Tunatafuta Mbunifu wa Picha na Sanaa ya Mwendo kujiunga na timu yetu. Muhitaji anapaswa kuwa na ujuzi wa kudesign "mockups" kwa miradi mbalimbali, michoro ya 3D, michoro ya kawaida ya 2D, na kutengeneza picha zinazotembea za GIF kwa matumizi ya tovuti.
Majukumu:
1. Kuunda michoro ya 2D na 3D...