmoja ambalo sio kosa kwani alikuwa anahubiri injili ya kukemea maovu ya watekaji. Padri...
  18. Gwajima tunakuomba Using'ate maneno ile siku ni Leo hebu sema lile neno pole pole ameanza wewe Maliza!!

    Sisi tunazidi kuchochea kuni.. Tunataka waendelee kukaza fuvu zao hivi hivi ili Mapigo yawashukie kama kipindi cha agano la kale! Mwenzako H.P kakataa wahuni na Kamwaga unga na mboga vyote.. Haya ni zamu yako sasa.. Sisi tumeandaa bando na VPN tayari.. Nireteeeni Gwajmaaaa
  19. Mpaka sasa Siku kumi zimepita, Yuko wapi Gwajima jasusi la mbinguni?

    Katika mkutano wake wa mwisho , Askofu Gwajima jasusi la mbinguni aliahidi kutamka neno zito sana ndani ya Siku 10 ambazo zimefikia tamati Leo.Hii ni ikiwa makanisa ya ufufuo na uzima hayatofunguliwa.jambo amabalo bado halijatekelezwa. Lakini mpaka sasa bado Jasusi Yuko kimya na hajulikani...
  20. U

    Wakristo wenzangu kwa shida walizonazo waumini wa Gwajima na misaada waliopewa kuanzia leo nimeacha kuwasemea vibaya wakatoliki nitawaheshimu

    Wakristo wenzangu Kukiwa na shida kubwakubwa mkombozi wetu ni Kanisa Katoliki hivyo tuache midomo midomo tuanze kuwaheshimu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…