greenland

Greenland (Greenlandic: Kalaallit Nunaat, pronounced [kalaːɬːit nʉnaːt]; Danish: Grønland, pronounced [ˈkʁɶnˌlænˀ]) is an autonomous territory of the Kingdom of Denmark. It is the larger of two autonomous territories within the Kingdom, the other being the Faroe Islands; the citizens of both territories are full citizens of Denmark. As Greenland is one of the Overseas Countries and Territories of the European Union, citizens of Greenland are European Union citizens. The capital and largest city of Greenland is Nuuk. Greenland lies between the Arctic and Atlantic oceans, east of the Canadian Arctic Archipelago. It is the world's largest island, and is the location of the northernmost point of land in the world – Kaffeklubben Island off the northern coast is the world's northernmost undisputed point of land, and Cape Morris Jesup on the mainland was thought to be so until the 1960s.
Though a part of the continent of North America, Greenland has been politically and culturally associated with Europe (specifically Norway and Denmark, the colonial powers) for more than a millennium, beginning in 986. Greenland has been inhabited at intervals over at least the last 4,500 years by circumpolar peoples whose forebears migrated there from what is now Canada. Norsemen settled the uninhabited southern part of Greenland beginning in the 10th century (having previously settled Iceland), and the 13th century saw the arrival of Inuit.
In the early 17th century, Dano-Norwegian explorers reached Greenland again. When Denmark and Norway separated in 1814, Greenland was transferred to the Danish crown, and was fully integrated in the Danish state in 1953 under the Constitution of Denmark, which made the people in Greenland citizens of Denmark. In the 1979 Greenlandic home rule referendum, Denmark granted home rule to Greenland; in the 2008 Greenlandic self-government referendum, Greenlanders voted for the Self-Government Act, which transferred more power from the Danish government to the local Naalakkersuisut (Greenlandic government). Under this structure, Greenland gradually assumed responsibility for a number of governmental services and areas of competence. The Danish government retains control of citizenship, monetary policy, and foreign affairs, including defence. Most residents of Greenland are Inuit. With the melting of the ice due to global warming, its abundance of mineral wealth and its strategic position between Europe, North America and the Arctic zone, Greenland is of interest to the great powers including China, Russia and the United States, with the latter having a military zone on the island (including Pituffik Space Base).
The population is concentrated mainly on the southwest coast, strongly influenced by climatic and geographical factors, and the rest of the island is sparsely populated. Three-quarters of Greenland is covered by the only permanent ice sheet outside Antarctica. With a population of 56,583 (2022), Greenland is the least densely populated region in the world. Sixty-seven percent of its electricity production comes from renewable energy, mostly from hydropower.

View More On Wikipedia.org
  1. 6 Pack

    Trump aipiga mkwara Greenland (Denmark) na NATO kuhusu vita ya Iran. Iran yasema safari hii itailinda NATO

    Niaje waungwana Raisi wa Marekani ndugu Donald Trump ameitishia NATO na EUROPE kwamba hivi punde wajiandae kukikabidhi kisiwa hicho katika mikono yake, kabla hawajakumbana na vifo vya kujitakia kutoka kwenye jeshi la Marekani. Hapo chini ni vitisho vya raisi Trump huku Iran ikiahidi kusimama...
  2. MakinikiA

    Trumpa na Greenland yake ,viongozi wa Ulaya kususia mashindano ya World cup yatakayofanyika Marekani.

    Baada ya Mataifa ya Ulaya kupigwa ushuru wa asilimia 10 kutokana na kumzuia bwana Trump kujitwalia kisiwa cha Greenland Mataifa yameungana na kuweka mipango kama Trump atajinyakulia kisiwa hicho basi na wao ,watasusia mashindano hayo ambayo yatafanyika nchini Marekani hapo july mwaka huu Hapa...
  3. R

    Hotuba ya Trump WEF: Sitatumia nguvu ya jeshi kuichukua Greenland

    Rais wa Marekani Donald Trump alitumia hotuba yake kwenye Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) 2026 huko Davos, Uswisi, kueleza misimamo yake kuhusu usalama wa dunia, biashara, nishati na siasa za kimataifa, huku akisisitiza tena sera yake ya “America First” katika muhula wake wa pili. Greenland na...
  4. Pulchra Animo

    Trump ties Greenland takeover bid to Nobel Prize in text to Norway leader!

