gps

The Global Positioning System (GPS), originally NAVSTAR GPS, is a satellite-based radionavigation system owned by the United States government and operated by the United States Space Force. It is one of the global navigation satellite systems (GNSS) that provides geolocation and time information to a GPS receiver anywhere on or near the Earth where there is an unobstructed line of sight to four or more GPS satellites. Obstacles such as mountains and buildings block the relatively weak GPS signals.
The GPS does not require the user to transmit any data, and it operates independently of any telephonic or internet reception, though these technologies can enhance the usefulness of the GPS positioning information. The GPS provides critical positioning capabilities to military, civil, and commercial users around the world. The United States government created the system, maintains it, and makes it freely accessible to anyone with a GPS receiver.The GPS project was started by the U.S. Department of Defense in 1973, with the first prototype spacecraft launched in 1978 and the full constellation of 24 satellites operational in 1993. Originally limited to use by the United States military, civilian use was allowed from the 1980s following an executive order from President Ronald Reagan. Advances in technology and new demands on the existing system have now led to efforts to modernize the GPS and implement the next generation of GPS Block IIIA satellites and Next Generation Operational Control System (OCX). Announcements from Vice President Al Gore and the White House in 1998 initiated these changes. In 2000, the U.S. Congress authorized the modernization effort, GPS III. During the 1990s, GPS quality was degraded by the United States government in a program called "Selective Availability"; this was discontinued in May 2000 by a law signed by President Bill Clinton.The GPS service is provided by the United States government, which can selectively deny access to the system, as happened to the Indian military in 1999 during the Kargil War, or degrade the service at any time. As a result, several countries have developed or are in the process of setting up other global or regional satellite navigation systems. The Russian Global Navigation Satellite System (GLONASS) was developed contemporaneously with GPS, but suffered from incomplete coverage of the globe until the mid-2000s. GLONASS can be added to GPS devices, making more satellites available and enabling positions to be fixed more quickly and accurately, to within two meters (6.6 ft). China's BeiDou Navigation Satellite System began global services in 2018, with full deployment scheduled for 2020. There are also the European Union Galileo positioning system, and India's NavIC. Japan's Quasi-Zenith Satellite System (QZSS) is a GNSS satellite-based augmentation system to enhance GNSS's accuracy in Asia-Oceania, with satellite navigation independent of GPS scheduled for 2023.When selective availability was lifted in 2000, GPS had about a five-meter (16 ft) accuracy. The latest stage of accuracy enhancement uses the L5 band and is now fully deployed. GPS receivers released in 2018 that use the L5 band can have much higher accuracy, pinpointing to within 30 centimeters or 11.8 inches.

View More On Wikipedia.org
  1. Tech Zone: GPS ni bure dunia nzima, ila raia wa Marekani ndio wanahenyeka kulipa kodi za uendeshaji wa mfumo.

    Mfumo wa GPS (Global Positioning System) ni huduma ya bure kwa watumiaji wa kawaida duniani, lakini uendeshaji na matengenezo yake si bure kabisa. Mfumo huu unamilikiwa na serikali ya Marekani kupitia jeshi lake la anga (U.S. Space Force) na unajumuisha mtandao wa satelaiti zaidi ya 30...
  2. D

    Kabla ya Kuweka GPS Kwenye TV, Zingatia Hili!

    Kabla ya kufunga GPS Kwenye tv zingatia haya 1/ Hapa Tanzania, wizi mwingi hutokea usiku, kupitia dirishani wakati familia imelala. Wanaiba simu, TV, na mara nyingine wanaweza ingia hadi ndani ya chumba. 2/ Familia nyingine sasa wanaweka GPS kwenye TV wakiamini itasaidia. Lakini ukweli ni...
  3. Matumizi ya GPS Cheap iliyopachikwa ndani ya mwili kusaidia kupatikana unapotekwa na watu wasiojulikana kufuatia kuongezeka matukio ya kutekana

    Ili kurahisisha kupatikana kwako ukiwa HAI au MWILI wako ukiwa umekufa au kuuwawa KURAHISISHA KUPATIKANA kwako kwa haraka pindi inapotokea kutekwa/kupotea katika mazingira mbalimbali mfano AJALI mtu amezama ndani ya maji baharini kufuatia ajali ya boti,n.k. ndege kutopoteza uelekeo na kupotelea...
  4. Kitu ambacho wasiojulikana wanashindwa kumfanyia Lissu ni kwamba dunia na media zote zimekuwa GPS kwake

    Tukiendelea na masokwe watawala kupoteza watu na kubaki kujifanya kama hawa fahamu ila sasa kinacho washinda kuwa Lissu ni GPS ambayo wakigusa kila jambo tutajua.
  5. J

    GARMIN GPS FOR SALE

    Habari waungwana! Nauza kifaa hiki kwa bei ya 700k. Kazi kwenu wazee wa survey. Updates: IMEUZWA.
  6. Kuna GPS App ya kupima na kujua mipaka ya shamba?