    I think scientists need to study Trump’s brain. It appears to be anomalous! Trump ties Greenland takeover bid to Nobel Prize in text to Norway leader — The Washington Post
  5. MakinikiA

    Trump na Greenland yake

    Dunia inayumbishwa na mcheza mieleka,je umewahi kuangalia mieleka ile ya kina undertaker na wenzake,ile mikwara wanayopeana jukwaani hii ndio tabia na desturi aliyoirithi Trump kwa sababu yeye Trump amaewahi kuwa kwenye hiyo michezo. Sasa mtu huyu kwa sasa ni kiongozi wa taifa moja kubwa sana...
  6. ELI COHEN

    Trump ameahidi kila mwananchi aishie greenland bilioni 2.5 ili wakubali kuachia eneo hilo kuwa chini ya umiliki wa Marekani

    Greenland ina wananchi 57,000.
  7. MakinikiA

    Maisha ndani ya Greenland

    Maisha katika kisiwa cha Greenland ni kama kijijini ,wananchi hawana access ya huduma ya internet,hivi kweli kama hata internet hakuna wanaishi vipi hapo huenda hata kinachoendelea kuhusu wao kutwaliwa na Trump hawajui,wao maisha yao uvuvi tu..
  8. Fascinating

    Greenland Yapendekeza Mazungumzo ya Moja kwa Moja na Marekani Bila Denmark

    Hali ya kidiplomasia katika eneo la Arctic imezidi kupamba moto baada ya Greenland kupendekeza kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na Marekani kuhusu mustakabali wake. Hatua hii inakuja huku Washington ikiendelea kusisitiza nia yake ya kutaka kuidhibiti ardhi hiyo ambayo kwa sasa iko chini ya...
  9. R

    Denmark yaagiza wanajeshi wake kushambulia moja kwa moja bila kusubiri amri endapo Greenland itavamiwa na Marekani

    Wizara ya Ulinzi ya Denmark imesema wanajeshi wa nchi hiyo wana wajibu wa kufyatua risasi na kushambulia moja moja, hata bila kupata amri kutakuwa na jaribio lolote la kuivamia Greenland kwa nguvu. Kauli hiyo imetolewa wakati Marekani ikitajwa kufikiria hatua za kijeshi kuiteka au kuiunganisha...
  10. R

    Serikali ya Trump kuwalipa wakazi wa Greenland $100,000 ili kujitenga na Denmark na kujiunga na Marekani

    Kwa mujibu wa chombo cha habari cha kimataifa Reuters, Serikali ya Rais Donald Trump inadaiwa kufikiria kutoa malipo ya maelfu ya dola kwa kila mkazi wa Greenland kama sehemu ya mpango wa kuishawishi eneo hilo kujitenga na Denmark na kujiunga na Marekani. Maafisa wa Marekani wameripotiwa...
  11. Chizi Maarifa

    Umuhimu wa Greenland kwa USA, CHINA na RUSSIA. Mwaka huu tutegemee migogoro mingi mikubwa

    Lengo la Marekani (USA) kutaka kudhibiti au kuwa na ushawishi juu ya Greenland halimaanishi tu “kuitwaa ardhi”, bali linahusiana na maslahi makubwa ya kimkakati, kiusalama na kiuchumi. Kwa ufupi, sababu kuu ni hizi: 1. Usalama wa Kijeshi (Military & National Security) Greenland iko katikati ya...
  12. M

    Wamatumbi mtasubiri sana: Trump amesema anaenda Greenland

    Alishawaita shitholes kantre Kwahiyo msitegemee aje kuwafurahisha wanaharakati uchwara mnaombea ndoto za chooni. Kwa Trump, kama huna hela hana muda na wewe Muda sio mrefu Trump amaesema anaitaka Greenland Imebidi raisi wa Denmark ajitokeze kuomba poo Wanaharakati wa mitandaoni huku madongo...
  13. Yoda

    Turekebishe muungano wa Tanganyika na Zanzibar uwe kama wa Denmark na Greenland

    Muungano uliotengeneza nchi ya Tanzania ni muungano unaochanganya sana, hauleweki na pia wenye changamoto nyingi sana kwa pande zote mbili. Muungano wetu unaweza kurekebishwa kwa kuiga mfumo wa muungano uliopo kati ya Denmark and Greenland, ambapo Greenland ni sehemu ya nchi ya Denmark ikiwa na...
  14. S

    Kama Trump, kwa ubabe tu, anadai aichukue Greenland ya Denmark, anaweza kudai aichukue Zanzibar ya Tanzania. Hilo lazima litazamwe

    Hakuna wakati nime-appreciate uwezo wa kuona mbali wa Julius Nyerere kama wakati huu. Huko nyuma nchi kama USA na Russia waliomba waweke vituo vya kijeshi Tanzania na Nyerere alikataa katakata, sababu mojawapo akitambua kuwa katika sias nchi rafiki leo inaweza kuwa nchi adui kesho. Sasa fikiria...
  15. Yoda

    New World Order(NWO); Putin ashadadia Marekani chini ya utawala wa Trump kuitwaa Greenland!

    Haya mambo yaliyosahaulika kwa muda mrefu ya kutanua himaya za nchi kwa kuchukua maeneo ya nchi nyingine sasa yanashika kasi na yanazidi kuwa ya kawaida, inabidi na sisi tuangalie mmojawapo kati ya Rwanda, Malawi, Burundi tumchukue kabisa au mkoa au tuimege hata Congo kubwa jinga.
  16. U

    Ukweli ni kuwa kiulinzi kisiwa cha Greenland ni "mali" halisi ya kudumu ya taifa la Marekani kabla na baada ya vita kuu ya pili ya Dunia

    Wadau hamjamboni nyote Serikali ya Marekani ilishajimilikisha kisiwa cha Greenland kabla ya vita kuu ya dunia na kisha kumilikishwa rasmi kupitia mkataba wa kijeshi wa kijeshi wa mwaka 1951! Serikali ya Denmark inatoa tu kauli za kawaida lakini inatambua kuwa kisiwa hicho ni " Mali" ya...
  17. U

    Kisiwa cha Greenland kina ukubwa zaidi ya mara mbili ya ukubwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Takwimu sahihi kabisa Kisiwa cha Greenland kina ukubwa wa skwea kilometa milioni 2.175.600 Jamhuri ya muungano wa tanzania Ina ukubwa skwea kilometa laki 947,300 Usiku mwema
  18. U

    Marekani haijaanza leo kutamani kununua kisiwa cha Greenland, mwaka 1946 Marekani ilitoa dolla millioni 100 kwa Denmark ili kununua kisiwa hicho

    Wadau hamjamboni nyote? Mchakato uliongozwa na Waziri wa mambo ya nje James Byrnes. Marekani ilitoa ofa ya dola million 100 million Kwa Serikali ya Denmark ili kuinunua Greenland. Pia Marekani imewahi kutaka kukinunua kisiwa cha Greenland mara kadhaa katika miaka ya 1867, 1910, 1946, 2019 na...
  19. Ritz

    Umoja wa Ulaya umekasirika na "hautavumilia" kuchukuliwa Greenland na Marekani

    Wanaukumbi UST IN: 🇪🇺🇺🇲 European Union is angry and will "not tolerate" a takeover of Greenland by the United States: France warned Trump against threatening the bloc's "sovereign borders" — Telegraph =============== 🇪🇺🇺🇲 Umoja wa Ulaya umekasirika na "hautavumilia" unyakuzi wa Greenland na...
  20. Yoda

    Trump aanza kwa kutaka kunyakua Greenland na mfereji bahari wa Panama

    Rais mpya wa Marekani Donald Trump ameanza kipindi chake cha pili kwa mpango wa kutaka kunyakua Greenland ambalo ni eneo la nchi ya Denmark na mfereji wa Panama ambao ni eneo la nchi ya Panama. Aliwahi kugusia jambo la US kuinunua Greenland katika kipindi chake cha kwanza cha uongozi watu...
Back
Top Bottom