    Wakuu wana Tech Nilinunua shamba 2019 ekari 12 Sasa kuna wahuni ninaopakana nao naona kila nikienda nakuta wamehamisha mpaka hata nikipanda miti wanang’oa na kuisogeza shamba linazidi kupungua tu Sasa nataka kujua kama kuna GPS App naweza kupima mipaka yangu nikahifadhi online siku nikienda mi...
  7. BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  8. The Natural GPS: Nguvu isiyoonekana inayotuongoza

    Dunia ni uumbaji unao ishi na kupumua, uliozungukwa na nguvu zisizoonekana, nguvu hizo ndizo zinaifanya dunia iendelee kuishi, na kuruhusu uhai na kuifanya iendelee kua hivi tunavyoiona kwa mamilioni ya miaka. nguvu ya usumaku au ya uvutani wa dunia ( Earth's Magnetic field ) hutumiwa na ma...
  9. Napendekeza mfumo wa ‘Bluetooth GPS Parking System’ katika kukusanya ada za maegesho ya magari Dar es salaam

    Kwa kupitia mfumo huu, ada za magari zitakuwa ‘charged automatically’ bila kuwa na wafanyakazi wanaotembea na vimashine vya EFD kuoiga oicha magari, how? Ni kwamba zile sehemu zote za parking za kulipia, zitafungiwa ‘Sensor’ za ‘Bluetooth’, ambapo magari yote Dar nayo yatafungiwa ‘Bluetooth ID...
  10. Mashariki ya Kati mfumo wa GPS haufanyi kazi

    Jordan imefunga matumizi ya anga lake kwa ndege za kiraia baada ya mfumo wa GPS kutokuwa sahihi. Nchi zingine ni Kuwait, Iraq, Syria, Bahrain
  11. P

    Jinsi DCI na makampuni ya simu wanavyopata taarifa za maeneo ya Wakenya hata kama GPS na Data zikiwa zimezimwa

    Vyombo vya usalama na makampuni ya simu wanaweza kutumia teknolojia kupata mahali ulipo kwa madhumuni mbalimbali. Katika mazingira ambayo teknolojia ya kidijitali yanabadilika kila wakati, uwezo wa kubainisha eneo la mtu umekuwa zana muhimu kwaajili ya utekelezaji wa sheria kwenye idara kama...
  12. L

    Wapi naweza kupata kifaa cha GPS Sensor?

    Ni wapi naweza kununua device ya namna hiyo kwa ajili ya kuonyesha location?
  13. Napendekeza nguzo zote za umeme zichukuliwe GPS coordinates, na zifungwe sensor , taarifa zote zilishwe kwenye mfumo wa Geomap ya Tanesco.

    Mfumo huu utawezesha kuwa na real time data feed ya nguzo zote za Tanesco kwa kujua mahali zilipo na kama zinaumeme. Mtendaji wa Tanesco akiingia kwenye hii Geomap, nguzo zote zitaonekana kwa rangi nyekundu kama sensor zinasoma moto, na rangi ya kijivu kama sensor hazisomi moto. Hivyo moja kwa...
  14. Kipi unahitaji kufahamu kuhusu GPS trackers? Karibu kwa maswali

    Kipi unahitaji kufahamu haswa?, Uliza swali lako na nitalijibu hapa kwa kina.
  15. T

    Nahitaji kununua gps (nipo mwanza)

    Habari wadau. Nahitaji kununua GPS, kwaajil ya kunisaidia kuchukua coordinates kwenye maswala ya uchimbaji (mining). Budget yangu ni kuanzia Tshs 400,000/= mpaka 900,000/= Kama nikapata contacts za dukani kwa Mwanza au Geita nitashukuru zaidi
  16. Devotha Minja: Namshangaa Hussein Bashe kutaka Bodaboda za Maafisa Ugani zifungwe GPS

    "Namshangaa Hussein Bashe anataka pikipiki za maafisa Ugani zifungwe GPS, mbona wao kwenye V8 zao hawajafungiwa" Devotha Minja. Mbunge wa wananchi Jimbo la Morogoro Mjini. Chanzo: Jambo TV === Devotha Minja, ambaye alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Morogoro Mjini kwa tiketi ya CHADEMA...
  17. Biashara ya GPS Tracking system installation kwenye vyombo vya Usafiri

    Na kenge, Hakuna biashara ngeni lakini unaweza kuifanya bila kuwa na mtaji mkubwa na bila taaluma kama IT au ufundi gereji kama wengi wanavyodhani. UTAFANYAJE? Wizi wa vyombo ni tatizo kote duniani sasa kama ni Jobless na unatafta pakuanzia unaweza kutafta mtaji wa kuanzia LAKI 5 NA...
  18. D

    Mfumo wa gps tracking kwa ajili ya magari pikipiki na bajaji

    GPS TRACKING SYSTEM NI NINI Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika. Mfano ---- Sehemu chombo kilipo ---- Mwendokasi wake ---- Kupata ripoti mbalimbali za mwenendo wa chombo husika ---- Chombo kuwashwa na kuzimwa...
  19. Kwanini GPS trackers zinaondolewa baada ya vyombo vya moto kuibiwa?

    Kumekuwa na cases nyingi za watu kuibiwa vyombo vya moto na GPS trackers kuondolewa, mpaka kupelekea watu kuona kama kufunga GPS trackers hakuna umaana wowote. Hii thread sitazungumzia kabisa detectors na jammers km watu wengi wanavyodhani kuwa wezi wanakuwa na tools hizo ambazo zinawasaidia...
  20. INAUZWA GPS trackers za Vyombo vya moto, TV, Computer, n.k. Zinauzwa

    Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k.. Zina sifa zifuatazo. 1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako. 2. Ina Live location na live tracking. 3. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa. 4. Inahifandhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…